JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

  Report Post
  Page 1 of 81 123 11 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 1618
  1. Mtego wa Noti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2010
   Location : kichakani
   Posts : 2,177
   Rep Power : 997
   Likes Received
   396
   Likes Given
   625

   Default Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

   Leo Chadema wameanzisha maandamano ya amani Arusha kupinga uchaguzi wa meya wa Arusha ambao haukufuata taratibu sahihi. Maandamano haya ni baada ya kupewa kibali na kamanda wa polisi wa Mkoa wa Arusha, Kamanda Andengenye.

   Hata hivyo jana jioni IGP Mwema alifuta kibali hicho cha kuandamana kutokana na kile alichokiita taarifa za ki-intelijensia kwamba kutakuwepo na uvunjifu wa amani katika maandamano hayo. Pamoja na amri hiyo ya mkuu wa jeshi la Polisi, wananchi wengi wlijitokeze kuandamana hapo Arusha kitendo kilichopelekea polisi kurusha mabomu pamoja na risasi za moto hata uwanjani Unga Limited Habari za kuaminika zinasema kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamekamatwa na wako chini ya ulinzi wa polisi. Aliyekamatwa ni Mwenyekiti wa chadema Mh. Mbowe, Mbunge wa Arusha Mh. Lema na Mbunge wa Rombo Mh. Selasini.   My take...
   Tutaandamana mpaka kieleweke!!!
   Last edited by Mtego wa Noti; 5th January 2011 at 17:47. Reason: due to the updates....
   Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!


  2. genekai's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th February 2010
   Location : Loitering!
   Posts : 10,530
   Rep Power : 248805508
   Likes Received
   2520
   Likes Given
   2850

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   We are cowards that's why we cannot even fight for our true rights, wanasema eti tuishie kwenye mazungumzo, YAPI na YANINI?
   "The people who cast votes decide nothing, the people who count the votes decide everything" - Joseph Stallin

  3. Mtego wa Noti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2010
   Location : kichakani
   Posts : 2,177
   Rep Power : 997
   Likes Received
   396
   Likes Given
   625

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   Quote By genekai View Post
   We are cowards that's why we cannot even fight for our true rights, wanasema eti tuishie kwenye mazungumzo, YAPI na YANINI?
   mi hasira zishanipanda maana huu upuuzi umezidi...hao chadema mbona hawatupi modality?????????????????
   Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!

  4. matshs's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th June 2007
   Posts : 42
   Rep Power : 748
   Likes Received
   3
   Likes Given
   6

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   ukiona hivyo ujue mgaya bado wanamchakachua na kibali cha kuruhusu maandamano

  5. Mtego wa Noti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2010
   Location : kichakani
   Posts : 2,177
   Rep Power : 997
   Likes Received
   396
   Likes Given
   625

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   na hii itaifanya hiyo tume ya jk itutengenezee katiba kwa maamuzi yao wenyewe...
   Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!


  6. Mtego wa Noti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2010
   Location : kichakani
   Posts : 2,177
   Rep Power : 997
   Likes Received
   396
   Likes Given
   625

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   huyo mgaya ni kiboko, hao chadema nao vipi? mbona wametuambia wanaandaa maandamano ya nchi nzima...inakuwaje!!!
   Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!

  7. #7
   Kbd's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th October 2009
   Posts : 1,265
   Rep Power : 874
   Likes Received
   438
   Likes Given
   253

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   Hata mimi nayasubiri kwa hamu. Tutanyamazia upuuzi hadi lini???

  8. VoiceOfReason's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Location : Everywhere
   Posts : 5,239
   Rep Power : 2026
   Likes Received
   1212
   Likes Given
   603

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   Hivi kweli... hii issue imekaaje na nilisikia na wafanyakazi nao watakuwa na maandamano ya kupinga umeme..... kweli kuna sababu ya kushirikiana kwenye hii issue na kuonyesha kutokuridhika kwetu.....
   Even a Genius Asks Questions....

