Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hivi Serikali mnataka Chuo Kikuu pawe Misri?

    Report Post
    Results 1 to 5 of 5
    1. #1
      Mashayo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th May 2007
      Posts : 20
      Rep Power : 617
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Hivi Serikali mnataka Chuo Kikuu pawe Misri?

      Kwanini Serikali inakuwa nzito sana kusilikiliza mahitaji ya wasomi wetu wa baadae? Sasaivi ni siku ya ngapi tangu Chuo Kikuu waanze kuandamana, na bodi ya mikopo imekaa kimya, sasa mnataka wafanye nini ili mjue kwamba wako siriazi?

      Kwanini mnakuwa wazito ku-address mahitaji yao ndani ya muda sahihi? Wapeni basi hata angalau haki ya kusikilizwa, wanaweza kutulia na kuendelea na masomo. Anaweza akatoka kiongozi yoyote kutoka Bodi, Wizara ya Elimu, au Mkoani (Afisa Elimu wa Mkoa) kusikiliza shida za wanafunzi alafu akazipeleka kwa wahusika kwa ajili ya kufanyia maamuzi ndani ya muda ambao watampa wanafunzi. Its very simple like that.

      Ngojangoja yaumiza matumbo mwishowake kuumizana na vurugu ambazo majeraha yake yanaweza yakasababisha ulemavu. Serikali ya Misri (na ile ya Ethiopia kipindi fulani), imefumbia macho matatizo ya watu, mwishowe ndo yanawatokea puani. Never under-estimate an intellectual mind.

      Note that, mnapoacha kutatua matatizo ya wananchi hadi waandamane kwa vurugu, mnawajengea tabia ya kudai haki zao kwa vurugu. Na polisi wakiwapiga, next time, watajiandaa kupambana nao. Mwishowe vurugu juu ya vurugu, matokeo yake wageni wataogopa kuja kusoma Tanzania, Mapato sekta ya utalii yatashuka, Wasomi wetu nje ya nchi wataonekana wamesomea kwenye vurugu, Wanachi wataanza kukosa imani na Serikali yao, Magharibi wataanza kuingilia siasa za ndani ya nchi yetu etc., Again, Never under-estimate an intellectual mind.

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      gidytitus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2010
      Posts : 296
      Rep Power : 497
      Likes Received
      15
      Likes Given
      0

      Default Re: Hivi Serikali mnataka Chuo Kikuu pawe Misri?

      NI kweli ndg yangu! Bt unafikiri haya yote hawayaoni wala kuyajua? ni vichwa vyao kuwa vizito kuamua, wakidhania kuwa watnzania ni watu wa kulia na kunyamaza! yawapasa kusoma majira na nyakati, huu moto wa vyuo vikuu si wa kuzimwa kwa mabomu, na waspo angalia wanatengeneza uhasama zaidi na serikali ambao utaenea nchi nzima na hatimaye yalotokea Misri na tunisia kuonekana Live ndani ya TBC star tv, ITV n.k na wengine kushuhudia live kwa kushiriki. Mi sjui kwa nini huyu ------ kwere kakaa kimya, yani kama vile haimhusu kabisa! Bt ukigusia DOWANS anaibuka, ni nini? Ki ukweli huu ugumu wa maisha ya Chuo Kikuu nimeyaonja, Pesa haitoshi!! na waspolisikiliza hili fasta na kulitekeleza Arusha nako tupo nyuma twaja afu tuone!!

    4. #3
      dotto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2010
      Posts : 1,395
      Rep Power : 718
      Likes Received
      156
      Likes Given
      16

      Default Re: Hivi Serikali mnataka Chuo Kikuu pawe Misri?

      CCM na ngebe zao mambo mazito. mufirisi kabisa!!! ha ha ha ha ha !!!

    5. #4
      leonard ngobole's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 11th June 2011
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Hivi Serikali mnataka Chuo Kikuu pawe Misri?

      nadhan viongoz hawajastuka kwamba hii ni miaka ya mabadiliko wanadhan ni kama enzi zile walivyowanyanyasa wazazi wetu na wakakaa kimya! hivi suruhisho la mtu anayedai haki yake ni kumpiga mabom ya machoz? ama kweli pema uachapo pema urudipo pema si pema tena na nimeamin aliyeshiba hamjali mwenye njaa! kiukwel ni kwamba viongoz wa nchi hii wote wana jini mufilisi...

    6. #5
      eliaspaul's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 15th February 2012
      Location : Dodoma
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Hivi Serikali mnataka Chuo Kikuu pawe Misri?

      Of course, mambo magumu sana huku viwoni kwani silece(mikate) ndio imebaki kuwa mkombozi

    7. Miaka 50

    Similar Topics

    1. Replies: 20
      Last Post: 19th May 2011, 02:38
    2. Replies: 13
      Last Post: 18th May 2011, 16:40
    3. Serikali mpya ya chuo kikuu yakwamishwa
      By kilimasera in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 14th January 2011, 07:29
    4. Replies: 1
      Last Post: 23rd December 2010, 20:00
    5. Replies: 7
      Last Post: 29th August 2010, 08:15

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...