JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

  Report Post
  Page 2 of 7 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 125
  1. Dr.Mbura's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th June 2009
   Posts : 135
   Rep Power : 662
   Likes Received
   52
   Likes Given
   0

   Default Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Ni mara chache sana mimi kuchangia hapa JF ila nimesoma post zote za milipuko lakini sajaona post za kitu nilichokiona kabla ya milipuko.

   MIMI naishi maeneo ya Segerea ni karibu sana na GOMS nilichokiona ambacho nakiita shambulizi ni kitu kama kimondo kutoka juu sana na kudondoka maeneo ya Goms baada ya hapo ndipo milipuko ilianza!

  2. Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,247
   Rep Power : 4467
   Likes Received
   3567
   Likes Given
   6900

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Mara nyingi hata baada ya forensic investigation, after facts zinabaki kuwa siri kwa nchi yetu kwenye tukio kama la Jpili.
   We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
   Ralph Waldo Emerson

  3. Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,247
   Rep Power : 4467
   Likes Received
   3567
   Likes Given
   6900

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   And we have to learn the hard way to think outside the box!!! labda kuna ukweli, who knows!!!
   We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
   Ralph Waldo Emerson

  4. Chapakazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2009
   Location : Kathmandu
   Posts : 2,910
   Rep Power : 1227
   Likes Received
   279
   Likes Given
   275

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Invisible View Post
   Japo mnamvamia mwanzisha hoja nadhani ni kwakuwa kasema 'Ni mara chache yeye kuchangia JF' ila nikiri kuwa huyu si raia wa kwanza kutoa kauli hii...

   Ni mtu wa nne nasikia anatoa kauli hii, wa kwanza si member wa JF na nadhani hata haijui JF, alinifahamisha kuwa aliona kitu kama kimondo kikionekana kuelekea maeneo ya Tabata (yeye yupo Ubungo) na baadae kikafuatiwa na mshindo mzito, dakika kama 10 baadae ndo akasikia kuwa kuna milipuko ya mabomu. Mwingine yupo Njia Panda ya Segerea, raia mwenye kuuza genge maeneo hayo alisema almost kitu kilekile.

   Hii kitu si ya kupuuza, vyombo vyetu vya usalama vijaribu kuangalia kama kulikuwa na shambulizi toka nje, inawezekana sana japo wengi mnapinga...

   Bull, acha kueneza udini kwenye sensitive issues kama hizi mkuu
   Sidhani kama ni shambulizi mkuu...it can be a pure case of a meteorite fall. Hili ni tukio la kawaida kisayansi. Sidhani kama kuna nchi yeyote yenye muda wa ku-attack Tanzania.
   Change begins with YOU

  5. Chapakazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2009
   Location : Kathmandu
   Posts : 2,910
   Rep Power : 1227
   Likes Received
   279
   Likes Given
   275

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   This is a video of such a phenomenal:   Again...link hii inaonyesha statistic za hili tukio. Kwa statistic zao, Tanzania imeshakua hit 8 times.
   http://en.wikipedia.org/wiki/Meteorite_fall_statistics
   Change begins with YOU

  6. Ng'wanangwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2010
   Posts : 9,162
   Rep Power : 18071468
   Likes Received
   2220
   Likes Given
   1528

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Chapakazi View Post
   Sidhani kama kuna nchi yeyote yenye muda wa ku-attack Tanzania.
   kikulacho ki nguoni mwako
   UNITED WE STAND
  7. Shaycas's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th February 2009
   Location : Arusha
   Posts : 826
   Rep Power : 819
   Likes Received
   55
   Likes Given
   8

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   haya bwana tuendelee ku-speculate,huenda tukapata majibu ya nini chanzo,sababu na ninani wa kulaumiwa.
   Kabla ya kuendelea sana,hivi ni kipi kinasafiri haraka zaidi kati ya mwanga na sauti?
   Je makombora/mabomu yaliyokuwa GOMS yanapolipuka huwa yanatoa mwanga au hayatoi?

  8. Ng'wanangwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2010
   Posts : 9,162
   Rep Power : 18071468
   Likes Received
   2220
   Likes Given
   1528

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Invisible View Post
   Japo mnamvamia mwanzisha hoja nadhani ni kwakuwa kasema 'Ni mara chache yeye kuchangia JF' ila nikiri kuwa huyu si raia wa kwanza kutoa kauli hii...

