This is another Highest Crisis Nchini Kwetu. Matukio ya mauaji, Ukosefu wa umeme, Ukosefu wa maji, Mafisadi, na majanga mengine ya injustice kila mahali. Kinacho endelea kitaifa ni kwamba "Nation of Tanzania is Heading Down the Drain"
Wananchi Peke Yake Wanaweza Kusimamisha Yote Haya

Kinachofanyika ndani ya serikali ya Tanzania ni "Uongo, Unafiki na Kuficha Ukweli" ili Kikwete na ccm waendelee kushake hands na Donors. Sifa za ccm ni moja tu "Corrupt People Ever" Watakacho kifanya baada ya Wananchi Kufa, Kujeruhiwa, Usumbufu wa Hali ya Juu, Gharama za Nyumba, Gharama za Biashara, Ukosefu wa Kazi na Uharibifu wa Mali ni "Kuwadanganya Wananchi Tena" statement ya Kikwete inakuja subiri....

Tarehe Ngapi Tunakwenda Kwenye Square Yetu


Tumeona "How Undemocratic Tanzania Ilivyo" Bunge linaendeshwa kama kamati za ccm. Wabunge wanakuja kuchukua "Hongo ya ccm" kujitaarisha kwa uchaguzi ujao na "kutafuta Deals za Maisha kwa Kuwaibia Wananchi na Taifa Lao" Mfano Tunauona kupitia January Makamba, bila aibu anarudisha "Scandalized Dowans" kwa wananchi in the name of emergency.

Msiba wa Taifa. Tuwasaidie Wafiwa Wote na Wanahitaji Misaada