| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1198
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Naam! Karibu ndugu, endelea kwanza kutapika yoote uliyonayo...
![]()
__________________
Thin line between creativity and madness |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mzee Bongo,
Lovely utafiti safiii! |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Karibu sana Bongo Tz
Siasa za bongo imekuwa kama utani wa simba na yanga, hakuna anayekubali kushindwa, na pindi timu moja ikishindwa basi itapikwa fitna na kutafutwa mchawi. Upande wa siasa za bongo fitna mbele, ukisema ukweli basi unaonekana mchochezi, fitna itapikwa kuakikisha unafungwa mdomo, na kuwatisha wengine wasithubutu kusema ukweli. Maisha bora yatapatikana pale viongozi wetu watakapo kubali 'critic as a challenge' and not to take all who critisize the government as enemies. |
|
#5
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Hilo kufanikiwa tunahitaji viongozi wenye nia na lengo la kuleta maendeleo ya kweli kwa watanzania. Kwa hali ilivyo sasa, hakuna kiongozi hata mmoja wa sirikali ambaye ana nia na malengo hayo. Nia na Malengo yao ni kulinda na kujiongezea maslahi binafsi, na ndio maana wanakuwa hawawezi kuvumilia Free Media. Hivi, baada ya wananchi kuambiwa kuwa Jen Ulimwengu sio raia; tulikuwa na haki ya kujua sasa hivi ameruhusiwa kuendelea kubaki nchini kwa misingi gani? Hii vacuum ya info haisaidii serikali in the long run. Last edited by Yebo Yebo; 22nd December 2006 at 08:30 AM.. |
|||||||||||||||
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Bongo TZ
Makala yako inanikumbusha kile kikatuni cha waandishi wa habari wa bongo kuinama na kulamba viatu vya JK. |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
tatizo la waandishi wa habari wengi bongo wanaandika kwa ushabiki ndio maana watu wanaona bora waje jamboforums kupata latest kuliko huo udaku waanao andika waandishi wetu
kwa hili niko na BEN MKAPA alipowapa ukweli waandishi wa habari wa bongo |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Tatizo sio waandishi wa Habari!
Kama mtakumbuka vizuri editor wa Kulikono na This day alilalamika waandishi kadhaa walifuatwa na kutishiwa maisha yao, Je uliona nani amekamatwa? Vile vile ni culture ya waandishi wa Tanzania kuandika yale ambayo yanawapa chakula. Maana hakuna anayejali - Wabunge wako ziiiiiii, sasa unataka nini? Wapi umeona waandishi hawaandiki vile mkono wa kula unapotaka, hili ni suala la wananchi wenyewe kuamua na kusema enough is enough. Rais anaibuka na kusema hakuna mkataba feki wa richmond n.k. Payroll yake iko nje tayari, but I'll bet you he won't last mwenyezi mungu atasikiliza kilio cha wengi kama yeye mwenyewe anavyoiombea mvua. |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kilio cha wengi au cha elites? Hao wengi (80%) si ndio waliomchagua JK na ndo hao wanaoendelea kumpigia makofi kila akipita?
|
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Mwanasiasa
I second that
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:01 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||