   Ni mtu wa nne nasikia anatoa kauli hii, wa kwanza si member wa JF na nadhani hata haijui JF, alinifahamisha kuwa aliona kitu kama kimondo kikionekana kuelekea maeneo ya Tabata (yeye yupo Ubungo) na baadae kikafuatiwa na mshindo mzito, dakika kama 10 baadae ndo akasikia kuwa kuna milipuko ya mabomu. Mwingine yupo Njia Panda ya Segerea, raia mwenye kuuza genge maeneo hayo alisema almost kitu kilekile.

   Hii kitu si ya kupuuza, vyombo vyetu vya usalama vijaribu kuangalia kama kulikuwa na shambulizi toka nje, inawezekana sana japo wengi mnapinga...

   Bull, acha kueneza udini kwenye sensitive issues kama hizi mkuu

   watanzania watu wa amani na utulivu bwana.

   kwanza mkuu wao (anayefikiria kwa niaba yao) kawaambia wasisikilize redio mbao.
   UNITED WE STAND  9. Chapakazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2009
   Location : Kathmandu
   Posts : 2,910
   Rep Power : 1227
   Likes Received
   279
   Likes Given
   275

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Ng'wanangwa View Post
   kikulacho ki nguoni mwako
   Kwa nini wa-attack sehemu moja alafu wakae kimya? Au tukae mkao wa kusubiri attack nyingine. There is a simple and plausible explanation nimeweka hapo. Ghala limeangukiwa na meteorite. Especially kutoka kwa post ya Invisible...watu kadhaa wamedhibitisha kuona mwangaza angani kabla ya huo mlipuko. Angalia hiyo video uone hali kama haiendani na huo uthibitisho.
   Change begins with YOU

  10. #29
   LAT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2010
   Posts : 4,525
   Rep Power : 1629
   Likes Received
   1227
   Likes Given
   1659

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Invisible View Post
   Japo mnamvamia mwanzisha hoja nadhani ni kwakuwa kasema 'Ni mara chache yeye kuchangia JF' ila nikiri kuwa huyu si raia wa kwanza kutoa kauli hii...

   Ni mtu wa nne nasikia anatoa kauli hii, wa kwanza si member wa JF na nadhani hata haijui JF, alinifahamisha kuwa aliona kitu kama kimondo kikionekana kuelekea maeneo ya Tabata (yeye yupo Ubungo) na baadae kikafuatiwa na mshindo mzito, dakika kama 10 baadae ndo akasikia kuwa kuna milipuko ya mabomu. Mwingine yupo Njia Panda ya Segerea, raia mwenye kuuza genge maeneo hayo alisema almost kitu kilekile.

   Hii kitu si ya kupuuza, vyombo vyetu vya usalama vijaribu kuangalia kama kulikuwa na shambulizi toka nje, inawezekana sana japo wengi mnapinga...

   Bull, acha kueneza udini kwenye sensitive issues kama hizi mkuu
   mkuu .... hiyo speculation ya kitu kama kimondo is very simple ... rocket propelled bomb ndiyo inawezekana ilifyatuka ya kwanza baada ya mabomu madogo kulipuka .... kwani hii military arsenal ilikuwa na bombs and various ammunitions ..... nadhani tungeanza kutafuta ukweli kwa kuangalia internal causes...

   swali langu ni kwamba ...kama kuna shambulio kutoka nje ..kwanini anayeshambulia asilipue makazi ya watu direct na badala yake akalipue maghala ya mabomu...? ... je lengo lake ni kuharibu mabomu au kuharibu kambi ya jeshi na makazi ya raia ....?
   "Esprit de Corps"

  11. #30
   Hute's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Posts : 3,089
   Rep Power : 85901936
   Likes Received
   1410
   Likes Given
   39

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   acheni mambo yenu, kombora litoke nje kwa nani, tz tuna mtu gani wa kupigana naye? hivi unawaju watz wewe, tulivyo na kiburi cha kupigana, ikitokea vita na nch ingne tz hapa wanajeshi watafurahi sana mbona wanapenda sana kupigana wanajeshi wetu, adui gani tuliye naye wa kutufanyia hivyo, huu ni uzushi wa kupoteza muda kuchangia..

