Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: TANZANIA NI NCHI PEKEE HIYO NA RAIS/kiongozi kikwete katuchoka katelekeza nchi

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      mmzalendo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Location : ILALA
      Posts : 165
      Rep Power : 467
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default TANZANIA NI NCHI PEKEE HIYO NA RAIS/kiongozi kikwete katuchoka katelekeza nchi

      baada ya uchunguzi nilifanya kwa muda mrefu
      nimegundua tanzania ni nchi pekee ambayo haina raisi/kiongozi
      mawaziri wamekuwa wanazozana kama watoto wanaofuatana katika
      familia
      jk sasa anakura pension yake anampango na nchi tena na waziri
      wetu mkuu ndiyo msaani kuliku wakina masanja mkandamizaji kwa mfano leo
      anakwenda ngara na kujifanya anashanga'a umesikini walio nao huko ngara
      kuna nafuu gani kwenye jimbo lake huko sumba wanga au anatufanya sisi wajinga
      miaka mitano hii itakuwa ya malumbana maana kila mtu anajianda kwenda ikulu
      kutumbua mabaki ya jk na rafiki zake watakao kuwa wanatoka
      jk umetumaliza kama Gobashov
      wa russia

      source www.lifeofmshaba.com

    2. Miaka 50

    3. #2
      Silas Haki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 361
      Rep Power : 508
      Likes Received
      23
      Likes Given
      49

      Default Re: TANZANIA NI NCHI PEKEE HIYO NA RAIS/kiongozi kikwete katuchoka katelekeza nchi

      Hapo umenena. Rais tayari ameshastaafu na anakula pensheni tu kwa sasa.
      “Samaki ana nguvu akiwa majini, si vinginevyo, ...” Mnauye

    4. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. Tanzania ni nchi pekee duniani inayojiendesha yenyewe bila rais
      By UMMATI in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 18
      Last Post: 29th October 2011, 12:13
    2. Hii pekee yaonesha Tanzania ni nchi ya kidikteta
      By Sijali in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 3rd August 2011, 13:04
    3. Nikiwa Rais wafuatao wakimbie nchi siku hiyo hiyo
      By Tigga Mumba in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 12
      Last Post: 26th February 2011, 11:46
    4. Kikwete hiyo ndiyo gharama ya ushindi wa mezani nchi inayumba!
      By Gosbertgoodluck in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 1
      Last Post: 16th February 2011, 09:07
    5. Ni Haki Rais Na Waziri Kiongozi Kuikimbia Nchi Ikiwa Gizani??
      By Mtu wa Pwani in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 17
      Last Post: 2nd June 2008, 22:31

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...