Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

    Report Post
    Page 1 of 4 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 78
    1. #1
      fikirikwanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Posts : 642
      Rep Power : 497
      Likes Received
      149
      Likes Given
      17

      Default Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Sisi wafanyakazi kwa umoja wetu kama ambavyo mmetusikia kwenye vyombo vya habari tunataka Irene ajiuzuru mara moja. Kutokana na kushindwa na kuonesha hana uwezo wa kufikiria kwa ajili ya jamii ya wafanyakazi.

      Ni wazi ameshindwa kuijua jamii ambayo anapaswa kuijua vizuri na kuiongoza ktk kuhimili maisha na changamoto zake.

      Tunamuomba Irene heri apishe ili wafanyakazi tuwe na imani na SSRA, suala la kutoa mafao ya kujitoa ni jaribio la mauaji ya halaiki, mtanzania huyu asiye na mtaji atasubiri vipi umri wake ufike 55 ili achukue mafao yake ile hali life spana yake ni miaka 47??? Irene unakopi visivyokopika, umeshindwa kuonesha una uwezo kiakili wa kufikiri na kupanga kwa ajili ya watanzania, achia ngazi.

      Tunaomba TUCTA isimame kitede kutuwakilisha wafanyakazi ktk sekta zote kuwa hatumtaki DG wa aina hii, pia hatuna muda wa kumwacha ajifunzie kazi maisha yetu. Aondoke mara moja, kama ni njaa anaganga ni heri akasubiri mme wake alete msosi au kama hana ni vema akaolewa mapema, lakini hili la kutunyima haki watanzania halikuballiki.

      Mtanzania mwenye akili timamu, aliyesoma, wazazi wake ni watanzania hawezi kukaa na kufikiri kuwa mafao ya kujitoa yasiwepo, hawezi hata kidogo, je Irene hili kalitoa wapi???? Tunataka kuanzia sasa turuhusiwe kuchukua mafao yetu tena kama kawaida sio ndani ya miezi sita bali mitatu tu.

      Nawasilisha.
      kvelia and gabz like this.

    2. Miaka 50

    3. kau
      #2
      kau's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st December 2011
      Posts : 49
      Rep Power : 383
      Likes Received
      7
      Likes Given
      2

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Naunga mkono asilimia mia moja!!!!!!!

    4. #3
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,675
      Rep Power : 1910
      Likes Received
      1580
      Likes Given
      676

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Mkuu sijaelwa una maana gani ?
      Ajihudhuru

    5. #4
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,054
      Rep Power : 14520
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5004

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      kwa kweli atoke tu! haijawahi sikilika, cjui anatuonaje?
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    6. #5
      Mzalendo JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Posts : 902
      Rep Power : 530
      Likes Received
      277
      Likes Given
      213

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Irine ni binti mdogo sana na kwa lugha stahiki ni Mbichi, Jiulize kakaa pale kwa mgongo wa nani? Hii ni TANZAJUANAJUANA
      Shangazi wa Taifa likes this.
      "Happiness is what you think, what you say, and what you do are in harmony"

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      bornagain's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : Nyakanazi - Biharamulo
      Posts : 1,606
      Rep Power : 690
      Likes Received
      437
      Likes Given
      318

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Mimi nashangaa sana, hivi huyu dada kwanza nani alimpatia cheo kikubwa sana kama chake? Du mimi kila nikimwangalia simumalizi hata kidogo. Sasa kwa mara ya kwanza kabisa naomba mwenye CV yake aimwage maana kati ya watu walionichefua mwaka huu mpaka nikatamani kwenda kutubu kanisani ni huyu dada.Nimeshamtukana matusi yote ya duniani na sitatubu mpaka hapo atakaporejesha fao la kujitoa. Kama vipi mimi mniambie kama kaolewa nataka nimuweke nyumba ndogo ili aone jinsi maisha ya bila mtaji yanavoumiza
      gabz likes this.
      There is a saying in aviation "You haven't crashed until you've crashed. Until then, keep flying the plane".

    9. PPM
      #7
      PPM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 403
      Rep Power : 474
      Likes Received
      65
      Likes Given
      38

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Quote By fikirikwanza
      Sisi wafanyakazi kwa umoja wetu kama ambavyo mmetusikia kwenye vyombo vya habari tunataka Irene ajihudhuru mara moja. Kutokana na kushindwa na kuonesha hana uwezo wa kufikiria kwa ajili ya jamii ya wafanyakazi.

      Ni wazi ameshindwa kuijua jamii ambayo anapaswa kuijua vizuri na kuiongoza ktk kuhimili maisha na changamoto zake.

      Tunamuomba Irene heri apishe ili wafanyakazi tuwe na imani na SSRA, suala la kutoa mafao ya kujitoa ni jaribio la mauaji ya halaiki, mtanzania huyu asiye na mtaji atasubiri vipi umri wake ufike 55 ili achukue mafao yake ile hali life spana yake ni miaka 47??? Irene unakopi visivyokopika, umeshindwa kuonesha una uwezo kiakili wa kufikiri na kupanga kwa ajili ya watanzania, achia ngazi.

