Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: C.C.M tukiri udhaifu!!

    Report Post
    Page 1 of 3 123 LastLast
    Results 1 to 20 of 50
    1. #1
      Mwana CCM.'s Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th January 2011
      Posts : 83
      Rep Power : 440
      Likes Received
      9
      Likes Given
      13

      Default C.C.M tukiri udhaifu!!

      Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.

      Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Mpevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd November 2010
      Location : Anonymous
      Posts : 1,586
      Rep Power : 747
      Likes Received
      76
      Likes Given
      103

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Huu ndio upevu wa kisiasa, umenena kweli. Ila sidhani kama utasikika nao, mbiu umeipaza...
      I'LL BE WEARING A SMILE ON MY FACE.... but firm on issues,, JK's 1st address to the national assembly in Dodoma-2006.

    4. #3
      Mvaa Tai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2009
      Location : Ngudu, Mwanza
      Posts : 3,394
      Rep Power : 1175
      Likes Received
      1388
      Likes Given
      905

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By Mwana CCM.
      Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.

      Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

      Huu ndo ukomavu wa kisiasa
      Mnang'oa meno ya Tembo ili mukayauze, mnang'oa meno na Kucha za Watanzania wasio na hatia ili iweje?

    5. #4
      elimumali's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 13th January 2010
      Posts : 138
      Rep Power : 502
      Likes Received
      3
      Likes Given
      11

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Jamani haya maandamano ya CDM na maneno yanayotolewa kwenye mikutano ni uchochezi ili wananchi waichukie Serikali. Uchaguzi umefanyika miezi mitatu tu iliyopita. Si msubiri basi kidogo muone kasi zaidi na ari zaidi itatoa matunda gani? Viongozi ndio kwanza wamechaguliwa (Mawaziri, wabunge n.k.). Si muwape muda basi muone watafanya nini? Kama kuna makosa ndani ya Chama na Serikali ni dhahiri yameshaonekana, kwani wao wajinga kuendelea na makosa hayo? Naamini wako katika harakati za kuyarekebisha makosa na kutafuta ufumbuzi wa kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wananchi na kuondoa kero. Hii mikutano sioni kama inalenga kuleta maendeleo, ni kuleta uvunjaji wa amani tu. Mimi sio mwanasiasa na siko upande wowote, lakini naipenda nchi yangu na napenda Amani. Tusimuandame Rais wetu na Serikali yetu kwa mambo ambayo yako katika mchakato wa kutekelezwa. Mabomu, umeme, ukali wa maisha n.k. vinatakiwa kutafutiwa ufumbuzi, sio kuandamana na kutoa lawama tu.

    6. #5
      mama kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 529
      Rep Power : 542
      Likes Received
      107
      Likes Given
      8

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      unafikiri hawalijui hilo unalosema? chama kina watu wenye ufahamu wa kutosha lakini wanataka watumie njia ya mkato kunyamazisha wapinzani na sio kutatua matatizo ya msingi ya watanzania.sote tu mashahidi walivyokiandama chama cha nccr cha mrema enzi hizo baada ya kufanya vizuri kwenye uchaguzi.hivyo wananchi tuwe macho hawana nia nzuri nasi maana badala ya kututatulia shida zetu wao wanapambana na cdm safari hii hatudanganyiki

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      babayah67's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th March 2008
      Location : Makasuku
      Posts : 390
      Rep Power : 651
      Likes Received
      35
      Likes Given
      6

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Mhh sidhani kama wewe kweli ni kiongozi wa ngazi ya wilaya wa CCM. Naona kama watupiga changa la mawe vile!!!!!!

    9. #7
      tzjamani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th October 2010
      Posts : 999
      Rep Power : 645
      Likes Received
      25
      Likes Given
      96

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By Mwana CCM.
      Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.

      Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
      Najua wako wengi wa aina yako ila uwoga wa kuweka hadharani mambo. Si wengi wanaopenda shida na maisha magumu na vifo vivyozuilika kwa wananchi.
      Iko siku mambo yatakuwa fresh, pole pole wanaccm wanaanza kuamka.
      The more anger towards the past you carry in your heart, the less capable you are of loving in the present- Barbara De Angelis

    10. #8
      babayah67's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th March 2008
      Location : Makasuku
      Posts : 390
      Rep Power : 651
      Likes Received
      35
      Likes Given
      6

