Wana JF mnapoendelea kutafakari mambo ya siasa angalieni na matokeo ya ndugu zenu hapa http://www.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/olevel.htm
Wana JF mnapoendelea kutafakari mambo ya siasa angalieni na matokeo ya ndugu zenu hapa http://www.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/olevel.htm
asante sana mkuu, kwa haraka haraka, shule za kata zimeanguka vibaya
Mkuu hii ilibidi iwe kule kwenye jukwaa la taaluma a.k.a elimu
''Hatujaenda Shule Lakini Tumeelimika'' Abed Aman Karume.
national examinations council of tanzania csee 2010 examination results
s1806 yusuf makamba secondary school <h3>div-i = 2 div-ii = 4 div-iii = 19 div-iv = 113 fld = 314
Naona last Born kajitahidi, 1.8
Nawaonea huruma hawa vijana waliofeli,ni wengi mno.Another Bombshell!
Wametuonyesha Jeuri ya ukaburu,tuwaonyeshe jeuri ya Umkhontho we sizwe kupitia Red Brigade.Tukiwaonyesha woga wetu, itakua silaha imara zaidi kwao kutumaliza-Ben Saanane
Follow Us Here