Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tanzania yapata jina jipya!!

    Report Post
    Results 1 to 4 of 4
    1. #1
      Pokola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th July 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 485
      Rep Power : 546
      Likes Received
      51
      Likes Given
      76

      Default Tanzania yapata jina jipya!!

      Wana JF nimeshukiwa na roho Mtakatifu punde tu, baada ya kutafakari kwa miezi kadhaa kuhusu hali ya nchi ilivyo. Nimepewa ujumbe Muhimu sana kukuleteeni Watanzania.

      Kwa kuwa nchi inaendeshwa kama kampuni binafsi, Malaika wamekubali kusajili jina la TANZANIA PLC LTD, na kuanzia sasa tuiite hivyo hadi tutakapoamua kuwa na busara kama raia wa Tunisia, ndipotutafute jina jipya.

      Nawasilisha kwa uchungu sana...
      Watanzania ikimbieni Rushwa!!

    2. Miaka 50

    3. #2
      Twilumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th December 2010
      Location : Kiseliani
      Posts : 2,012
      Rep Power : 846
      Likes Received
      404
      Likes Given
      64

      Default Re: Tanzania yapata jina jipya!!

      Quote By pokola
      Wana JF nimeshukiwa na roho Mtakatifu punde tu, baada ya kutafakari kwa miezi kadhaa kuhusu hali ya nchi ilivyo. Nimepewa ujumbe Muhimu sana kukuleteeni Watanzania.

      Kwa kuwa nchi inaendeshwa kama kampuni binafsi, Malaika wamekubali kusajili jina la TANZANIA PLC LTD, na kuanzia sasa tuiite hivyo hadi tutakapoamua kuwa na busara kama raia wa Tunisia, ndipotutafute jina jipya.

      Nawasilisha kwa uchungu sana...
      Huyo Kwenye red huwa hataki mambo ya kubuni, Ni dhambi, nenda katubu kwa kutudanganya na badala yake rudi useme Heading "HISIA ZANGU KUHUSU JINA TANZANIA!"
      Intellectuals solve problems, geniuses prevent them.
      Albert Einstein.

    4. #3
      Architect E.M's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2010
      Location : arusha/dar
      Posts : 596
      Rep Power : 551
      Likes Received
      122
      Likes Given
      22

      Default

      Quote By Babaubaya
      Huyo Kwenye red huwa hataki mambo ya kubuni, Ni dhambi, nenda katubu kwa kutudanganya na badala yake rudi useme Heading "HISIA ZANGU KUHUSU JINA TANZANIA!"
      great thinker!!!!!...

    5. #4
      Pokola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th July 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 485
      Rep Power : 546
      Likes Received
      51
      Likes Given
      76

      Default Re: Tanzania yapata jina jipya!!

      Quote By Babaubaya
      Huyo Kwenye red huwa hataki mambo ya kubuni, Ni dhambi, nenda katubu kwa kutudanganya na badala yake rudi useme Heading "HISIA ZANGU KUHUSU JINA TANZANIA!"
      Mpo wengi msiopenda tuingie kitaa kama Watunisia. In the alternative, mnatafuta loophole ktk lugha tuliyotumia kufikishia ujumbe. Thnx GOD, ujumbe umekufikia nawe conservative conman.
      Watanzania ikimbieni Rushwa!!

    6. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. jina jipya la 'TIGO'
      By pera in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 20
      Last Post: 20th December 2012, 22:49
    2. Ushauri: Jina Jipya
      By Mwita25 in forum JF Chit-Chat
      Replies: 84
      Last Post: 10th November 2011, 10:49
    3. jina jipya la chelsea
      By pera in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 21
      Last Post: 20th September 2011, 12:43
    4. Replies: 14
      Last Post: 2nd May 2011, 03:50
    5. Natafuta Jina Jipya
      By Companero in forum Jukwaa la Lugha
      Replies: 47
      Last Post: 7th September 2009, 12:44

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...