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By elimumali
      Jamani haya maandamano ya CDM na maneno yanayotolewa kwenye mikutano ni uchochezi ili wananchi waichukie Serikali. Uchaguzi umefanyika miezi mitatu tu iliyopita. Si msubiri basi kidogo muone kasi zaidi na ari zaidi itatoa matunda gani? Viongozi ndio kwanza wamechaguliwa (Mawaziri, wabunge n.k.). Si muwape muda basi muone watafanya nini? Kama kuna makosa ndani ya Chama na Serikali ni dhahiri yameshaonekana, kwani wao wajinga kuendelea na makosa hayo? Naamini wako katika harakati za kuyarekebisha makosa na kutafuta ufumbuzi wa kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wananchi na kuondoa kero. Hii mikutano sioni kama inalenga kuleta maendeleo, ni kuleta uvunjaji wa amani tu. Mimi sio mwanasiasa na siko upande wowote, lakini naipenda nchi yangu na napenda Amani. Tusimuandame Rais wetu na Serikali yetu kwa mambo ambayo yako katika mchakato wa kutekelezwa. Mabomu, umeme, ukali wa maisha n.k. vinatakiwa kutafutiwa ufumbuzi, sio kuandamana na kutoa lawama tu.
      CCM mnachekesha saana, mnasahau kuwa Chadema ni chama cha upinzani ambacho daima dumu hakitageuka kuwasifia ninyi. Hiyo ndio nature ya vyama vyote vya upinzani. Tumeona USA, Obama aliposhinda tu na Demokrats wake Republican wakaanza kumshughulikia on the sport, na tumeona hali ilivyokuwa katika kupitisha budget kwa ajili ya kuwasaidia watu wa chini, na matokeo yake ikabidi Obama atafute muafaka na Republican. Lakini hatukusikia hata siku moja Demokrats wanalalamika na kusema wanahujumiwa. Lakini CCM ya kwetu kulia lia kama watoto wadogo kiasi kuwa mtu unashindwa kuelewa ni nani anaongoza nchi. Badala ya CCM kuongoza na CDM kujibu mapigo hali ni kinyume CDM inaongoza na CCM inajibu kwa kulalamika tu kuwa inaonewa ati kwa sababu dunia nzima uchumi umedolola. Kwa nini basi msiachie madaraka??? Hii ndio dhambi ya kuiba kura!!!!

    11. #9
      Utingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2009
      Location : Lyazumbi
      Posts : 4,416
      Rep Power : 1380
      Likes Received
      588
      Likes Given
      404

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By Mwana CCM.
      Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.

      Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
      mkuu huwezi kuzuia gari linaloanguka ili hali wewe mwenyewe ni abiria umo ndani ya gari hilo hilo. Na huwezi kutoka bila kupakaa kinyesi ukitumbukia kwenye choo cha shimo.
      Huko uliko si kwako, hama. Hata mwenyekiti wako wa kitaifa wa chama chako hana mawazo kama yako.
      Last edited by Utingo; 3rd March 2011 at 15:17.
      Without justice – Government is nothing but a band of robbers

    12. #10
      Johnsecond's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2010
      Posts : 930
      Rep Power : 649
      Likes Received
      152
      Likes Given
      65

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Kaka mimi nilikuwa kiongozi wa ngazi hiyo hiyo na bado ni kiongozi lakini nimechoshwa, naendelea tu ili wanangu waweze kula lakini not promising at all.

    13. #11
      Mwana CCM.'s Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th January 2011
      Posts : 83
      Rep Power : 440
      Likes Received
      9
      Likes Given
      13

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By babayah67
      Mhh sidhani kama wewe kweli ni kiongozi wa ngazi ya wilaya wa CCM. Naona kama watupiga changa la mawe vile!!!!!!
      Najua unachokitaka nikwambie wilaya gani, japo haita saidia sana. Sita ondoka katika chama nitabaki humu humu ila sitakuwa mnafiki from now onward inasikitisha sana kama kiongozi kuunga mkono hata pale tunapokosea. Kwa mfano hivi ni kipi naweza kujivunia katika ahadi zetu za awamu iliyopita kama utakuwa makini nenda kazisome vizuri na utekelezaji wake una-ripotiwa kisiasa zaidi. Mimi binafsi maisha yangu siyo mabaya sana lakini nina ushahidi wa watu wanaonizunguka.

    14. #12
      Kijallo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Posts : 266
      Rep Power : 469
      Likes Received
      19
      Likes Given
      0

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Katika maisha yangu,naamini hakuna msafi ccm.ww umetokea wapi?kama kweli(hayo usemayo)kwa nini usiondoke huko.Njoo Cdm kabla mlango haujafungwa.

    15. #13
      Teamo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th January 2009
      Location : KIJIWE SAMRI-BOM BOM
      Posts : 12,160
      Rep Power : 11897
      Likes Received
      801
      Likes Given
      629

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By Mwana CCM.
      Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.

      Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
      nitahakikisha unafukuzwa uanachama
      HUTUFAI KABISA WEWE
      '!....Wakatafuta Namna Nzuuuuuuuuriiiiii.....WAKASHUG HULIKA....!'

    16. #14
      Taifa_Kwanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd September 2010
      Posts : 443
      Rep Power : 530
      Likes Received
      75
      Likes Given
      36

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Mtazidiwa hoja kwa wananchi mara ngapi??
      Pili na wewe angalia usikekuwa kama alberto wa CDM, haya mambo kayaeleze kwenye vikao nyenu na communique zeni ndani ya chama ili mkiboreshe chama chenu.

      We kwanza umeniuzi sana wewe, unasema ni mwana CCM alafu unatuletea usanii wa eti msema kweli ni Mpenzi wa Mungu, Mnafiki mkubwa wewe. wewe wakati unasimamia harakati za kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ulikuwa haujui matokeo yake??

      Umeshiriki, kushadidia, na kuisikima kinyume na matakwa ya wananchi uongozi wa serikali katika mikono michafu. wewe unachotakiwa kusema hapa ni kwamba haufurahishwi na namna ambayo chama chako kinaiendesha serikali na hivyo umeamua kuachana nacho. usituletee unafiki kama wa Lowasa pumbaaafuuuu.

    17. #15
      Msaranga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th February 2009
      Posts : 170
      Rep Power : 557
      Likes Received
      24
      Likes Given
      67

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By Mwana CCM.
      Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.

      Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
      kwa niaba yangu binafsi napenda nikupongeze mwana ccm kwa kuonyesha umekomaa kweli kweli kisiasa uliyoyasema inaonesha kwanza umekwenda shule pili hufuati mkumbo.
      wanayoyasema chadema ni yakweli kabisa hakuna ubishi .kama ni ya uuongo siwangekuwa wamepelekwa mahakamani. sasa serekali inaona aibu inasingizia damu itamwagika hivi kweli damu itamwagika kwa watu kusema ukweli?
      ccm mnahitaji kubadilika acheni ubabe.
      chadema endeleeni na moto huohuo mpaka kieleweke
      tunataka viongozi wenye vipaji vya kuongoza sio wakuwekwa na mafisadi
      mungu ibariki tanzania.

    18. #16
      Mpevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd November 2010
      Location : Anonymous
      Posts : 1,586
      Rep Power : 747
      Likes Received
      76
      Likes Given
      103

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By Teamo
      nitahakikisha unafukuzwa uanachama
      HUTUFAI KABISA WEWE
      Mkuu,
      This sounds like a threat vile..
      I'LL BE WEARING A SMILE ON MY FACE.... but firm on issues,, JK's 1st address to the national assembly in Dodoma-2006.

    19. #17
      Marytina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Posts : 4,870
      Rep Power : 1429
      Likes Received
      888
      Likes Given
      274

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By Mpevu
      Mkuu,
      This sounds like a threat vile..
      wewe ni ccm damudam na huitakii mema CDM(UMMA) kwa nini usiwaache hao CCM Taifa waendelee hivyohivyo ili kukoleza chuki ya wanainchi dhidi ya serikali?
      CCM endelezeni madowans na maugumu ya maisha ili kasi ya wanainchi kuwachukia uvuke mpaka.Nataman Makamba adumu zaidi pale CCM kwani akili zake zimewafaa sana kuwakuza CDM

    20. #18
      DOUGLAS SALLU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2009
      Posts : 3,598
      Rep Power : 1285
      Likes Received
      315
      Likes Given
      894

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Wakikusikia wenyeweeeee!!!!!! WATAKUKOLIMBA, mikono yao imejaa damu .

    21. #19
      junior2008's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th April 2009
      Posts : 512
      Rep Power : 614
      Likes Received
      38
      Likes Given
      1

