TiGo Internet
    Show/Hide This

    Topic: Minister of Energy & Mineral Resources, William Mganga Ngeleja SLEEPING in 2011 EITI Meeting

    Report Post
    Page 1 of 5 123 ... LastLast
    Results 1 to 30 of 141
    1. #1
      Pdidy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 11,463
      Rep Power : 3226
      Likes Received
      1045
      Likes Given
      714

      Default Mh komba apata mbadala ufaransa

      Nilihisi mapepo yako bungeni Dodoma tu kumbe hadi Ufaransa? Kazi ipo

      TUMEZOEA KUMWONA MH KOMBA AKISINZIA NA KUKOROMA DODOMA SASA HUYU SIJUI TUMWITE JINA LA MNYAMA GANI

      Quote By salisalum View Post
      Jamani,

      Hiyo ni Kamera tu alikaa upande akachukua wakati mheshimiwa ameinama. Au wakati anapiga kope (eye twinkling). Thread inataka kuleta uchochezi usio na maana. Swala la kujadili ni hili lifuatalo:

      Raisi Kikwete akifuatana na Membe (MB) na Ngeleja (MB) walienda Ufaransa kuhudhuria mkutano ulioandaliwa na EITI (Extractive Industries Transparency International) yaani mtandao wa kimataifa unaotetea uwazi kwenye mapato yatokanayo na rasimali chimbwa yaani Madini, vito, gasi na mafuta. Mzee Bomani ndiyo anayosimamia chapter ya Tanzania.

      EITI Tanzania kama itasajiliwa kisheria watatakiwa kila mwaka kutangaza (to publish) na kuanisha mapato yote yanayotokana rasilimali chimbwa inayopata nchi. Sasa hivi tuko kwenye mchakato wa Tanzania kuwa mwanachama wa EITI kama tutatimiza masharti ya kuwa wazi kwenye mikataba na mapato.

      Mwaka jana bunge lilipitisha sheria ya madini iliyopingwa sana na upande wa upinzani kwa sababu ya vipengele vya usili katika mikataba na sector hii. Lakini kwa sababu wabunge wa chama chetu ni wengi ikapitishwa. sheria inatoa hata adhabu kwa yule atakaye divulge siri zinazohusiana na mikataba hii. Hivyo basi kabla ya JK kwenda Ufaransa alitakiwa kwanza kuyafanyia mambo haya ya msingi kwanza ili watanzania wawe huru kua access mikataba hii na kujua hasa nini kimewekwa humu. Ngoja niwamegee kidogo tu mapato tuliyopata kutokana na rasilimali chimbwa so far:

      Aina ya mapato kwa nchi Shilingi za kitanzania Revenue collected on behalf of the government (hizi ni PAYE na NSSF) 66,129,144,000.00 Total Taxes (yaani Corporate tax, withholding tax, SDL (Skill development levy), import duty, fuel levy ni zero yaani hawalipi na sector specific taxes yaani (loyalties - Mrahaba wa aslimia tatu kama matusi vile?, License na permit fees, mineral concessions, kaprofiti wanakopata TPDC, Local government levy - Zile dollar laki mbili wanazolipwa kule Tarime, Geita na Kahama na devidends inayopata serikali kwenye makampuni kwa sasa hivi ni sifuri) 62,293,938,000.00 Jumla kuu 128,423,082,000.00 Asilimia ya mapato kutoka na kodi ya wafanyakazi wa rasilimali chimbwa 51% Mchango wa kodi za makampuni moja kwa moja 49%

      *data hizi ni kwa mwaka 2008: nazo zimepatikana kwa taabu kweli
      *Kile wanachodai makampuni wamelipa kwa serikali na kile serikali inachokiri kulipwa vinatofautiana. Sijui wamekunywa? Mtajaza wenyewe, sie tunasonga mbele. Naomba kuwasilisha wana JF.
      * Yaani kodi ya wafanyakazi wa migodini na kwenye gas eti ndiyo tegemeo kubwa la mapato ya serikari.
      Kwenda ufaransa ni aibu tupu, sijui wanafukuzia masurufu ya safari tu hawa!

