Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tatizo la Kumtetea Kiongozi Aliyeshindwa ni Pale Kiongozi husika anapotafuta Kinga

    Report Post
    Results 1 to 5 of 5
    1. #1
      August's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2007
      Posts : 2,744
      Rep Power : 1162
      Likes Received
      251
      Likes Given
      2511

      Default Tatizo la Kumtetea Kiongozi Aliyeshindwa ni Pale Kiongozi husika anapotafuta Kinga

      Ukiona kiongozi au nchi inaingia katika kuongelea suala liwe la udini au ukabila, basi ujue kiongozi/serikali iliyopo imeshindwa kazi, sasa katika kutapatapa ndio hutafuta jani,tawi, au mti wa kuushikilia angalau kuongeza siku kadhaa madarakani.
      Na tatizo linakuzwa zaidi unapo pata waandamizi wa serikali au kiongozi huyo wanapoacha kumsaidia au kuisaidia serikali kwa kusema kweli bali kwa kufunika kombe ili mwana haramu apite.
      Hivi karibuni kuna waandamizi wa serikali yetu Matheus, na Nguleja, wao badala ya kumwambia fisadi kwamba hapana hapa tumekosea/umekosea, wao wana mwambia umepatia, madhara yake ni kwamba wananchi ambao ndio wenye serikali hawakubaliani na maneno nk ya hawa waandamizi, matokeo yake serikali ina zidi kuyumba, matokeo yake viongozi waliopo madarakani wataanza kuteleza kutoka kwenye hili tawi waliloshikilia/nyasi na iliwajiokoe watakimbilia kitu kilicho karibu nao nalo ni ukabila/udini, sasa madhara ya hili tawi/majani haya yakujiokoa/kushikilia ni kwamba yatakuwa na madhara hata kwa hao wanaomtemtea aliye shindwa, kwani baadae watajiona kumbe wote si wamoja, mwingine ni mchukuma, mwingine wa newala, ,wingine wa tobola, mwingine wa bwagamoyo nk nk almsiki si matusi watajikuta hata maswahiba wao wamedhurika kwani yule atakaye tumika kumpiga wa tabola hatu chukulia kwamba huyu ni mwenzetu, au yule atakaye mpiga, wa bwagamoyo hatachukulia kwamba huyu ni mwenzetu. hivyo chonde chonde mwenye akili haambiwi tazama..

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Johnsecond's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2010
      Posts : 931
      Rep Power : 649
      Likes Received
      152
      Likes Given
      65

      Default Re: Tatizo la Kumtetea Kiongozi Aliyeshindwa ni Pale Kiongozi husika anapotafuta King

      ndo kichaka cha kikwete hicho, jamaa anatupeleka pabaya

    4. #3
      August's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2007
      Posts : 2,744
      Rep Power : 1162
      Likes Received
      251
      Likes Given
      2511

      Default Re: Tatizo la Kumtetea Kiongozi Aliyeshindwa ni Pale Kiongozi husika anapotafuta King

      Quote By Johnsecond
      ndo kichaka cha kikwete hicho, jamaa anatupeleka pabaya
      Sasa kitu kikubwa je huyo Matheus au Nguleja watapona kwenye hiyo vita? maana wao si wamoja? ndipo watakapo gundua mi mpagani, yule sunni, huyu mlutheri nk nk

    5. #4
      Gad ONEYA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 2,544
      Rep Power : 947
      Likes Received
      122
      Likes Given
      559

      Default Re: Tatizo la Kumtetea Kiongozi Aliyeshindwa ni Pale Kiongozi husika anapotafuta King

      hapa kweli mwenye macho na aone!

    6. #5
      Jituoriginal's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2010
      Posts : 339
      Rep Power : 539
      Likes Received
      15
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Johnsecond
      ndo kichaka cha kikwete hicho, jamaa anatupeleka pabaya
      Kuna umuhimu wa kuanzisha mahakama ya kuwashtaki wote waliofisidi nji hii.

    7. Miaka 50

    Similar Topics

    1. Replies: 21
      Last Post: 23rd November 2011, 13:03
    2. Replies: 0
      Last Post: 20th July 2011, 02:10
    3. Pale gharama ya kupigia debe kinga inapotosha kumaliza chanzo cha tatizo
      By MAMENGAZI in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 17th June 2011, 17:10
    4. kumfunga kiongozi wa upinzani wa uganda kutaondoa tatizo au kutaongeza?
      By kituro in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 2
      Last Post: 20th May 2011, 00:11
    5. Replies: 0
      Last Post: 2nd March 2011, 00:34

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...