Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro - Page 3 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Education, Science & Technology Forums > Jukwaa la Sheria (The Law Forum)

Jukwaa la Sheria (The Law Forum) Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua na kuzidadavua sheria mbalimbali za Tanzania na za Kimataifa

Reply
 
LinkBack Thread Tools Display Modes
Old 2nd July 2009, 07:42 PM  
Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro
MziziMkavu MziziMkavu is offline 2nd July 2009, 07:42 PM

VIONGOZI wa dini ya kiislamu wakiwemo mashehe na maimamu wamepinga kampeni ya Taifa dhidi ya matumizi ya njia za uzazi wa mpango nchini. Hayo yalijulikana jana katika semina iliyowashirikisha viongozi hao wa dini iliyowataka watambue juu ya matumizi ya njia hizo Mkoani Kilimanjaro.

Kampeni hiyo ya Taifa ambayo ipo kwenye michakato ya kuwakutanisha viongozi wa dini mbalimbali nchini ili wapewe elimu ya njia hizo na wao wakawafikishie wananchi na kuwapa hamasa juu ya matumizi ya njia hizo.

Viongozi hao walipinga vikali juu ya kampeni hiyo na kusema kuwa hawatahamasisha jamii kwa kuwa njia hizo zinakwenda kinyume na maandiko ya dini hiyo.

Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya mashehe na viongozi wengine wa dini hiyo ya kiislamu wakiwemo na walimu wanawake wamesema kuwa kutokana na maandiko ya dini ya kiislamu kampeni hiyo ambayo wamepatiwa elimu wao hawataitekeleza kwa kuwa ni kinyume na maandiko ya dini.

Wamesema kuwa njia hizo kwanza ni kama ni kumkufuru mwenyezi mungu kwa kuwa yeye hakusema binadamu wazuie uzazi na kusema aliwataka wanadamu waje kuujaza ulimwengu na sio kuzuia kizazi.

Wamesema kuwa kampeni hiyo wanaipinga vikali na hawatawaambia waumini wao watumie njia hizo wao watawaelimsha waumini wao kulingana na maandiko yanavyosema.

Afisa Mipango zoezi la Mpango wa Uzazi wa Mpango Taifa, Bw. Safiel amesema kuwa, wanawakutanisha viongozi wa dini hao na wameonekana kama kutofahamu lengo la Taifa, na dhumuni la kuwakutanisha ni kutaka watambue njia hizo na waelimishe jamii juu ya njia hizo zinazoonekana wananchi walio wengi hawazitambui.

Na kusema kuwa sio kwamba wanawazuia wananchi wasizae bali kwa kudhibiti wimbi la watoto ambao hawapati huduma stahili kutoka kwa wazazi wao na vilevile kuelimisha jamii kuzaa kulingana na uwezo walio nao.

http://www.nifahamishe.com/NewsDetai...2387830&&Cat=1

MziziMkavu's Avatar
MziziMkavu
JF Senior Expert Member
Points: 1,756,223, Level: 100 Points: 1,756,223, Level: 100 Points: 1,756,223, Level: 100
Activity: 55% Activity: 55% Activity: 55%
Join Date: Tue Feb 2009
Posts: 2,764
Thanks: 435
Thanked 346 Times in 231 Posts
Views: 911
Reply With Quote
  #21  
Old 4th July 2009, 12:30 AM
MaxShimba MaxShimba is offline
MaxShimba a bondservant of Jesus Christ
JF Premium Member
Points: 1,208,373, Level: 100 Points: 1,208,373, Level: 100 Points: 1,208,373, Level: 100
Activity: 58% Activity: 58% Activity: 58%
 
Join Date: Fri Apr 2008
Posts: 9,501
Thanks: 3,138
Thanked 6,052 Times in 2,940 Posts
Rep Power: 41
MaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enough
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

Quote:
View Post
Jamani turudi kwenye swali asilia. Kama Waislamu katika nchi nyingi wanaweza kukubali njia za kupanga uzazi wakitoa sababu za maandiko na mafundisho yao - je kwa nini mashehe wa Kilimanjaro (pia wengine wa Tanzania??) wanaamini ya kwamba haiwezelani??
Now you are talking my language. May be they lack koranic knowledge or understanding the phreases in koran.
__________________
For if I preach the gospel, I have nothing to boast of, for I am under compulsion; for woe is me if I do not preach the gospel. -1 Corinthians 9:16 ...
Reply With Quote
  #22  
Old 4th July 2009, 12:32 AM
Kipala Kipala is offline
Kipala mzungu mtupu!
JF Senior Expert Member
Points: 84,107, Level: 100 Points: 84,107, Level: 100 Points: 84,107, Level: 100
Activity: 32% Activity: 32% Activity: 32%
 
