Show/Hide This

  Topic: Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

  Report Post
  Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast
  Results 61 to 80 of 111
  1. mtemiwao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Posts : 385
   Rep Power : 607
   Likes Received
   46
   Likes Given
   2

   Default Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

   Wadau wapenda maendeleo nipo ktk mji mdogo wa katoro mpakani mwanza na kagera hali ni ya mashamsham utafikiri anakuja cjui nani maana hata rais huwa cio hivi,muda mfupi ujao kutakuwa na maandamano na mkutano wa hadhara,hii ni wakeup cal kwa cheyo,wasira, nk wanaowatia hofu wtz,kwa hali ilivyo naomba serkali ifate ushauri wa kuwakamata ili iwe rahisi kuiondoa madarakani.pipooos pr ni noma

  2. Ntemi Kazwile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2010
   Location : Bongo salidalam
   Posts : 2,109
   Rep Power : 967
   Likes Received
   241
   Likes Given
   1022

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By Regia Mtema View Post
   Inaonesha Mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.Baadhi ya Wabunge tuko hapa Twiga Lodge tunasubiri muda ufike.Jana nako Chato mambo yalikuwa mazuri sana.
   Mheshimiwa tunaomba picha tafadhali. Tuko nyuma yenu na msiyumbishwe na propaganda mfu za kina Kikwete na jeshi lake. Wana siraha lakini tutawashinda kwa sababu Mungu yuko upande wetu (sauti ya wengi ni sauti ya Mungu)
   Disagree, yes, but come together to do what’s best for your country and your people

  3. Rwabugiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2007
   Posts : 3,000
   Rep Power : 1299
   Likes Received
   158
   Likes Given
   117

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By Vincent Augustino View Post
   [SIZE=4]CCM wapeleke hoja Bungeni ya kufuta ruzuku ya vyama vya siasa hata kama na wao wataathirika. Inaelekea CDM hawafanyi kosa na ruzuku yao; ruzuku inatumika kuibomoa CCM kisawasawa. Dawa ya kukomesha haya maandamano na mikutano ya CDM isiyosha ni kuwaondolea uwezo wa mapato. CCM wao si wana vyanzo vingine vya mapato kama viwanja vya mipira na majengo!!!![/SIZE]
   Ndiyo, wanavyo viwanja vyetu na majengo walivyo vipora mikononi mwa wananchi, kwani kwa hakika vilikuwa vyetu sote, si haki eti vilibaki mikononi mwa wana CCM peke yao, Na tukisha ikomboa nchi yetu, hilo litakuwa kati ya mambo ya msingi ya kurudisha mali zetu zote zilizoporwa!

   GO CHADEMA...

  4. samora10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2010
   Location : Kwa-Gude
   Posts : 4,272
   Rep Power : 73230584
   Likes Received
   1169
   Likes Given
   1837

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   ilianza operesheni sangara enzi hizo.. hii ya sasa ni funika bovu ndio maana wasira mpaka haja inambana

   cdm aluta continua endeleeni kuwafungua macho watanzania tupo pamoja japo kwa sala
   ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

  5. Negrodemus's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 30th December 2010
   Location : Ipogoro
   Posts : 1,962
   Rep Power : 981
   Likes Received
   312
   Likes Given
   463

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By mtemiwao View Post
   Wadau wapenda maendeleo nipo ktk mji mdogo wa katoro mpakani mwanza na kagera hali ni ya mashamsham utafikiri anakuja cjui nani maana hata rais huwa cio hivi,muda mfupi ujao kutakuwa na maandamano na mkutano wa hadhara,hii ni wakeup cal kwa cheyo,wasira, nk wanaowatia hofu wtz,kwa hali ilivyo naomba serkali ifate ushauri wa kuwakamata ili iwe rahisi kuiondoa madarakani.pipooos pr ni noma
   i love it iwe mkoa kwa mkoa.... mpk kieleweke watu wote waamke

  6. mtemiwao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Posts : 385
   Rep Power : 607
   Likes Received
   46
   Likes Given
   2

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Hm hafifu,utajiharishia sana tu na bado na udini wenu watu wamewashtukia tayari

  7. Ng'wanangwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2010
   Posts : 8,211
   Rep Power : 675516
   Likes Received
   1810
   Likes Given
   937

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By Vincent Augustino View Post
   Watakao changa Cash, TRA watawapelekea assessment ya kodi kubwa ili kuwapunguzia huo uwezo wa kuchangia CDM
   TRA wenyewe Chadema. Sema hawasemi tu kulinda 'vitumbua' vyao.
   CCM HAIKUBALIKI TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA