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By elimumali
      Jamani haya maandamano ya CDM na maneno yanayotolewa kwenye mikutano ni uchochezi ili wananchi waichukie Serikali. Uchaguzi umefanyika miezi mitatu tu iliyopita. Si msubiri basi kidogo muone kasi zaidi na ari zaidi itatoa matunda gani? Viongozi ndio kwanza wamechaguliwa (Mawaziri, wabunge n.k.). Si muwape muda basi muone watafanya nini? Kama kuna makosa ndani ya Chama na Serikali ni dhahiri yameshaonekana, kwani wao wajinga kuendelea na makosa hayo? Naamini wako katika harakati za kuyarekebisha makosa na kutafuta ufumbuzi wa kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wananchi na kuondoa kero. Hii mikutano sioni kama inalenga kuleta maendeleo, ni kuleta uvunjaji wa amani tu. Mimi sio mwanasiasa na siko upande wowote, lakini naipenda nchi yangu na napenda Amani. Tusimuandame Rais wetu na Serikali yetu kwa mambo ambayo yako katika mchakato wa kutekelezwa. Mabomu, umeme, ukali wa maisha n.k. vinatakiwa kutafutiwa ufumbuzi, sio kuandamana na kutoa lawama tu.
      Kama ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya hazijaleta maisha bora kwa kila mtanzania kwa muda wote wa miaka mitano, unategemea ari zaidi na kasi zaidi zilete haya maisha bora? CCM mnaleta slogan za kuwafurahisha watu wakati mnajua hamna dhamira ya kweli ya kufanya hivyo zaidi ya kuwakumbatia mafisadi na kuwatelekeza wananchi. Masuala yote ambayo CHADEMA wame-raise sio ya jana wala juzi ni ya muda mrefu kwahiyo haina mantiki kusema kwamba serikali iko kwenye madaraka kwa miezi 3 tu toka uchaguzi. Rais ni yule yule na mawaziri wake wengi ni wale wale kama Ngeleja! Halafu mnasema CHADEMA wanatakiwa kuzungumzia hayo bungeni mkijua wazi kwamba huko mna wabunge wengi kwa hiyo mtawadhibiti kama mlivyochakachua kanuni kwa maslahi yenu. Kwa watu makini hilo lazima liwe fundisho kuwa bungeni ni mahali pa uwakilishi wa wananchi kwahiyo kama CCM wanatumia uwingi wao kuzuia hoja basi CHADEMA watazipeleka moja kwa moja kwa wananchi kama wanavyofanya sasa! CCM lazima mjue kuwa ule mtaji wenu wa kuwafanya wananchi ni wajinga na kuwa treat mnavyotaka hauna nafasi tena!!

    22. #20
      nyabhingi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Posts : 3,210
      Rep Power : 1288
      Likes Received
      1347
      Likes Given
      2627

      Default Re: C.C.M tukiri udhaifu!!

      Quote By elimumali
      Jamani haya maandamano ya CDM na maneno yanayotolewa kwenye mikutano ni uchochezi ili wananchi waichukie Serikali. Uchaguzi umefanyika miezi mitatu tu iliyopita. Si msubiri basi kidogo muone kasi zaidi na ari zaidi itatoa matunda gani? Viongozi ndio kwanza wamechaguliwa (Mawaziri, wabunge n.k.). Si muwape muda basi muone watafanya nini? Kama kuna makosa ndani ya Chama na Serikali ni dhahiri yameshaonekana, kwani wao wajinga kuendelea na makosa hayo? Naamini wako katika harakati za kuyarekebisha makosa na kutafuta ufumbuzi wa kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wananchi na kuondoa kero. Hii mikutano sioni kama inalenga kuleta maendeleo, ni kuleta uvunjaji wa amani tu. Mimi sio mwanasiasa na siko upande wowote, lakini naipenda nchi yangu na napenda Amani. Tusimuandame Rais wetu na Serikali yetu kwa mambo ambayo yako katika mchakato wa kutekelezwa. Mabomu, umeme, ukali wa maisha n.k. vinatakiwa kutafutiwa ufumbuzi, sio kuandamana na kutoa lawama tu.
      utasemaje huna chama wakati unaitetea ccm kwa uongozi wao mbovu?kipi ni uvunjifu wa amani?kuwaambia wananchi serikali imeshindwa kucontrol mfumuko wa bei??kuilipa dowans?kuua watu arusha?pinda kuongopa bungeni?rostam.lowassa,chenge, mkapa,kikwete,mkono,mengi ni mafisadi???think twice

    23. Study Abroad
    Page 1 of 3 123 LastLast

    Similar Topics

    1. Ni Ubaya Wa Lowassa Au Udhaifu Wa JK?
      By Panga La Shaba in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 35
      Last Post: 9th June 2011, 15:04
    2. Udhaifu wa viungo vya mwili
      By Yusuph Salehe in forum JF Doctor
      Replies: 5
      Last Post: 13th January 2011, 13:58
    3. Udhaifu wa CCM kisiasa
      By MchunguZI in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 30th November 2010, 13:54
    4. CCM inafurahia udhaifu wa watanzania
      By Masauni in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 5
      Last Post: 19th September 2010, 16:24
    5. Udhaifu na changamoto kwa wafanyakazi
      By Mtazamaji in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 16th August 2010, 18:08

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...