    2. #2
      Sniper's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Posts : 1,234
      Rep Power : 766
      Likes Received
      358
      Likes Given
      408

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Huyo kazoea kukesha club za usiku, 84 Dodoma kama sebuleni kwake vile sasa hapo jana yake sijui alikeshea club gani huko ufaransa
      Kama kuoga ni usafi kwanini taulo linachafuka?

    3. #3
      Susy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 1,444
      Rep Power : 675
      Likes Received
      198
      Likes Given
      430

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      mmmmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!! tena kakaa jirani na ******
      Don't strew me with roses after I'm dead. When Death claims the light of my brow,
      No flowers of life will cheer me: instead, You may give me my roses now!

    4. #4
      Mpevu's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 23rd November 2010
      Location : Anonymous
      Posts : 1,560
      Rep Power : 690
      Likes Received
      64
      Likes Given
      95

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Loh, ndio hii safari yao ya juzi tu ama?
      Ila ndo wanavyotuwakilisha hapo walipo.
      I'LL BE WEARING A SMILE ON MY FACE.... but firm on issues,, JK's 1st address to the national assembly in Dodoma-2006.

    5. #5
      Deodat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th September 2008
      Location : xxxxxxxxxxxxxx.
      Posts : 1,104
      Rep Power : 796
      Likes Received
      108
      Likes Given
      250

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Maskini weeeeee! yaani huyo ndio waziri anayetuwakilisha watanzania, lol! sasa hapo akisikia watu wanapiga makofi na lenyewe litashtuka usingizini na kupiga makofi bila hata kujua nini kilisemwa, embu mwangalie na Rais wake, anajifanya yuko busy kusoma desa kumbe hamna lolote, sijui hawaelewi lugha inayozungumzwa hapo? Wenzao wako makini kusikiliza hoja wao wapo wapo tu!

      Kwakweli CHADEMA endelezeni kazi nzuri mliyoianza, hawa hawastahili kutufikisha 2015, ni mzigo mzito kuendelea kuwa na viongozi wa namna hii.
      Following the herd is a sure way to mediocrity - Patti Wilson

    6. #6
      mzambia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Location : BHULAMBYA MALAWI
      Posts : 803
      Rep Power : 533
      Likes Received
      13
      Likes Given
      4

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Mh ngeleja alienda kufanya nn wkt nchi ipo gizani?
      "HE WHO BUILD ON PEOPLE, BUILDS ON MAD" DON VITO CORLEONE AND " KEEP YOUR FRIEND CLOSE BUT YOUR ENEMY CLOSER"

    7. #7
      kyemo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th December 2010
      Posts : 61
      Rep Power : 388
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      ndio maana hata umeme umelala

    8. #8
      mama kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 483
      Rep Power : 481
      Likes Received
      100
      Likes Given
      7

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      starehe za majuu hizo hapo ndo tunawakilishwa

    9. #9
      IGWE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Location : Blue Plaza Building-Arusha
      Posts : 2,873
      Rep Power : 942
      Likes Received
      648
      Likes Given
      525

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      non active member of the summit...............
      "We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"

    10. #10
      Kireka1980's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 18th March 2008
      Posts : 258
      Rep Power : 569
      Likes Received
      21
      Likes Given
      60

      Default Ngeleja na Jk Paris

      Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	ngeleja.jpg 
Views:	366 
Size:	69.4 KB 
ID:	24230  
      Last edited by Kireka1980; 3rd March 2011 at 09:32. Reason: already posted

    11. #11
      Bobby's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2008
      Posts : 558
      Rep Power : 639
      Likes Received
      75
      Likes Given
      156

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Sorry, naomba nitoke nje kidogo. Of course hata huyo asiyesinzia naye amelala tu si unaona kabisa anaangalia picha tu. Well, nitaomba kusaidiwa in case hii obsrvation yangu si sahihi.

      Kwa haraka haraka simwoni rais mwingine zaidi ya our cheap president. Hivi kwanini hakumwacha huyo anayelala hapo aende peke yake? Hiki kikao si cha marais I'm sure waandaji hawakumtarajia ndio maana unaona wamemrundika hapo maskini. Its high time rais wetu awe na aibu kidogo mbona alishasafiri sana alipokuwa minister hachoki tu? Mbali ya hasara tunayopata lakini pia tunonekana hamnazo sisi wote inakuwaje rais anakuwa na muda mwingi hivi wa kuzurura?

