JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

  Report Post
  Page 2 of 8 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 157
  1. superfisadi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd May 2009
   Posts : 552
   Rep Power : 750
   Likes Received
   46
   Likes Given
   1

   Default CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

   cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
   Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.

   Soc. tanzania daima

   My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa

  2. MkamaP's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th January 2007
   Posts : 5,699
   Rep Power : 1904
   Likes Received
   742
   Likes Given
   213

   Default Re: chadema waongeza mbunge arusha mjini

   Quote By Miss Judith View Post
   nafikiri chadema walikuwa na madai mengine zaidi ya hilo la kuhamisha mbunge chatanda
   Walikuwa na madai gani? si walisema aliyesababisha fujo ni chatanda? ama

  3. Maishamapya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2010
   Location : Dar, Tanzania
   Posts : 1,279
   Rep Power : 820
   Likes Received
   373
   Likes Given
   339

   Default Re: chadema waongeza mbunge arusha mjini

   Quote By Rev Masanilo View Post
   Udhaifu wa katiba huu!
   You are very right.

  4. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897712
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default Re: chadema waongeza mbunge arusha mjini

   Quote By MkamaP View Post
   Walikuwa na madai gani? si walisema aliyesababisha fujo ni chatanda? ama
   Umefikiria kweli mkulu hapa? CHADEMA wame-capitalize udhaifu wa katiba yetu.

   Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
   CCM is enemy of GOD

  5. superfisadi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd May 2009
   Posts : 552
   Rep Power : 750
   Likes Received
   46
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By Miss Judith View Post
   sasa kama kuna wengine ambao hawajaripoti halmashauri nyingine na taratibu zinaruhusu kuwaforward arusha, basi wapeleke zaidi kwani huyo mmoja nadhani hatatosha

   hii nafikiri inashusha hadhi ya hawa wabunge wa viti maalum. inprove udhaifu mkubwa sana wa katiba
   Katiba inamapungufu inasema mbunge wa viti maalum atafanya kazi eneo atakalopangiwa na chama chake ila km eneo analoishi wako wabunge zaidi ya watatu anaweza kuhamishiwa halmashauri ya jirani kulingana na maelekezo ya chama , katiba inawanyima haki wanawake waliowachagua ambao waliahidiwa kuwakilishwa wakatoa kura mabadiliko ya katiba hayakwepeki

  6. MkamaP's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th January 2007
   Posts : 5,699
   Rep Power : 1904
   Likes Received
   742
   Likes Given
   213

   Default Re: chadema waongeza mbunge arusha mjini

   Quote By Rev Masanilo View Post
   Umefikiria kweli mkulu hapa? CHADEMA wame-capitalize udhaifu wa katiba yetu.
   Teh teh teh, mkuu twende taratibu.
   Kwanini isiwe kuwa ccm ndo wali capitalize hiyo katiba kwa chitanda? Na nini chazo hadi chadema kujitoa ktk kikao cha mwanzo ambacho kilipelekea ccm kuchagua diwani? namomba tuelezane tu taratibu mkuu.

  7. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897712
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default Re: chadema waongeza mbunge arusha mjini

   Quote By MkamaP View Post
   Teh teh teh, mkuu twende taratibu.
   Kwanini isiwe kuwa ccm ndo wali capitalize hiyo katiba kwa chitanda? Na nini chazo hadi chadema kujitoa ktk kikao cha mwanzo ambacho kilipelekea ccm kuchagua diwani? namomba tuelezane tu taratibu mkuu.
   CHADEMA are good in squaring the differences! In that case its our constitution to be sodomized.....!

   Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
   CCM is enemy of GOD

  8. ChiefmTz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2008
   Posts : 2,125
   Rep Power : 1123
   Likes Received
   249
   Likes Given
   110

   Default

   Quote By MpendaTz View Post
   Sasa rafu iliyochezwa uliitegemea wewe? Kikao kuangalia wenzao wako nje wanashauriana halafu ipigwe kura ghafla na kutangazwa Meya?? Ahh tafadhali ChiefmTZ!
   Ilikuwa ni tko ya siasa za majitaka. Ndo maana na wao wamejifunza namna ya kuzicheza. Hoja yangu ni kuwa they ought to know how to play and the rules thereto.

  9. kilimasera's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Posts : 3,073
   Rep Power : 1236
   Likes Received
   212
   Likes Given
   261

   Default Re: chadema waongeza mbunge arusha mjini

   Quote By Inkoskaz View Post
   jino kwa jino
   nimekubali

  10. mikatabafeki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2010
   Posts : 10,242
   Rep Power : 171804228
   Likes Received
   2395
   Likes Given
   1745

   Default Re: chadema waongeza mbunge arusha mjini

   mnh..............

  11. Gsana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2010
   Location : Africa
   Posts : 3,840
   Rep Power : 438650
   Likes Received
   813
   Likes Given
   628

   Default Re: CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

   Ukizijua sheria kunanoga. Baada ya makamba kuleta utetezi uchwara kuwa chatanda kaenda arusha coz hajaripoti alimashauri yoyote,Tundu Lissu na Marando wakacheka sana,wakasemezana,"mbona na cdm tunao ambao wako free"wakamwambia Maulda afike Arusha. Mkwere amechukia sana,akahaidi akitoka safari atafika anateua wabunge 5,waungane na akina Zakia Meghji watimie8 kati ya 10 ambao katiba inamruhusu kuteua ,na ameamua kuwapeleka Arusha wote. Hapa mchezo utakuwa mgumu zaidi. Kama riwaya vile?

  12. jino kwa jino's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2010
   Posts : 776
   Rep Power : 720
   Likes Received
   125
   Likes Given
   144

   Default

   Quote By Inkoskaz View Post
   jino kwa jino
   nimefanyaje?