Join Date: Sat Jan 2009
Posts: 656
Thanks: 32
Thanked 71 Times in 53 Posts
Rep Power: 23
Kipala will become famous soon enoughKipala will become famous soon enoughKipala will become famous soon enoughKipala will become famous soon enoughKipala will become famous soon enoughKipala will become famous soon enoughKipala will become famous soon enoughKipala will become famous soon enough
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

Sema mjukuu wa mashehe!
Reply With Quote
  #23  
Old 4th July 2009, 12:35 AM
MaxShimba MaxShimba is offline
MaxShimba a bondservant of Jesus Christ
JF Premium Member
Points: 1,208,373, Level: 100 Points: 1,208,373, Level: 100 Points: 1,208,373, Level: 100
Activity: 58% Activity: 58% Activity: 58%
 
Join Date: Fri Apr 2008
Posts: 9,501
Thanks: 3,138
Thanked 6,052 Times in 2,940 Posts
Rep Power: 41
MaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enoughMaxShimba will become famous soon enough
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

Inawezekana kuwa Mashehe wameliangalia hili jambo kwa wepesi, bila ya utafiti yakinifu.

Ni vema waangalie the good part of birth control na walinganishe na ubaya wa birth control. Then they can come to a conclusion ya birth control kama ni ethical au unethical kwa jamii ya Uislam.
__________________
For if I preach the gospel, I have nothing to boast of, for I am under compulsion; for woe is me if I do not preach the gospel. -1 Corinthians 9:16 ...
Reply With Quote
  #24  
Old 9th August 2009, 11:14 AM
Barubaru Barubaru is offline
Barubaru has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 173,495, Level: 100 Points: 173,495, Level: 100 Points: 173,495, Level: 100
Activity: 10% Activity: 10% Activity: 10%
 
Join Date: Mon Apr 2009
Location: Doha, Qatar
Posts: 1,315
Thanks: 255
Thanked 248 Times in 185 Posts
Rep Power: 23
Barubaru will become famous soon enoughBarubaru will become famous soon enoughBarubaru will become famous soon enoughBarubaru will become famous soon enoughBarubaru will become famous soon enoughBarubaru will become famous soon enoughBarubaru will become famous soon enoughBarubaru will become famous soon enough
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

Quote:
Hili ndilo tatizo lenu wanyenyekevu mnapo kosa hoja katika mada. Mashehe unao wapigia debe, wapo mstari wa mbele kuongoza ufuksa na mashoga. Hivi hujuwi sababu ya kuwa na MAANTI MODI kila kona imetokana na tabia chafu ya kimasheke iliyo kuwa inafanywa misikitini mwenu?

Dini pekee hapa duniani inayo ongoza kwa kupenda ngono, ni ya Uislam, ndio maana mtume wenu Marehemu Mwamadi akawapa ruhusa ya kuoa wake WANNE, lakini bado hamjaridhika, na kuendelza biashara ya ushoga na umaumba.

Mnavisha wake wenu majoho kama maninja, lakini bado mnaongozwa na mafadhaiko wa akili na kuamua kurukia MAANTI MODI.
wanaongoza kwa Ushoga ni Wakatoliki. Wao mpaka wameruhusu kikanisa ndoa za jinsia moja. vile vile Mapadre ndio wanaongoza kuwa na vimada sababu wao hawaruhusiwi kuoa.

Fanya uchunguzi utagundua hilo.

waislamu wanaoa wanawake hadi wanne
Reply With Quote
  #25  
Old 9th August 2009, 11:02 PM
Ilumine Ilumine is offline
Ilumine hates ufisadi
Senior Member
Points: 92,983, Level: 100 Points: 92,983, Level: 100 Points: 92,983, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Sat Dec 2008
Posts: 66
Thanks: 1
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 22
Ilumine will become famous soon enoughIlumine will become famous soon enoughIlumine will become famous soon enoughIlumine will become famous soon enoughIlumine will become famous soon enoughIlumine will become famous soon enoughIlumine will become famous soon enoughIlumine will become famous soon enough
Send a message via ICQ to Ilumine Send a message via Yahoo to Ilumine Send a message via Skype™ to Ilumine
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

