Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Chadema waandamana arusha kuwa hawatambui meya wa arusha

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      Nakei's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th November 2010
      Posts : 43
      Rep Power : 440
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default Chadema waandamana arusha kuwa hawatambui meya wa arusha

      Chadema wakiongozwa na Mh. Godbless Lema wameandama mjini Arusha wakielekea ofisi za manispaa, lilikuwa kundi dogo la vijana, baada ya dk kama 2 hivi mlio mkubwa kama wa bomu ulisikika, wale vijana walisambatika wote. Hatukusikia kitu tena, nadhani ndio ulikuwa mwisho wa maandamano. Wengi walikuwa watu wa lower class (vijana waliopigika na maisha) na lilikuwa kundi dogo sana. Nawashauri CHADEMA waache kufanya mambo kwa kujaribisha kama wameamua kufanya maandamano wawahabarishe watu wote kwa njia mbalimbali kama mitandao au hata vipeperushi. Arusha barabara nyingi mbovu na muda unaenda. Kama adui anakushinda ungana nae wananchi wapate maendeleo.

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Mageuzi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th May 2009
      Posts : 32
      Rep Power : 514
      Likes Received
      5
      Likes Given
      5

      Default Re: Chadema waandamana arusha kuwa hawatambui meya wa arusha

      safi Sana,AZIMIO LA ARUSHA ,TANU WALIANZIA ARUSHA so nasi Tuanzie ARUSHA kuungóa utawala wa Kizembe na kutowajibika ulioletwa na Wezi wa Mali zetu,kwa mgongo wa CCM WANANCHI TULIO NA UCHUNGU NA NCHI YETU ,TUANZE KUPANGA MAANDAMANO WIKI HII HII,HAPA HAPA JF,NA KTK FACE BOOK.HI5,AND TWITER. PIA TUSIKOSE KUWAJUZA WTZ WENYE UCHUNGU AMBAO BADO HAWAJAANZA KUTUMIA HII MITANDAO YA INTERNET. ALUTA KONTINUA ......... PEOPLES POWER WILL ALWAYS PREVAIL

    4. Study Abroad

    Similar Topics

    1. Ushiriki wa polisi arusha kwenye uchaguzi haramu wa meya wa arusha
      By AzimiolaArusha in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 9th November 2011, 14:52
    2. Replies: 0
      Last Post: 6th January 2011, 08:29
    3. Hatujachagua meya Arusha - CHADEMA
      By Rutashubanyuma in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 6
      Last Post: 4th January 2011, 23:07
    4. Meya wa arusha kupitia chadema ajiuzulu
      By samirnasri in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 8
      Last Post: 2nd January 2011, 21:09
    5. Chadema arusha kuchagua meya.
      By Wikiliki in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 21st December 2010, 06:16

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...