  13. Gad ONEYA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th October 2010
   Posts : 2,645
   Rep Power : 1099
   Likes Received
   159
   Likes Given
   653

   Default Re: CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

   utoto huu sasa! Two wrongs..!

  14. Ms Judith's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th December 2010
   Posts : 2,570
   Rep Power : 1105
   Likes Received
   883
   Likes Given
   604

   Default Re: CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

   Quote By Gsana View Post
   Ukizijua sheria kunanoga. Baada ya makamba kuleta utetezi uchwara kuwa chatanda kaenda arusha coz hajaripoti alimashauri yoyote,Tundu Lissu na Marando wakacheka sana,wakasemezana,"mbona na cdm tunao ambao wako free"wakamwambia Maulda afike Arusha. Mkwere amechukia sana,akahaidi akitoka safari atafika anateua wabunge 5,waungane na akina Zakia Meghji watimie8 kati ya 10 ambao katiba inamruhusu kuteua ,na ameamua kuwapeleka Arusha wote. Hapa mchezo utakuwa mgumu zaidi. Kama riwaya vile?
   duh, kama mambo yatakuwa hivyo basi nadhani TZ ndo tutakuwa tumekomaa zaidi kidemokrasia kushinda wote duniani. hahah, yangu macho!
   Mtu awaye yote asiyempenda BWANA, na awe amelaaniwa. MARAN ATHA!!!
   (1 Wakorintho 16:22)

  15. MkamaP's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th January 2007
   Posts : 5,699
   Rep Power : 1904
   Likes Received
   742
   Likes Given
   213

   Default Re: chadema waongeza mbunge arusha mjini

   Quote By Rev Masanilo View Post
   CHADEMA are good in squaring the differences! In that case its our constitution to be sodomized.....!
   amhhh,am afraid.
   Don't u know that Ivory Coast has katiba, but guess what?

  16. MpendaTz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th May 2009
   Posts : 1,397
   Rep Power : 920
   Likes Received
   252
   Likes Given
   952

   Default Re: CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

   Quote By ChiefmTz View Post
   Ilikuwa ni tko ya siasa za majitaka. Ndo maana na wao wamejifunza namna ya kuzicheza. Hoja yangu ni kuwa they ought to know how to play and the rules thereto.
   Nakubali kisiasa ndivyo lakini Mkuu kwa mwendo huo tutajikuta walipo Ivory Coast sasa hivi. Mungu aepushe lakini "Katiba mpya Lazima!"
   Nchi yoyote ikiruhusu Wanasiasa kuwa na mishahara mikubwa kuliko Wataalamu haiwezi kupiga hatua kimaendeleo. Wataalamu na wasomi hujitosa kwenye siasa bila malengo maalum ya kuiendeleza nchi na kugeuka kuwa mashetani ya siasa yasiyojali wananchi wa kawaida na maskini.

  17. Kisima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2010
   Posts : 2,255
   Rep Power : 85901633
   Likes Received
   784
   Likes Given
   267

   Default Re: CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

   Hivi vyote ni viini macho mbele ya uharisia wa representative democracy!
   Namna ghaniiii
   shime Watanzania tudai katiba mpya tudstroy michezo ya kirafi kama hii.

  18. Consultant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th June 2008
   Location : N/A
   Posts : 2,146
   Rep Power : 1118
   Likes Received
   446
   Likes Given
   431

   Default Re: CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

   Quote By superfisadi View Post
   cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha

   My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa
   Hakuna uchaguzi tena. Hii ni kuthibitisha kwamba Mary Chatanda alikuwa mjumbe ''halali'' na hivyo hakuna haja ya uchaguzi tena.

   Hii move ya Chadema ni sawa kweli?
   It's true that money cannot buy happiness, but I would rather cry in Mercedez than on a Motorcycle

  19. Alfu Lela Ulela's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2010
   Posts : 1,255
   Rep Power : 820
   Likes Received
   71
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By Miss Judith View Post
   he, wabunge wanahamishwa siku hizi? hahaha. huko tuendako, sipati picha mie
   Sio kuhamishwa Judith. Huyo ni mbunge wa viti maalum ambaye kikanuni anapaswa kusimama ktk halmashauri km mjumbe. CDM wamemsimamisha mama Komu kuwa mjumbe halmashauri ya Arusha.

  20. Mpasuajipu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd October 2010
   Posts : 838
   Rep Power : 733
   Likes Received
   26
   Likes Given
   4

   Default Re: CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

   Chatanda=Kitanda cha kulalia
   "The trouble ain't that there many fools, but the lightning ain't distributed right" Mark Twain

  21. MkamaP's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th January 2007
   Posts : 5,699
   Rep Power : 1904
   Likes Received
   742
   Likes Given
   213

   Default Re: CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

   Quote By MUZEEZAIDI View Post
   Sio kuhamishwa Judith. Huyo ni mbunge wa viti maalum ambaye kikanuni anapaswa kusimama ktk halmashauri km mjumbe. CDM wamemsimamisha mama Komu kuwa mjumbe halmashauri ya Arusha.
   Je Chitanda alikuwa mjumbe halali?

  Page 2 of 8 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu
   By Henry Kilewo in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 448
   Last Post: 26th June 2014, 10:37
  2. Kesi ya mbunge wa Arusha mjini yaahirishwa
   By Ndallo in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 50
   Last Post: 17th October 2011, 18:03
  3. Mbunge Lema wa Arusha Mjini kapigwa na Polisi?
   By YanguHaki in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 8
   Last Post: 18th December 2010, 18:59
  4. Mbunge wa arusha mjini hakualikwa kwenye vikao vya eac
   By Jethro in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 4th December 2010, 12:17

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...