
By
malkiory
* Vitisho/udikteta//ukiritimba Ukaidi/ujeuri/ulevi wa madaraka/kupuuzia = Kukwepa midahalo, chuki dhidi ya vyama vya upinzani na kuviita copyright
* Dharau/kiburi/uozo/Ukosefu wa sera/dira= Rais kunadi mafisadi,kutoa ahadi zinazozidi mgombea umri, ahadi ambazo hazitekelezeki* Matumizi mabaya ya fedha za umma na ofisi= Riziwani, mama Salma, bajeti ya chai Ikulu, safari za nje, ununuzi wa rada, ndege ya rais, ununuzi wa mashangingi, ukubwa baraza la mawaziri* Kufilisika kimawazo/Uongo/unafiki= Makamba, Kinana, Msekwa, Chiligati* Ubinafsi/kulindana/undugu= Watoto wa vigogo kupewa upendeleo katika ajira na siasa mfano mtoto watoto wa makamba, mtoto wa JK na mtoto Mizengo Pinda wakati wazazi wao wangali bado madarakani.* Ufisadi= Chenge, Mramba, Rostam, Lowassa, Aden Rage, Liyumba, Mgonja
Follow Us Here