Nimekuwa nikimfuatilia sana Maalim kabla na baada ya kuundwa kwa serikali ya mseto Zanzibar!! Kwa upande wangu naona kama hadhi na umaarufu wakw umepungua sana na ninadhani ni bora asingeingia katika serikali na badala yake atumie muda wake mwingi katika kuimarisha chama chake. Na ninahisi iwapo ndoa hii ya CUF na CCM itaendelea, ushindi wa CUF mwaka 2015 itakuwa ni ndoto. Mnaonaje bandugu

Reply With Quote


Follow Us Here