  12. Chapakazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2009
   Location : Kathmandu
   Posts : 2,910
   Rep Power : 1227
   Likes Received
   279
   Likes Given
   275

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Change begins with YOU

  13. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6823
   Likes Given
   11200

   Default

   Quote By Chapakazi View Post
   Sidhani kama ni shambulizi mkuu...it can be a pure case of a meteorite fall. Hili ni tukio la kawaida kisayansi. Sidhani kama kuna nchi yeyote yenye muda wa ku-attack Tanzania.
   Mkuu,

   Dhamira yangu ni kuwafanya watu wafikirie kwa mapana, well, twaweza dhania 'hatuwezi shambuliwa' lakini nalo baadae likaja jirudia kwa Lugalo kupigwa na the same 'kimondo style' na tukapuuza kuwa tunaendelea kuunda tume etc...

   Kuna hilo la 'meteorite fall' nakubaliana nawe mkuu, JWTZ hawatakiwi kupuuza maoni ya wananchi walioona vitu vyenye mwelekeo huu, badala ya kuandikwa habari za kupikwa vikipatikana vifaa vya ku-detect incidence ilitokeaje basi wakijua kuwa wananchi waliona na hili linaweza kutupa conclusion moja nzuri sana, aidha ni pigo la kulengwa, manake tunawalipizia maadui ama ni pigo toka kwa Mungu ili tubadilishe silaha zetu!

   Ni hayo tu mkuu

  14. Chapakazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2009
   Location : Kathmandu
   Posts : 2,910
   Rep Power : 1227
   Likes Received
   279
   Likes Given
   275

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Invisible View Post
   Mkuu,

   Dhamira yangu ni kuwafanya watu wafikirie kwa mapana, well, twaweza dhania 'hatuwezi shambuliwa' lakini nalo baadae likaja jirudia kwa Lugalo kupigwa na the same 'kimondo style' na tukapuuza kuwa tunaendelea kuunda tume etc...

   Kuna hilo la 'meteorite fall' nakubaliana nawe mkuu, JWTZ hawatakiwi kupuuza maoni ya wananchi walioona vitu vyenye mwelekeo huu, badala ya kuandikwa habari za kupikwa vikipatikana vifaa vya ku-detect incidence ilitokeaje basi wakijua kuwa wananchi waliona na hili linaweza kutupa conclusion moja nzuri sana, aidha ni pigo la kulengwa, manake tunawalipizia maadui ama ni pigo toka kwa Mungu ili tubadilishe silaha zetu!

   Ni hayo tu mkuu
   True. Lakini itakuwa kitu cha kubahatisha kweli kama ni meteorite. I think it's fascinating kama ni hivyo. Sasa sijui kama bado watu watalia kuwa Mwinyi na wengine wa-resign ikija kujulikana kuwa na 'Act of God' au hata ya adui.
   Change begins with YOU

  15. zaratustra's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2010
   Posts : 782
   Rep Power : 790
   Likes Received
   124
   Likes Given
   169

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Ndahani View Post
   Mara nyingi hata baada ya forensic investigation, after facts zinabaki kuwa siri kwa nchi yetu kwenye tukio kama la Jpili.
   Mkuu Jpili kuna tukio gani tena lililotokea na lilitokea wapi?? Mbona sielewi elewi! Inatisha eeeee!!

  16. #35
   LAT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2010
   Posts : 4,525
   Rep Power : 1629
   Likes Received
   1227
   Likes Given
   1659

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Chapakazi View Post
   True. Lakini itakuwa kitu cha kubahatisha kweli kama ni meteorite. I think it's fascinating kama ni hivyo. Sasa sijui kama bado watu watalia kuwa Mwinyi na wengine wa-resign ikija kujulikana kuwa na 'Act of God' au hata ya adui.
   mkuu ...if this is the case , it is more than a coincidence and it will not be unfold or revealed unless again the Acts of God prevail
   "Esprit de Corps"

  17. #36
   dotto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th September 2010
   Posts : 1,669
   Rep Power : 902
   Likes Received
   219
   Likes Given
   139

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By masssaiboi View Post
   Ni kweli kabisa, sie tupo Ubungo Msewe na tulikiona hicho kitu ila kilikuwa na mkia tofauti na pia kiasi fulani ulikuwa siyo wa kawaida. Baada ya hapo tukaanza kusikia milio tukajua ni Radi, kama dkk 5 bdae ndio tukajua kuna mabomu yanalipuka.
   Ila labda lilikuwa ni bomu la mwanzo mwanzo kulipuka, nahisi hivyo,cjui

   Walikosea target?? mAbomu na kimondo wapi na wapi!! Usituzuge. MAbomu yalikwisha muda wake yakakasirika yakafanya yalichofanya!!

