Je Lema kuchakachuliwa kama alivyowafanyiwa Mrema, Magufuli na sasa Lema?
Katika uvunjifu wa sheria ulio tokea tarehe 18-12-2010 na kupelekea kipigo kwa Mbunge wa Arusha mjini na baadae mauji ya watu watu na wengi kujeruhiwa yaliyofanywa na Polisi tarehe 05/03/2011 kuna kauli aliyoitoa Godbless Lema akiwa amelazwa Mount Meru Hospital na hapa namnukuu:
"Nasikia kuishiwa nguvu sijui polisi wamenifanya nini, Naishiwa nguvu tu, sijisikii kumwa ila miguu inawasha"
Na kauli aliyowahi kuitoa Andengenye kuwa siku za Godbless Lema zinahesabika, je nini kumtokea Lema....?
Angalia na sikiliza dakika ya 5:18 mpaka dakika 5:32
Naomba kutoa hoja
===========
By ngurati
Jioni hii baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika nmc arusha kuwakumbuka walioawa na polisi JAnuary 5 mwaka Jana. Baada ya hapo tulipita katika hotel ya kibo kupumzika baada ya Lena kulalamika ya kuwa anahisikia vibaya na temperature ikaanza kupanda. Tumempeleka mt. Meri hospital wakatuambie tumpeleke selian kwa urgent service maana mahabara ilikuwa imefingwa. Tupo selian hospital ametundikiwa RL drip na sindano mbili.Temp ipo 40, anakunywa drip ya pili saa hii. Tumuombee uzima mbunge wetuAttachment 44798IMG_1054.JPG
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Lema anahitaji kuihakikisha afya yake vizuri kwani kwa mujibu wa kauri hizo ni wazi angalizo kubwa la afya linahitajika kwa mbunge wetu huyo. Hawachelewi kumpandikizia sumu mwilini katika hatihati za kumtuliza kwani ndiye mbunge ambaye anaongoza kwa kupigwa pigwa vibaya na polisi na kupelekwa hospital in emergency akiwa hajitambui. Hili ni angalizo tu

Kweli mkuu tena ande nje wakamcheki afya yake maana tuna kumbuka yaliyo mkuta magufuli akaenda kuponea ujerumani...
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
hawawezi kumchakachua lema hata kidogo, coz najua arusha patachimbika
Na zungumzia kiafya wana uwezo wa kukupulizia sumu ukufa taratibu hawashindwi mkuu...na siyo rahisi kugundua ushauri kwa Lema kwanza akacheck Afya na awe makini sana...akumbuke hili jimbo sisimu wana litaka kuliko jimbo lolote...
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Hili si la kufanyia masihara.afya ya lema inahitaji kuchunguzwa kwa umakini mkubwa.Kuna uwezekano wa kuharibu akili ya mtu au kumuwekea sumu iayomuua taratibu.alichofanyiwa mrema ni Mungu anajua.Hii taarifa ya jeshi la polisi kwamba siku za lema zinahesabika si ya kuchukulia juujuu.
Sijui tunakoelekea ila ni vyema Mh. Lema ukachukua tahadhari kabla ya hatari!
inawezekana tayari ni hatari...Tujiulize nini kilipelekea kuishiwa na guvu huku miguu kinawasha..
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Hata siku za Madiba Mandela zilihesabi na bado hazijatimia. Some more Madibas are comming, and some are yet to be born. Tuangaike kuboresha utawala bora, tuache kuumizana.
Documentary hii nimeipenda. Imeonyesha upande wa pili. Maana kabla ya hii tulionyeshwa tu lile tangazo la Maelezo lililodai CDM ni wachochezi na walikiuka amri ya polisi.
tutaendelea kuishitaki CCM kwa wananchi maana vikao vya Meya, Baraza la Madiwani, Bunge, chaguzi vyote vinachakachuliwa na CCM kwa kutumia nguvu za dola, 'katiba', 'kanuni' n.k ili kukwepa kujibu hoja za msingi toka CHADEMA.
Ila Fredrick Sumaye naona ana anza kuelewa somo kuwa CCM ijibu hoja na kuacha kukimbilia 'nguvu za dola' kukandamiza hoja mbadala toka kwa CHADEMA.
Lema anahitaji kuihakikisha afya yake vizuri kwani kwa mujibu wa kauri hizo ni wazi angalizo kubwa la afya linahitajika kwa mbunge wetu huyo. Hawachelewi kumpandikizia sumu mwilini katika hatihati za kumtuliza kwani ndiye mbunge ambaye anaongoza kwa kupigwa pigwa vibaya na polisi na kupelekwa hospital in emergency akiwa hajitambui. Hili ni angalizo tu
Du nimekumbuka ushauri huu sijui kama lema aliuona
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Follow Us Here