  9. Kachanchabuseta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2010
   Posts : 7,303
   Rep Power : 2051
   Likes Received
   633
   Likes Given
   1457

   Default UMEME:Kesho Ndo maandamano TUCTA na CDM?

   Chadema yaandaa maandamano kupinga bei mpya ya umeme

   Hussein Issa na Eveline Kijumbe

   CHAMA Cha Demokrasia (Chadema), kimeandaa maandamano makubwa nchi nzima kupinga bei mpya ya umeme iliyotangazwa Desemba 20 mwaka huu na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura).

   "Tutawaunganisha wanachama wetu wote wa mikoani tujumuike pamoja katika maandamano hayo ili kudai haki zetu za msingi, "alisema Mkurugenzi wa Oganization na Mafunzo wa Chadema, Singo Kigaira.


   Kigaira aliwataka wafuasi wa chama hicho, wanachama na wananchi kuacha woga akieleza kuwa kila kitu kinahitaji mipango na katika maandamano hayo, kiongozi wa mipango hiyo ni Chadema.


   Awali akizungumza katika mkutano huo, Mkurugenzi wa Habari wa Chadema, Erasto Tumbo, aliwaambia waandishi wa habari kuwa chama hicho kimeamua kuandaa maandamano hayo baada ya kutambua kuwa bei hiyo mpya ya umeme inamwumiza mwananchi wa kawaida.


   "Maandamano hayo tutayafanya mwezi Januari na tutaomba wananchi watuunge mkono kwa sababu hii ni haki ya msingi. Hakuna sababu ya kuonewa hapa. Junuari tutatangaza siku maalumu ya maandamano hayo,"alisema Tumbo.


   Aliendelea "Katika hali ya kawaida kabisa, mtu anakuwa na matumizi ya Sh1000 kwa siku, leo hii unampandishia umeme kwa asilimia 18.5, unadhani maisha yatakuwa rahisi kweli?”


   Kwa mujibu Tumbo, Serikali ingeweza kutumia njia nyingine mbadala kuboresha upatikanaji wa umeme nchini bila kuwapandishia wananchi bei ambao kimsingi ni mzigo kwao   Tucta kuandamana siku yoyote kuanzia kesho

  10. Wikiliki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2010
   Posts : 527
   Rep Power : 663
   Likes Received
   137
   Likes Given
   6

   Default Breaking news: Chadema kufanya maandamano ya amani arusha kesho.

   Chama cha CHADEMA kitafanya maandamano kesho Arusha(yameruhusiwa na polisi) yataongozwa na Dr. Slaa,pia wabunge wote wa CDM watakuwepo pamoja na madiwani wote wa Arusha mjini watakuwepo. Yataanza saa tano asubuhi eneo la Philips na kuishia uwanja wa NMC.

  11. VoiceOfReason's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Location : Everywhere
   Posts : 5,239
   Rep Power : 2026
   Likes Received
   1212
   Likes Given
   603

   Default Re: Breaking news: Chadema kufanya maandamano ya amani arusha kesho.

   Good je na maandamano ya kupinga kupanda kwa umeme yanafanyika lini?
   Even a Genius Asks Questions....

  12. M-mbabe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2009
   Location : here n' there
   Posts : 1,934
   Rep Power : 118273168
   Likes Received
   722
   Likes Given
   596

   Default Re: Breaking news: Chadema kufanya maandamano ya amani arusha kesho.

   Dr Slaa

   Kama alivyosema rafiki yetu Waberoya kwenye thread nyingine, kwenye speech yako kuhusu Dowans endelea kupiga kichwa (JK) na si mkia (RA/EL).

   Tuko nyuma yako....iwe mvua liwe jua!!

  13. kev's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th November 2010
   Posts : 119
   Rep Power : 587
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Default

   tuko pamoja meya feki kesho atafute pa kwenda kesho arusha meya wa wananchi.pipoooooo pawa

  14. Zipuwawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2010
   Posts : 2,957
   Rep Power : 25998
   Likes Received
   541
   Likes Given
   285

   Default Re: Breaking news: Chadema kufanya maandamano ya amani arusha kesho.