      Tunaomba TUCTA isimame kitede kutuwakilisha wafanyakazi ktk sekta zote kuwa hatumtaki DG wa aina hii, pia hatuna muda wa kumwacha ajifunzie kazi maisha yetu. Aondoke mara moja, kama ni njaa anaganga ni heri akasubiri mme wake alete msosi au kama hana ni vema akaolewa mapema, lakini hili la kutunyima haki watanzania halikuballiki.

      Mtanzania mwenye akili timamu, aliyesoma, wazazi wake ni watanzania hawezi kukaa na kufikiri kuwa mafao ya kujitoa yasiwepo, hawezi hata kidogo, je Irene hili kalitoa wapi???? Tunataka kuanzia sasa turuhusiwe kuchukua mafao yetu tena kama kawaida sio ndani ya miezi sita bali mitatu tu.

      Nawasilisha.
      Hiyo sheria ya mifuko ya jamii amepitsha Irene au wabunge wenu vilaza

    10. #8
      Bobuk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 2,061
      Rep Power : 921
      Likes Received
      830
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By fikirikwanza
      Tunamuomba Irene heri apishe ili wafanyakazi tuwe na imani na SSRA, suala la kutoa mafao ya kujitoa ni jaribio la mauaji ya halaiki, mtanzania huyu asiye na mtaji atasubiri vipi umri wake ufike 55 ili achukue mafao yake ile hali life spana yake ni miaka 47??? Irene unakopi visivyokopika, umeshindwa kuonesha una uwezo kiakili wa kufikiri na kupanga kwa ajili ya watanzania, achia ngazi.
      Hata kama angekuwa MAHIRI wa Ku COPY na KU PASTE basi angefanya hivyo.

      Tatizo la Irene ni MAHIRI wa ku copy na ku paste MABAYA ya wenzetu, lakini linapoukuja suala la MAZURI ya wenzetu hawezi ku COPY na Ku PASTE.

      Hiyo sheria mbaya ya kuzuia mafao ya kujitoa alii copy kwa wenzetu huko.

      Lakini hapo hapo kama ni mahiri wa ku copy na ku paste basi pia ange copy sheria ya UNEMPLOYEMENT BENEFIT. Lakini yeye kwa makusudi kabisa hii sheriua NZURI ya wenzetu akaiacha.

      BTW, namkumbusha Irene madhumuni makubwa kabisa ya kuanzishwa SSRA ilikuwa ni ku HARMONIZE FORMULA ya kukokotoa mafao ya pensherni kwa mifikuo yote ya jamii, baada ya malalamiko kwamba wafanyakazi wa serikali kuu walijiundia mfuko wao PSPF unaotoa mafao mazuri zaidi ya mifuko mingine ya hifadhi ya jamii. (refer saga ya lecturers wa UDSM waliostaafu akina marehemu Prof Haroub Othuman etc).

      Kwanini huyu Irene hafanyii hili DAI NAMBA moja la wafanyakazi anarukia mambo mengine yasiyo na TIJA kwa wafanyakazi, indeed SSRA badala ya kutatua kero imekuwa KERO kwa wafanyakazi, SHE MUST GO!
      gabz likes this.

    11. #9
      fikirikwanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Posts : 642
      Rep Power : 497
      Likes Received
      149
      Likes Given
      17

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Wabunge wanapelekewa tena nikisema ukweli wote sometimes wanapelekewa kijanjajanja, ndo maana wamesituka na kupitisha irejeshwe bungeni ili watengue kifungu hicho chenye wizi kwa mali halali ya mtanzania kwa njia ya kisasa zaidi.

      Tunawashukuru wabunge kwa kupitisha hilo, Je aliyesimamia na mwenye dhamana ya hifadhi ya jamii SSRA achukuliwe hatua gani baada ya bunge kuona udhaifu huo??? Irene Isaka ajihudhuru hatuna imani naye, sasa atafanyaje kazi na sisi wenye mali/michango ambao hatumtaki na imani hatuna??? kama sio shida za dunia hii, njaa na kama sio ulafi wa madaraka angeomba kuachia ngazi mwenyewe kimya kimya kwa kosa ambalo yeye na ssra wamelifanya kwa watanzania.

      Leo hii wafanyakazi wanalia kwenye TV is it normal in Tz?? machozi hayo hayaendi bure.

    12. #10
      Ndinani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Posts : 2,947
      Rep Power : 1531
      Likes Received
      745
      Likes Given
      237

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Quote By kau
      Naunga mkono asili mia moja!!!!!!!
      Mimi naona itakuwa busara kama yeye DG na bodi nzima ya SSRA wangejiuzuru mapema iwezekanavyo kuwapisha watu wengine wenye busara waongoze shirika!!