Taratibu jamani, mbona mnatoka nje ya mada? Tuongelee uzazi wa mpango na sio mashehe au mapadre.
__________________
"Get around the Right People"
Reply With Quote
  #26  
Old 10th August 2009, 04:11 PM
PlanckScale's Avatar
PlanckScale PlanckScale is online now
PlanckScale has no status.
Senior Member
Points: 192,451, Level: 100 Points: 192,451, Level: 100 Points: 192,451, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Sun Sep 2008
Location: Bongo
Posts: 137
Thanks: 44
Thanked 12 Times in 6 Posts
Rep Power: 62
PlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the rough
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

Dini comes out of culture. Yaani, religion is an outgrowth of culture. Naturaly, a given culture will evolves with time. But some religious doctrine insists on remaining unchanged, and hence you get conflicting interpretation of its core value.

Fundamentaly, Uislamu hautaki kuchange na wakati. Lakini nirahisi kuona kwamba maisha ya wakati wa Mohamed (wasalah lah waleih wasalam) haya wezi kufanana na maisha ya wakati huu, hata ukilazimisha. Na sio Uislamu tuu, Wakatoliki nao wanapoteza jamii. Kumbuka juzi tu hapa yule mkuu wao kwenye ziara yake Afrika alisisitiza kwamba kondom zisitumike - yaani binadamu msiingilie natural process ya muumba.

Nyinyi vizazi vya sasa nimuhimu kutambua kwamba mkiweka sana huyo mungu mbele, hamta fanikiwa. Actually, imani ya dini is very much associated with illiteracy and poverty.

God = false hope.

False hope = "naamini ya kwamba matatizo yangu hapa duniani hii hayata kuwepo nikifa, kwani nikifa nitakwenda mbinguni. Kwahiyo, sio muhimu kutumia akili yangu kuweka maisha yangu hapa duniani yawe sawa. Duniani tuna pita tuu. Kuna uzima wamilele unaningoja huko mbinguni…”
__________________
Remember not to adhere on attributes that will disconnect you from your land. The holy foundation is on the mountain, and you are already there – Afrika!
Reply With Quote
  #27  
Old 11th August 2009, 12:21 PM
WONDERWOMAN WONDERWOMAN is offline
WONDERWOMAN has no status.
Member
Points: 55,671, Level: 100 Points: 55,671, Level: 100 Points: 55,671, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Tue Jul 2009
Posts: 40
Thanks: 2
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
WONDERWOMAN will become famous soon enoughWONDERWOMAN will become famous soon enoughWONDERWOMAN will become famous soon enoughWONDERWOMAN will become famous soon enoughWONDERWOMAN will become famous soon enoughWONDERWOMAN will become famous soon enoughWONDERWOMAN will become famous soon enoughWONDERWOMAN will become famous soon enough
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

si vyema kutukana imani za watu mwanajamii,ustarabu hauna shule!NA USILOLIJUA LITAKUSUMBUA.
nilisikia kuwa nchi za ulaya zinaongoza kwa ushoga,tupe idaidi ya waislam huko na je ni nani wanafungisha ndoa za mashoga!
Reply With Quote
  #28  
Old 11th August 2009, 09:23 PM
PlanckScale's Avatar
PlanckScale PlanckScale is online now
PlanckScale has no status.
Senior Member
Points: 192,451, Level: 100 Points: 192,451, Level: 100 Points: 192,451, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Sun Sep 2008
Location: Bongo
Posts: 137
Thanks: 44
Thanked 12 Times in 6 Posts
Rep Power: 62
PlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the roughPlanckScale is a jewel in the rough
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

Quote:
View Post
si vyema kutukana imani za watu mwanajamii,ustarabu hauna shule!...!
My bad!
__________________
Remember not to adhere on attributes that will disconnect you from your land. The holy foundation is on the mountain, and you are already there – Afrika!
Reply With Quote
  #29  
Old 12th August 2009, 11:08 AM
Gavana Gavana is offline
Gavana has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 140,351, Level: 100 Points: 140,351, Level: 100 Points: 140,351, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Sat Jul 2008
Posts: 1,166
Thanks: 86
Thanked 172 Times in 113 Posts
Rep Power: 24
Gavana will become famous soon enoughGavana will become famous soon enoughGavana will become famous soon enoughGavana will become famous soon enoughGavana will become famous soon enoughGavana will become famous soon enoughGavana will become famous soon enoughGavana will become famous soon enough
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

Quote:
View Post
Hili ndilo tatizo lenu wanyenyekevu mnapo kosa hoja katika mada. Mashehe unao wapigia debe, wapo mstari wa mbele kuongoza ufuksa na mashoga. Hivi hujuwi sababu ya kuwa na MAANTI MODI kila kona imetokana na tabia chafu ya kimasheke iliyo kuwa inafanywa misikitini mwenu?

