Habari zenu wana jamvi?binafsi natatizwa sana na tafsiri nzima ya neno Mwanaharakati kwahiyo nilikuwa naomba msaada wenu
1.Nini maana ya mwanaharakati?
2.Ni sifa/elimu gani anatakiwa awe nazo mwanaharakati?
3.Nini shughuli za mwanaharakati?
Naomba kueleweshwa katika hili tafadhali inawezekana na mimi nikawa Mwanaharakati siku zijazo
Nitanguliza shukurani zangu.