      Hii nchi inaoboa sana.

    12. #12
      Johnsecond's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2010
      Posts : 651
      Rep Power : 541
      Likes Received
      78
      Likes Given
      25

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Mbona hata hapo ****** anazunga tu na kijitabu wala hasomi kitu wanatalii hao, angalia wenzao wanavyoangalia mbele na kusikiliza kinachosemwa wenyewe haka mkwele anatizama kacheki kako kwenye kitabu hicho na kuwaza mbona jamaa wamenipunja hawa?

    13. #13
      domo bwakubwaku's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd March 2011
      Posts : 31
      Rep Power : 370
      Likes Received
      17
      Likes Given
      0

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Kusinzia bungeni ni ka-ugonjwa kengine ka wabunge wa chama hapo ataota kamgao ka dowans

    14. #14
      Chimunguru's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 5,621
      Rep Power : 1598
      Likes Received
      629
      Likes Given
      182

      Default Re: Ngeleja na Jk Paris

      hivi kuna rais mwingine hapo? au jk tuuu kajipendekeza?

    15. #15
      Chezo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Location : Kwa Mama Gaude Wangu
      Posts : 1,137
      Rep Power : 606
      Likes Received
      149
      Likes Given
      30

      Default Re: Ngeleja na Jk Paris

      hakuna rais hapo wenzie wametuma mawaziri yeye anapenda kwend akwenda ulaya basi ndo tabu tupu ....
      Mubyazi anaoa mwaka huu..mumuache na mama gaude wake waishi miaka 8,000.

    16. #16
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,019
      Rep Power : 1127
      Likes Received
      936
      Likes Given
      950

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Ngeleja: ''Dah nji yangu ipo gizani, ,huyu nae anadesa playboy magazine, Chadema nao wametukalia kooni, aagh ngoja nlale manake kusikiliza hii lugha ''bonyzwiii'' haipandi kabisa yani'' krooooooo,krooooooo!!!!!

    17. #17
      Idimi's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 18th March 2007
      Location : Ikwiriri
      Posts : 2,951
      Rep Power : 5295
      Likes Received
      226
      Likes Given
      155

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      .....Ngeleja hajalala, ila 'ANATAFAKARI' kwa makini kile kinachozungumzwa pale!
      World resources are enough for human needs, not for human greed! - Mahatma Gandhi
      Idimi@jamiiforums.com

    18. #18
      Utingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2009
      Location : Lyazumbi
      Posts : 4,010
      Rep Power : 1247
      Likes Received
      441
      Likes Given
      279

      Default Re: Ngeleja na Jk Paris

      Mkao huu unaonyesha wazi kabisa ni conference ya kawaida ambayo hata wahudhuriaji wake si mawarais au mawaziri bali executives wa taasisi, na sitoshangaa kuwa they are not even senior executives. Ingekuwa ni marais ingekuwa Summit na mkao wake usingekuwa wa namna hii kama vile watu wanavunja kamati ya harusi.

      Nimejaribu kumwangalia Ngeleja strait kati ya ngeleja na jamaa aliye kushoto kwake kuna mzungu kama vile anamwangalia JK, sijui jamaa anawaza nini, kumwona rais wa nchi kubwa kama TZ eti anahudhuria kikongamano cha junior officers kama hicho. Jk is not even there, hicho kitabu anachosoma ........ni kama hakihusiani na mkutano huo maana hakuna mwingine aliyeshikilia kitabu kama hicho.