Dini pekee hapa duniani inayo ongoza kwa kupenda ngono, ni ya Uislam, ndio maana mtume wenu Marehemu Mwamadi akawapa ruhusa ya kuoa wake WANNE, lakini bado hamjaridhika, na kuendelza biashara ya ushoga na umaumba.

Mnavisha wake wenu majoho kama maninja, lakini bado mnaongozwa na mafadhaiko wa akili na kuamua kurukia MAANTI MODI.

UMEANDIKA
Dini pekee hapa duniani inayo ongoza kwa kupenda ngono, ni ya Uislam

Wakristo Wamechoshwa na wanawake sasa wanahalalisha mpaka ndoa za wanaume na kwa wanaume makanisani.
Hata MAASKOFU WANAUME WAMEANZA KUOANA WENYEWE KWA WENYEWE KANISANI TENA KWA JINA LA YESU
Reply With Quote
  #30  
Old 12th August 2009, 11:20 AM
muhanga muhanga is online now
muhanga has no status.
Senior Member
Points: 63,738, Level: 100 Points: 63,738, Level: 100 Points: 63,738, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
 
Join Date: Thu Apr 2009
Posts: 146
Thanks: 0
Thanked 29 Times in 22 Posts
Rep Power: 21
muhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enough
Default Re: Mashehe wapinga kampeni ya uzazi wa Mpango- Kilimanjaro

Quote:
View Post
Hili ndilo tatizo lenu wanyenyekevu mnapo kosa hoja katika mada. Mashehe unao wapigia debe, wapo mstari wa mbele kuongoza ufuksa na mashoga. Hivi hujuwi sababu ya kuwa na MAANTI MODI kila kona imetokana na tabia chafu ya kimasheke iliyo kuwa inafanywa misikitini mwenu?

Dini pekee hapa duniani inayo ongoza kwa kupenda ngono, ni ya Uislam, ndio maana mtume wenu Marehemu Mwamadi akawapa ruhusa ya kuoa wake WANNE, lakini bado hamjaridhika, na kuendelza biashara ya ushoga na umaumba.

Mnavisha wake wenu majoho kama maninja, lakini bado mnaongozwa na mafadhaiko wa akili na kuamua kurukia MAANTI MODI.
wapendwa tusiingize imani za kdiini kiasi hiki cha kuanza kukashifiana. kwa ujumla dini haizuii uzazi wa mpango, kinachozungumziwa hapa ni aina ya njia ya uzuiaji uzazi na matumizi mabaya ya njia hizo. kwa sasa mfano, wasichana ambao hawajaolewa, wanafunzi ndio wanaaongoza kutumia njia hizo! sasa kidini msichana/mvulana ambaye hajaoa/kuolewa hapaswa si tu kutumia njia za uzazi wa mpango bali haruhusiwi kabisa kufanya zinaa. labda tatizo hapa ni namna hao masheikh walivyo lichkulia/kulielewa jambo hilo (
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
kampeni, kilimanjaro, mashehe, mpango, uzazi, wapinga

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Mpango wa Kikwete ni EPA 'namba mbili' Halisi Jukwaa la Siasa 13 22nd June 2009 11:24 AM
Lazima tuwekane sawa kuhusu UKIMWI Shy JF Doctor 139 18th June 2009 02:00 PM
Uhuru wetu wa nini? Miaka 45 baadaye! Mzee Mwanakijiji Jukwaa la Siasa 88 7th April 2009 07:24 AM
Tubadilishe Jina la Jiji la Arusha : Liitwe Serengeti au Kilimanjaro Kasheshe Jukwaa la Siasa 33 26th March 2008 12:03 PM
Kikwete alivyovutia wawekezaji Italia, kupigia debe mapinduzi ya kilimo Afrika Field Marshall ES Jukwaa la Siasa 63 11th November 2007 08:30 AM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 05:47 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com