  18. #37
   dotto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th September 2010
   Posts : 1,669
   Rep Power : 902
   Likes Received
   219
   Likes Given
   139

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Chapakazi View Post
   True. Lakini itakuwa kitu cha kubahatisha kweli kama ni meteorite. I think it's fascinating kama ni hivyo. Sasa sijui kama bado watu watalia kuwa Mwinyi na wengine wa-resign ikija kujulikana kuwa na 'Act of God' au hata ya adui.

   eheee kuresign lazima maana inaonekana kuwa hatuna ulinzi na ilihali wanalipwa salaries na accom.za bure.

  19. Ng'wanangwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2010
   Posts : 9,162
   Rep Power : 18071468
   Likes Received
   2220
   Likes Given
   1528

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By Chapakazi View Post
   Kwa nini wa-attack sehemu moja alafu wakae kimya? Au tukae mkao wa kusubiri attack nyingine. There is a simple and plausible explanation nimeweka hapo. Ghala limeangukiwa na meteorite. Especially kutoka kwa post ya Invisible...watu kadhaa wamedhibitisha kuona mwangaza angani kabla ya huo mlipuko. Angalia hiyo video uone hali kama haiendani na huo uthibitisho.
   kimondo huwa siyo fragile. tena huwa ni jiwe lisilobondeka na kitu chochote cha dunia hii. kwa hiyo turuhusu 'tume huru' ifanye utafiti wake pengine tutaoneshwa hicho kimondo kilichopiga ghala ya jeshi letu.
   UNITED WE STAND  20. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6823
   Likes Given
   11200

   Default

   Quote By Chapakazi View Post
   True. Lakini itakuwa kitu cha kubahatisha kweli kama ni meteorite. I think it's fascinating kama ni hivyo. Sasa sijui kama bado watu watalia kuwa Mwinyi na wengine wa-resign ikija kujulikana kuwa na 'Act of God' au hata ya adui.
   Sasa mkuu nikuulize...

   Ni ipi kazi ya Waziri wa Ulinzi? Ni ipi kazi ya CDF? Ni ipi kazi ya TISS?

   Ikiwa ni "act of God" hata mimi na wewe hatuwezi kuwalaumu, lakini endapo ikagundulika tumeanza kushambuliwa basi serikali nzima haina budi kuliachia taifa, JK mwenyewe kwa kinywa chake alidai "hakuna tishio la amani toka nje wala ndani ya nchi".

  21. Chapakazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2009
   Location : Kathmandu
   Posts : 2,910
   Rep Power : 1227
   Likes Received
   279
   Likes Given
   275

   Default Re: Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

   Quote By LAT View Post
   mkuu ...if this is the case , it is more than a coincidence and it will not be unfold or revealed unless again the Acts of God prevail
   itabidi waende kukagua hilo eneo kwa makini. Hii kitu inaanguka kwa spidi kubwa mno kiasi kama umefuatilia incidents zake, mara nyingi ripoti zinaonyesha inaingia ardhini kabisa. Na kwa moto wake na spidi inayoanguka, it is obvious kuwa itakuwa na uwezo wa kulipua bomu.
   Pili, kama ulisikiliza maelezo ya jeshi, pia nayo yanaendana na ripoti mbalimbali za hii incident. Maana walinzi wa hizo ghala nao walisikia mlipuko mkubwa kwanza. Walipoenda kutoa ripoti, ndo shughuli ilianza. Ukisoma hizi ripoti za cases za meteorite hits, watu wanasema kunakuwa na mlipuko mkubwa.
   I find this amazingly fascinating. Odds za hii kitu kuwa kweli ni ndogo sana, but it seems to be the case. Kama ni ovyo basi Mkwere ana bahati mbaya kweli...
   Change begins with YOU

  Page 2 of 7 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Mlipuko wa bomu New Delhi!
   By Askari Kanzu in forum International Forum
   Replies: 2
   Last Post: 7th September 2011, 18:18
  2. Mlipuko wa bomu waua Minsk!
   By Askari Kanzu in forum International Forum
   Replies: 4
   Last Post: 13th April 2011, 12:24
  3. Replies: 1
   Last Post: 18th February 2011, 21:18

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...