      Ngeleja seems to be bored, alichokikuta sicho alichotegemea. Imagine waziri unaambiwa utakutana na maprofessor badala yake unakutana na wahudumu wa ofisi. Ndicho anachowaza poor Ngeleja, wala hajasinzia hapo. anajisikia aibu mno maana inaonekana hakuna hata waziri mwingine yeyote kutoka nchi zingine, ni yeye tu. Poor him
      Last edited by Utingo; 3rd March 2011 at 14:45.
      Without justice – Government is nothing but a band of robbers

    19. #19
      Miranda's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th October 2010
      Posts : 36
      Rep Power : 392
      Likes Received
      2
      Likes Given
      6

      Default Re: Ngeleja na Jk Paris

      Si unaona hata mjumbe aliyekaa nyuma ya aliyeko kushoto kwa Ngeleja anavyomshangaaaa?...ni sawa na kuanzisha mradi wa kufunga MIKOKOTENI speed Govern

    20. #20
      Chezo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Location : Kwa Mama Gaude Wangu
      Posts : 1,137
      Rep Power : 606
      Likes Received
      149
      Likes Given
      30

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      hivi hicho kitabu kimeandikwa kwa kiswahili ..??maana najua kama ni kingereza basi hapo ****** haelewi kitu?
      Mubyazi anaoa mwaka huu..mumuache na mama gaude wake waishi miaka 8,000.

    21. #21
      Lubaluka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th May 2009
      Posts : 418
      Rep Power : 541
      Likes Received
      11
      Likes Given
      6

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      ****** kila kitu cha nje anataka awakilishe yeye, hapo hapakuwa na haja ya yeye kuwepo...... waziri mbadala ndio sahihi kuwepo hapo.... !!! Yeye ni dili zake zimempeleka huko kwa kivuli cha hio semina endelevu.... au sijui ndio nini tena.....
      Always The Silence of Our Friends Hurts more than the Noise of Our Enemy.

    22. #22
      Utingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2009
      Location : Lyazumbi
      Posts : 4,010
      Rep Power : 1247
      Likes Received
      441
      Likes Given
      279

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Quote By Susy View Post
      mmmmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!! tena kakaa jirani na ******
      Hotel waliyofikia, hasa vyumbani watapokelewa na nani?............
      Without justice – Government is nothing but a band of robbers

    23. #23
      JAPHET MAKUNGU's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st February 2011
      Posts : 22
      Rep Power : 372
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Jamani this is disgusting, Ndugu wananchi hata mikataba mibovu inaingiwa kwa namna hii, wakati wenzetu wanakesha wakitafuta njia mbali mbali za kunegotiate mikataba, Viongozi wetu wanakunywa P...(waziri ya ujenzi), Wakati wa negotiation katika roung table Viongozi wetu wanakoroma (a lot of bullshit). Muda wa kusign ndo wanaamka na kutia sahihi mikataba ambayo hata mtoto wa darasa la tatu angetafsiriwa maana yake kwa Kiswahili angekataa kusign. Kwa mtindo huu Umma tunayo kazi bado, nchi yetu haijapata uhuru.(NOT YET UHURU)

    24. #24
      Zegreaty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th November 2010
      Posts : 423
      Rep Power : 466
      Likes Received
      24
      Likes Given
      1

      Default Re: Ngeleja na Jk Paris

      hata huo mkao wa ngeleja sio wa kiusikivu hata kidogo na huyo kj kaenda kupumzika mana yake haya maandamano na umati wa watu unampandisha presha tu akibaki nyumbani

    25. #25
      salisalum's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th October 2010
      Posts : 210
      Rep Power : 428
      Likes Received
      22
      Likes Given
      1

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Jamani,

      Hiyo ni Kamera tu alikaa upande akachukua wakati mheshimiwa ameinama. Au wakati anapiga kope (eye twinkling). Thread inataka kuleta uchochezi usio na maana. Swala la kujadili ni hili lifuatalo:

      Raisi Kikwete akifuatana na Membe (MB) na Ngeleja (MB) walienda Ufaransa kuhudhuria mkutano ulioandaliwa na EITI (Extractive Industries Transparency International) yaani mtandao wa kimataifa unaotetea uwazi kwenye mapato yatokanayo na rasimali chimbwa yaani Madini, vito, gasi na mafuta. Mzee Bomani ndiyo anayosimamia chapter ya Tanzania.

      EITI Tanzania kama itasajiliwa kisheria watatakiwa kila mwaka kutangaza (to publish) na kuanisha mapato yote yanayotokana rasilimali chimbwa inayopata nchi. Sasa hivi tuko kwenye mchakato wa Tanzania kuwa mwanachama wa EITI kama tutatimiza masharti ya kuwa wazi kwenye mikataba na mapato.

