| Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 (permalink) | |||
|
||||
|
Views: 97646
|
||||
|
||||
|
sidhani kama kuna sheria inamkataza kununua hayo makampuni na of course lengo ni kupata profit
sasa labda issue iliopo mkononi ni kama kuna conlict of interest zozote na kama zipo je kuna maelezo au evidence yoyote kussuport hizo data? |
|
|||
|
Nakubaliana nawe hakuna sheria lakini matokeo yake ndiyo haya sasa kwamba habari za kweli na makelele ya kweli yanatokea jambo na si media za hapa nyumbani ambazo zinawafikiwa wengi ili wajue Nchi yao iko vipi .
__________________
CCM ni kama kokoro lililovua samaki, makakara , konono, na matope yote ya ziwani-Julius K . Nyerere. |
|
|||
|
Hivi ile sheria ya kutoruhusiwa kucover habari zaidi ya 25% ya eneo la Tanzania bado ipo?
|
|
||||
|
sidhani kama ipo tena hiyo
__________________
Maskini ka-nzi kangu, wamekaminya mbawa Upanga! Sasa ntafanya nini? I'm now twittering - If I know it...u'll know it too |
|
|||
|
Hiyo 25% was it applied on TV coverage anma hata magazeti ?
__________________
Hizi ni zama za ukweli na uwazi lakini 2 + 2 = 24"Benjamin William Mkapa" |
|
||||
|
Mugishagwe hiyo ilikuwa kwenye TV tu....
__________________
Maskini ka-nzi kangu, wamekaminya mbawa Upanga! Sasa ntafanya nini? I'm now twittering - If I know it...u'll know it too |
|
||||
|
kuna ukweli ulio Dhahiri kwamba ukimudu kuvituliza vyombo vya habari utatawala utakavyo,kwani maovu yako hayatosikika kwa umma.Sasa kwa mtazamo wangu naona awamu hii hilo ndilo lengo lao.Wanajaribu kwa kila mbinu kuwakumbatia waandishi ili mabovu yao yasisemwe.Si unaona hii issue ya RDC itakufa hivi hivi kwa sababu tu haisemwi sana kwenye vyombo vya habari vya nyumbani,na nataka kukuthibitishia tu,ya kwamba wananchi walio wengi hawajui Mkataba huu mbovu kati ya serikali yao na akina Gire!
|
|
||||
|
Mwawado, right on... kwa sababu watanzania wanapenda kugereshwa sana.. Hakuna anayeuliza iweje tukodi mtambo kwa gharama ya juu ambapo tungeweza kupata mtambo huo huo na kuumiliki kwa gharama ya chini sana kuliko hiyo ya kukodi? Iweje uamue kukodi kwa gharama ya juu badala ya kumiliki kwa gharama ya chini. Ni sawa na mtu anaamua kukodi gari na analipia shilingi milioni 20, wakati gari hilo hilo tena jipya lina gharibu shilingi milioni 10!! IT DOESN'T MAKE ANY SENSE!!
__________________
Maskini ka-nzi kangu, wamekaminya mbawa Upanga! Sasa ntafanya nini? I'm now twittering - If I know it...u'll know it too |
![]() |
| Bookmarks |
| Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests) | |
| Thread Tools | |
| Display Modes | Rate This Thread |
|
|
Similar Threads
|
||||
| Thread | Thread Starter | Forum | Replies | Last Post |
| SERIKALI YA KIDEMOKRASIA vs UHURU WA HABARI | BongoTz | Jukwaa la Siasa | 22 | 11th August 2007 01:51 PM |
| Hoja Nzito: Makala mbalimbali | maggid | Jukwaa la Siasa | 19 | 13th June 2007 08:55 AM |
| Mapinduzi Bila Damu Wala Wafadhili | Shy | CLOSED TOPICS | 0 | 11th January 2007 10:21 AM |
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!