Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Maswali haya mwezi huu yanahitaji majibu toka kwa JK

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      Shukurani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 257
      Rep Power : 642
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Default Maswali haya mwezi huu yanahitaji majibu toka kwa JK

      Nakaa na kufikiri sana kama hotuba ya JK mwezi huu itaweza kujibu maswali yetu yote muhimu ambayo yanahitaji majibu ya haraka. Tungependa kujua tume ya BOT imefikia wapi? Vipi kuhusu Attoney general,atawajibika lini? vipi kuhusu Hosea,amefikia wapi? Watuhumiwa wa Richmond,serikali inachukua hatua gani au imechukua hatua gani? Vipi kuhusu pesa tunazolipa serikali inachukua hatua gani? IPTL,Songa's na Downs vipi?
      "Flaming enthusiasm, backed by horse sense and persistence, is the quality that most frequently makes for success."

    2. Miaka 50

    3. #2
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,319
      Rep Power : 12953
      Likes Received
      4591
      Likes Given
      2499

      Default Re: Maswali haya mwezi huu yanahitaji majibu toka kwa JK

      si kwa JK huyu! labda over night akili yake iwe imegeuzwa kwa miujiza.

    4. #3
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,498
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16337
      Likes Given
      8415

      Default Re: Maswali haya mwezi huu yanahitaji majibu toka kwa JK

      Hivi Balali yuko wapi? nadhani ni Mtanzania mwenye furaha kupata wote wakati huu maana kwa karibu mwezi mzima fisadi numero uno amekuwa ni Lowassa; na sitashangaa siku chache zijazo Mwanyika naye atajiuzulu halafu tutamsahau Lowassa...!!
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    5. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. Eti haya maswali majibu yake ni nini?
      By Dena Amsi in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 114
      Last Post: 8th November 2011, 18:59
    2. Replies: 3
      Last Post: 22nd June 2011, 07:14
    3. Maswali haya yanhitaji majibu
      By Mtazamaji in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 6
      Last Post: 8th February 2011, 12:02
    4. Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake
      By Mpita Njia in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 595
      Last Post: 30th October 2010, 11:36
    5. Replies: 31
      Last Post: 17th September 2010, 12:45

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...