   PIGA KURA YA "HAPANA" KWA KATIBA INAYOPENDEKEZWAA
   NA
   MA-CCM

  8. Mzizi wa Mbuyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th May 2009
   Posts : 4,207
   Rep Power : 1559
   Likes Received
   822
   Likes Given
   629

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   CDM endeleeni kukomaa, tuko watu wengi sana nyuma yenu msituangushe.....
   Yalisemwa mengi,mmepangua ...endeleeni kuyapangua ili siku moja Mungu atusaidie tuje tuongozwe na watu wenye akili timamu kama DR Slaa!
   CCM imekufa.......
   Ukweli ni maji ya chumvi unayotakiwa kuyaoga, ukiona mahali panawasha usiyachukie hayo maji....jua hapo pana jeraha pafanyie kazi.

  9. Bramo's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 21st October 2009
   Location : Mtimbwani
   Posts : 5,737
   Rep Power : 102467432
   Likes Received
   1808
   Likes Given
   902

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By Regia Mtema View Post
   Inaonesha Mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.Baadhi ya Wabunge tuko hapa Twiga Lodge tunasubiri muda ufike.Jana nako Chato mambo yalikuwa mazuri sana.
   Dada Regia inabid tukio kama hilo lije lipigwe hapa Dar,
   Hilo litasaidia kuwaamsha usingizin CCM na makuwadi wao kina Cheyo, Mrema Wastaafu wa JWTZ nk wajue kuwa TZ ya leo ni tofauti na wanaoijua wao...
   Hii pia itasaidia kumfanya Mkwere ajue kuwa Wa Tanzania tunaunga mkono Maandamano hayo

  10. Viper's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2007
   Location : Zaragoza (Spain)
   Posts : 3,655
   Rep Power : 3517
   Likes Received
   1277
   Likes Given
   850

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By Kashaijabutege View Post
   Acha utoto. Ubunge ni kazi kama zilivyo nyingine. Wana wake, waume, ndugu, jamaa, wapiga kura wao, n.k. sasa wasipolipwa wataishije?
   si kazi ni wito
   “Not only am I better looking….I’m just plain better.”
   Arsenal My heart Juventus My soul

  11. Nicksixyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th January 2011
   Location : KWA WAKURDI
   Posts : 834
   Rep Power : 678
   Likes Received
   200
   Likes Given
   90

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By HM Hafif View Post
   Mama .

   Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?
   Hii kauli ya POSHO inatoka kwa mtu mwenye harufu ya uCCM...how ---- are you...Unafikiria kila kitu kutanguliza tumbo mbele kama chama cha mafisadi.ONDOA NJAA ZAKO HAPA ZIRUDISHE CCM.

  12. Ndachuwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2006
   Location : ARUSHA
   Posts : 3,446
   Rep Power : 1458
   Likes Received
   826
   Likes Given
   638

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By mbogo31 View Post
   Mbona Sabodo hawajampelekea, hatuogopi kwa kuwa hatufanyi biashara haramu.
   Sabodo anapeleka CDM kidogo na CCM nyingi za kutosha
   "Effective leadership is not about making speeches or being liked; leadership is defined by results not attributes" Peter Drucker

  13. mageuzi1992's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th April 2010
   Posts : 2,520
   Rep Power : 134307
   Likes Received
   214
   Likes Given
   141

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   We Hafif hujui unachoonge wewe FISADI!

  14. Ndachuwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2006
   Location : ARUSHA
   Posts : 3,446
   Rep Power : 1458
   Likes Received
   826
   Likes Given
   638

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By kweleakwelea View Post
   poleni sana wana CCM! Chadema haiendeshwi na ruzuku...inaendeshwa na nguvu za wananchi...CCM igeni mfe!
   Msafara wote ulio kanda ya ziwa unalipiwa na wananchi? Kilo ya sukari inatushinda sembuse bei ya chumba hotelini na ticket za ndege? Mimi nakataa hiyo ni kazi ya RUZUKU
   "Effective leadership is not about making speeches or being liked; leadership is defined by results not attributes" Peter Drucker

  15. Ndachuwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2006
   Location : ARUSHA
   Posts : 3,446
   Rep Power : 1458
   Likes Received
   826
   Likes Given
   638

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By Kaduguda View Post
   Hapo kwenye RED, Hivyo viwanja vya mipira vilijengwa kwa nguvu za wananchi wala si vya CCM, Subiri utaona siku tunaichukua nchi vitawatokea puani!!! Kibanga ampiga mkoloni naikumbuka sana hii stori!! Sisi tutawapiga kwa sanduku la kura!!
   Nani alijenga hiyo si hoja. Muhimu ni kuwa mapato yanakijenga CCM
   "Effective leadership is not about making speeches or being liked; leadership is defined by results not attributes" Peter Drucker

  16. STEIN's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2010
   Location : Arusha
   Posts : 1,756
   Rep Power : 886
   Likes Received
   533
   Likes Given
   562

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By HM Hafif View Post
   Mama .

   Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?
   wewe humu unalipwa na nani?
   “Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"

  17. Mindi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2008
   Posts : 462
   Rep Power : 748
   Likes Received
   149
   Likes Given
   438

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By HM Hafif View Post
   Una uhakika na unacho kinena?

   Muulize Padri Slaa atakuonyesha sponsor wote wanaomdhamini
   Unajua haya maandamano yametusaidia kuweka sawa mambo mengi sana:

   1. Baada ya CCM & Co. Ltd (yaani muungano waa CCM-A, B &C, Spika, etc.) kuiadhibu CHADEMA bungeni kwa njia mbalimbali, huku wakifurahia super-majority yao, CHADEMA ime-demonstrate power yake katika supreme authority wa nchi hii: Wananchi. penda usipende, piga ua garagaza, wananchi wanaipenda CHADEMA.

   2. CHADEMA wame-demonstrate kwamba shutuma wanazorushiwa kwamba wana udini na ukabila, hazina ukweli wowote. katika maandamano yao kuna watu wa dini mbalimbali: waislamu kwa wakristo na pia dini ya asili. kwa nini? kwa sababu CHADEMA hawahubiri dini majukwaani, bali wanaongea maslahi ya wananchi walio wengi. Hawaongei maslahi ya kabila fulani, bali maslahi ya taifa. mikutano yao na maandamano yana sura za kitaifa.

   3. CHADEMA wamesaidia kutuonesha wapinzani wa kweli, hata ndani ya CHADEMA yenyewe, na katika vyama vya upinzani. na kwa maoni kama haya unayotoa, inaonekana wewe una matatizo na CHADEMA kwa vile tu Dr. Slaa ni padri. kama angebadili dini leo na kutwa Dr. Abdul Slaa, ungekuwa huna tatizo naye, hata kama angeendelea kufanya hayo afanyayo. ungekuwa tayari kutamka, hata kama si kweli, kwamba pesa wanazotumia zinatoka Oman. CHADEMA wametusaidia kukuelewa zaidi. cha kufanya fungua macho, achana na upofu huo. hapo hauhitajiki muujiza!

  18. Gosbertgoodluck's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 2,868
   Rep Power : 1238
   Likes Received
   349
   Likes Given
   4

   Default

   Quote By Vincent Augustino View Post
   Watakao changa Cash, TRA watawapelekea assessment ya kodi kubwa ili kuwapunguzia huo uwezo wa kuchangia CDM
   Some truthness.

  19. kibunda's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 28th October 2010
   Posts : 398
   Rep Power : 602
   Likes Received
   50
   Likes Given
   172

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Hii ndiyo mixed feelings.

  20. Kishili's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 272
   Rep Power : 575
   Likes Received
   38
   Likes Given
   21

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By HM Hafif View Post
   Tusiwe waongo. Chadema wanapata ruzuku zaidi toka rome
   CCM wanapata wapi ruzuku Libya?

  21. Sakoyo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd August 2010
   Posts : 133
   Rep Power : 558
   Likes Received
   6
   Likes Given
   14

   Default Re: Chadema ndani ya mji mdogo wa katoro/buseresere

   Quote By HM Hafif View Post
   Tusiwe waongo. Chadema wanapata ruzuku zaidi toka rome
   Hujiwezi wewe, kichwani madudu tupu!!

  Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast

  Similar Topics

  1. Chadema walivyowachanganya CCM uchaguzi mdogo Igunga
   By nngu007 in forum Chaguzi Ndogo
   Replies: 2
   Last Post: 8th October 2011, 18:16
  2. CUF na CHADEMA kuisindikiza CCM uchaguzi mdogo Igunga?
   By President Elect in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 14
   Last Post: 21st August 2011, 14:36
  3. [PICHA] Maandamano ya CHADEMA Chato na Katoro
   By Regia Mtema in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 70
   Last Post: 7th March 2011, 09:51
  4. Uchaguzi mdogo, CCM 3, CUF 3, Chadema 1
   By kapotolo in forum Tanzania 2010-2015
   Replies: 33
   Last Post: 16th November 2010, 12:26

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...