Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: CHADEMA imekalia kuti kavu. Ni hofu ya uchaguzi 2015 na machafuko yanayoendelea dunian

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. CPA
      #1
      CPA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st March 2011
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 490
      Rep Power : 514
      Likes Received
      106
      Likes Given
      25

      Default CHADEMA imekalia kuti kavu. Ni hofu ya uchaguzi 2015 na machafuko yanayoendelea dunian

      Kasi ya chadema imewatisha baadhi ya vyama, wingi wa watu kwenye maandamano na kukubalika hasa na vijana, hali ngumu ya maisha, na machafuko yanayoendelea dunia. Kumeitia hofu serikali na chama tawala. Vyombo vya dola kiangalia cdm kwa jicho la tatu. Swali watu wanajiuliza, je ni kweli cdm inahamasisha vurugu na uchochezi, tatizo ni cdm au ufisadi na hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira au ni hofu ya ccm uchaguzi 2015, na kuchokwa na wananchi. Cuf, nccr, ccm, udp, tlp one side cdm other side (alone). Wht is next move? wait and see,

    2. Miaka 50

    3. #2
      Mzee Wa Rubisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Location : Chini ya mgomba
      Posts : 1,276
      Rep Power : 688
      Likes Received
      205
      Likes Given
      264

      Default Re: CHADEMA imekalia kuti kavu. Ni hofu ya uchaguzi 2015 na machafuko yanayoendelea dunian

      Kitakacho tokea ni watala kutawaliwa.

    4. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. NAPE na SITTA wakalia kuti kavu CCM
      By EasyFit in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 23
      Last Post: 3rd November 2011, 11:49
    2. Mawaziri wanne Kenya wakalia kuti kavu
      By nngu007 in forum Kenyan Politics
      Replies: 5
      Last Post: 16th August 2011, 07:15
    3. Dikteta Gaddafi Akalia Kuti Kavu
      By Ng'wanangwa in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 9
      Last Post: 18th March 2011, 20:51
    4. Makamba, Msekwa kukalia kuti kavu NEC
      By BAK in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 3
      Last Post: 26th October 2008, 18:58

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...