      Mwaka jana bunge lilipitisha sheria ya madini iliyopingwa sana na upande wa upinzani kwa sababu ya vipengele vya usili katika mikataba na sector hii. Lakini kwa sababu wabunge wa chama chetu ni wengi ikapitishwa. sheria inatoa hata adhabu kwa yule atakaye divulge siri zinazohusiana na mikataba hii. Hivyo basi kabla ya JK kwenda Ufaransa alitakiwa kwanza kuyafanyia mambo haya ya msingi kwanza ili watanzania wawe huru kua access mikataba hii na kujua hasa nini kimewekwa humu. Ngoja niwamegee kidogo tu mapato tuliyopata kutokana na rasilimali chimbwa so far:

      Aina ya mapato kwa nchi Shilingi za kitanzania Revenue collected on behalf of the government (hizi ni PAYE na NSSF) 66,129,144,000.00 Total Taxes (yaani Corporate tax, withholding tax, SDL (Skill development levy), import duty, fuel levy ni zero yaani hawalipi na sector specific taxes yaani (loyalties - Mrahaba wa aslimia tatu kama matusi vile?, License na permit fees, mineral concessions, kaprofiti wanakopata TPDC, Local government levy - Zile dollar laki mbili wanazolipwa kule Tarime, Geita na Kahama na devidends inayopata serikali kwenye makampuni kwa sasa hivi ni sifuri) 62,293,938,000.00 Jumla kuu 128,423,082,000.00 Asilimia ya mapato kutoka na kodi ya wafanyakazi wa rasilimali chimbwa 51% Mchango wa kodi za makampuni moja kwa moja 49%

      *data hizi ni kwa mwaka 2008: nazo zimepatikana kwa taabu kweli
      *Kile wanachodai makampuni wamelipa kwa serikali na kile serikali inachokiri kulipwa vinatofautiana. Sijui wamekunywa? Mtajaza wenyewe, sie tunasonga mbele. Naomba kuwasilisha wana JF.
      * Yaani kodi ya wafanyakazi wa migodini na kwenye gas eti ndiyo tegemeo kubwa la mapato ya serikari.
      Kwenda ufaransa ni aibu tupu, sijui wanafukuzia masurufu ya safari tu hawa!

    26. #26
      Albedo's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 24th February 2008
      Posts : 4,135
      Rep Power : 1353
      Likes Received
      602
      Likes Given
      419

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      cheki Mizungu ilivyo active, ndiyo maana inatuacha
      "Kwa hiyo kwa mwaka 2010 Divisheni Four + Divisheni Zero Jumla yake ni 310,826 ====== 88.1%" Albedo Mwenyewe

    27. #27
      Shauri's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Posts : 142
      Rep Power : 411
      Likes Received
      2
      Likes Given
      11

      Default Re: Ngeleja na Jk Paris

      Yani hawa wote ni vilaza tupu,hamna lolote:a s 112:

    28. #28
      Wambugani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2007
      Posts : 688
      Rep Power : 670
      Likes Received
      42
      Likes Given
      18

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Ni mkutano wa gani wanahudhuria? Mbona hakuna wawakilishi wengine wa
      nchi za Kiafrika?
      Wars are caused by undefended wealth - Ernest Hemingway, famous American writer

    29. #29
      Joseph's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2007
      Location : Zanzibar
      Posts : 1,220
      Rep Power : 799
      Likes Received
      114
      Likes Given
      62

      Default Re: Ngeleja na Jk Paris

      Sasa nimejua sababu inayomfanya JK awe anakimbilia Ulaya kwenye vikongamano kama hivi ambavyo maraisi wenzake huwa hawana haja ya kuhudhuria,anatengeneza mazingira ya kupata nafasi ya kuishi mambo yakiharibika hivyo anatafuta marafiki wa kumsaidia wakati hali ikiwa mbaya kwake maana ameanza kusoma hali ya hewa na kujua si nzuri kwake
      You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future.