   Lengo litakuwa ni nini? Basi kila raheli Chadema
   Maisha yetu ni mafupi lazima tuyatete kwa namna yeyote ile!

  15. BRUCE LEE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2010
   Posts : 1,134
   Rep Power : 846
   Likes Received
   114
   Likes Given
   10

   Default Re: Breaking news: Chadema kufanya maandamano ya amani arusha kesho.

   kila la heri wanaharakati wote waliopo arusha, na pia msiache kututaarifu kwa kutu update mambo yatakavyokwenda. Asanteni sana.

  16. Wikiliki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2010
   Posts : 527
   Rep Power : 663
   Likes Received
   137
   Likes Given
   6

   Default Maajabu ya maandamano ya chadema yaanza kutokea.

   Wana jf baada ya RPC wa Arusha kuruhusu CHADEMA Kufanya maandamano ya amani na mkutano wa hadhara kesho IGP Mwema ameitisha mkutano na waandishi wa habari na kukataa maandamano. Source taarifa ya habari chanel ten saa moja ucku.

  17. Mtego wa Noti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2010
   Location : kichakani
   Posts : 2,177
   Rep Power : 997
   Likes Received
   396
   Likes Given
   625

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   Quote By VoiceOfReason View Post
   Hivi kweli... hii issue imekaaje na nilisikia na wafanyakazi nao watakuwa na maandamano ya kupinga umeme..... kweli kuna sababu ya kushirikiana kwenye hii issue na kuonyesha kutokuridhika kwetu.....
   ni muhmu kuunganana kundamana kwa nguvu zote...lakini polisi wamekataa hata hayamaandalizi mabaya ya arusha...
   Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!

  18. Susuviri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2007
   Posts : 3,485
   Rep Power : 1425
   Likes Received
   607
   Likes Given
   5019

   Default Re: Maajabu ya maandamano ya chadema yaanza kutokea.

   Sasa anakataa nini IGP? Ilichobaki ni Chadema kuingia tu barabarani. Huu niupuuzi mtupu! Mwaka huu lazima watahaha sana CCM na serikali yao... ila wajue hawana wapenzi siku hizi ni watu wenye vested interests na they will abandon the ship very soon...
   Polisi hawana nguvu ya kisheria kutoa kibali chochote cha maandamano.. wao wanatoa tu ulinzi.. wakishindwa wakae pembeni...
   "It is said that power corrupts, but actually it's more true that power attracts the corruptible." - David Brin

  19. Mtego wa Noti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2010
   Location : kichakani
   Posts : 2,177
   Rep Power : 997
   Likes Received
   396
   Likes Given
   625

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   ndio maana tunashindwa kupata haki zetu maana kila maandamano eti lazima turuhusiwe na polis,katiba ibadilishwe tuwe tunaadamana tu bila hata hicho kibali labda taarifa tu!!!
   Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!

  20. Mtego wa Noti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2010
   Location : kichakani
   Posts : 2,177
   Rep Power : 997
   Likes Received
   396
   Likes Given
   625

   Default Re: Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?

   Quote By Kbd View Post
   Hata mimi nayasubiri kwa hamu. Tutanyamazia upuuzi hadi lini???
   utahimili virungu vya hawa jamaa? maana wanatwanga hasa...
   Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!


  Page 1 of 81 123 11 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 24
   Last Post: 23rd September 2011, 00:05
  2. Mabomu ya machozi yarindima Dodoma
   By LWAKAPISI in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 7th April 2011, 18:46
  3. Mabomu yarindima arusha
   By Lutala in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 12
   Last Post: 23rd February 2011, 13:01
  4. Mabomu ya machozi yarindima Mbeya
   By Whisper in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 2
   Last Post: 2nd November 2010, 17:20
  5. Mabomu ya machozi yarindima Kigoma
   By Kaizer in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 14
   Last Post: 1st November 2010, 16:22

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...