    30. #30
      nsimba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th October 2010
      Posts : 717
      Rep Power : 528
      Likes Received
      32
      Likes Given
      0

      Default Re: Mh komba apata mbadala ufaransa

      Quote By salisalum View Post
      Jamani,

      Hiyo ni Kamera tu alikaa upande akachukua wakati mheshimiwa ameinama. Au wakati anapiga kope (eye twinkling). Thread inataka kuleta uchochezi usio na maana. Swala la kujadili ni hili lifuatalo:

      Raisi Kikwete akifuatana na Membe (MB) na Ngeleja (MB) walienda Ufaransa kuhudhuria mkutano ulioandaliwa na EITI (Extractive Industries Transparency International) yaani mtandao wa kimataifa unaotetea uwazi kwenye mapato yatokanayo na rasimali chimbwa yaani Madini, vito, gasi na mafuta. Mzee Bomani ndiyo anayosimamia chapter ya Tanzania.

      EITI Tanzania kama itasajiliwa kisheria watatakiwa kila mwaka kutangaza (to publish) na kuanisha mapato yote yanayotokana rasilimali chimbwa inayopata nchi. Sasa hivi tuko kwenye mchakato wa Tanzania kuwa mwanachama wa EITI kama tutatimiza masharti ya kuwa wazi kwenye mikataba na mapato.

      Mwaka jana bunge lilipitisha sheria ya madini iliyopingwa sana na upande wa upinzani kwa sababu ya vipengele vya usili katika mikataba na sector hii. Lakini kwa sababu wabunge wa chama chetu ni wengi ikapitishwa. sheria inatoa hata adhabu kwa yule atakaye divulge siri zinazohusiana na mikataba hii. Hivyo basi kabla ya JK kwenda Ufaransa alitakiwa kwanza kuyafanyia mambo haya ya msingi kwanza ili watanzania wawe huru kua access mikataba hii na kujua hasa nini kimewekwa humu. Ngoja niwamegee kidogo tu mapato tuliyopata kutokana na rasilimali chimbwa so far:

      Aina ya mapato kwa nchi Shilingi za kitanzania Revenue collected on behalf of the government (hizi ni PAYE na NSSF) 66,129,144,000.00 Total Taxes (yaani Corporate tax, withholding tax, SDL (Skill development levy), import duty, fuel levy ni zero yaani hawalipi na sector specific taxes yaani (loyalties - Mrahaba wa aslimia tatu kama matusi vile?, License na permit fees, mineral concessions, kaprofiti wanakopata TPDC, Local government levy - Zile dollar laki mbili wanazolipwa kule Tarime, Geita na Kahama na devidends inayopata serikali kwenye makampuni kwa sasa hivi ni sifuri) 62,293,938,000.00 Jumla kuu 128,423,082,000.00 Asilimia ya mapato kutoka na kodi ya wafanyakazi wa rasilimali chimbwa 51% Mchango wa kodi za makampuni moja kwa moja 49%

      *data hizi ni kwa mwaka 2008: nazo zimepatikana kwa taabu kweli
      *Kile wanachodai makampuni wamelipa kwa serikali na kile serikali inachokiri kulipwa vinatofautiana. Sijui wamekunywa? Mtajaza wenyewe, sie tunasonga mbele. Naomba kuwasilisha wana JF.
      * Yaani kodi ya wafanyakazi wa migodini na kwenye gas eti ndiyo tegemeo kubwa la mapato ya serikari.
      Kwenda ufaransa ni aibu tupu, sijui wanafukuzia masurufu ya safari tu hawa!

      Asante kwa data. Inatia aibu na bado tunakazi kubwa.

    Page 1 of 5 123 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Five suspended for sleeping at meeting in China
      By steering in forum International Forum
      Replies: 10
      Last Post: 12th December 2011, 22:02
    2. UCL School of Energy and Resources Scholarships, Australia
      By Sizinga in forum Nafasi za Kazi na Tenda
      Replies: 0
      Last Post: 11th November 2011, 07:01
    3. Replies: 147
      Last Post: 20th July 2011, 11:37
    4. Minister: No single state controls EAC resources
      By Geza Ulole in forum International Forum
      Replies: 1
      Last Post: 27th May 2011, 23:38
    5. Replies: 28
      Last Post: 26th February 2007, 17:04

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...