    13. #11
      kwamtoro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2010
      Posts : 911
      Rep Power : 614
      Likes Received
      256
      Likes Given
      126

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Mapenzi na kazi, wapi na wapi. Lazima kinuke tu.

    14. #12
      Mlangaja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 492
      Rep Power : 532
      Likes Received
      91
      Likes Given
      73

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Hili jambo linaonekana kufa kufa vile. Suala la ssra ni kubwa kuliko wengi wetu tunavyolichukulia. Kimsingi DG wa ssra amefanya kosa kuu. Inaonekana huyu si Mtanzania. Amesomea huko Ulaya tangu kindergarten na sasa amekuja kututawala. Huyu haijui nchi hii kabisa na ni plagiarist mkubwa. Itafika wakati tuwalipue tu watu wa namna hii. Kama mimi nitakufa kwa umasikini wa kusababishwa na wendawazimu kama hawa kwani nini nisimmalize tu?

    15. MTK
      #13
      MTK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th April 2012
      Posts : 928
      Rep Power : 4494
      Likes Received
      300
      Likes Given
      329

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Quote By fikirikwanza
      Sisi wafanyakazi kwa umoja wetu kama ambavyo mmetusikia kwenye vyombo vya habari tunataka Irene ajihudhuru mara moja. Kutokana na kushindwa na kuonesha hana uwezo wa kufikiria kwa ajili ya jamii ya wafanyakazi.

      Ni wazi ameshindwa kuijua jamii ambayo anapaswa kuijua vizuri na kuiongoza ktk kuhimili maisha na changamoto zake.

      Tunamuomba Irene heri apishe ili wafanyakazi tuwe na imani na SSRA, suala la kutoa mafao ya kujitoa ni jaribio la mauaji ya halaiki, mtanzania huyu asiye na mtaji atasubiri vipi umri wake ufike 55 ili achukue mafao yake ile hali life spana yake ni miaka 47??? Irene unakopi visivyokopika, umeshindwa kuonesha una uwezo kiakili wa kufikiri na kupanga kwa ajili ya watanzania, achia ngazi.

      Tunaomba TUCTA isimame kitede kutuwakilisha wafanyakazi ktk sekta zote kuwa hatumtaki DG wa aina hii, pia hatuna muda wa kumwacha ajifunzie kazi maisha yetu. Aondoke mara moja, kama ni njaa anaganga ni heri akasubiri mme wake alete msosi au kama hana ni vema akaolewa mapema, lakini hili la kutunyima haki watanzania halikuballiki.

      Mtanzania mwenye akili timamu, aliyesoma, wazazi wake ni watanzania hawezi kukaa na kufikiri kuwa mafao ya kujitoa yasiwepo, hawezi hata kidogo, je Irene hili kalitoa wapi???? Tunataka kuanzia sasa turuhusiwe kuchukua mafao yetu tena kama kawaida sio ndani ya miezi sita bali mitatu tu.

      Nawasilisha.
      Ni kweli Irene kwa kushindwa kusimamia maslahi ya wafanyakazi wenzie ameshindwa mtihani wake wa kwanza ambao ungejenga imani ya wafanyakazi kwake; historia itamuhukumu;

      lakini tunapomtaka dada Irene ajiuzuru yeye peke yake, je wabunge ambao ndio wawakilishi wetu tuwaweke wapi kwa kupitisha muswada huo bila hata kuusoma na kuuchambua?!

      Waheshimiwa wabunge wetu walikuwa na kila fursa kumuita na kumuhoji dada Irene ili wajiridhishe kama wadau walikuwa wameshirikishwa kikamilifu kuelekea muswada huo!

      Irene sio mbunge kwa hiyo watunga sheria ndio walitenda dhambi kuu zaidi kwa kuukubali muswada wa Irene; je tuwawajibisheje?!

      Sipendi kumtetea dada Irene lakini pia tusimfanye "bangusilo" au mbuzi wa kafara peke yake kama tunataka kuelekea kwenye nchi ya ahadi.

    16. #14
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,962
      Rep Power : 3700
      Likes Received
      3576
      Likes Given
      5759

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Naunga mkono hoja
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    17. #15
      manuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2009
      Posts : 711
      Rep Power : 655
      Likes Received
      263
      Likes Given
      185

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Na hii ndiyo Tz bana mtalia mpaka machozi ya damu na hakuna anayesikia watu wengi wamepewa nyadhifa kwa kiapo cha kuitetea serikali iliyopo madarakani,Iwe kwa mabaya ama mazuri.
      So nadhani inahitajika wananchi wachini tunaoumia na mfumo huu tuache kumalizia hasira zetu kwenye keyboard tu bali tujaribu kuchek na plan B.
      TO BE HURT ITS YOUR OWN WILLING

    18. #16
      Nsiande's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2009
      Location : dar es salaam
      Posts : 1,517
      Rep Power : 807
      Likes Received
      725
      Likes Given
      67

      Default

      Quote By kwamtoro
      Mapenzi na kazi, wapi na wapi. Lazima kinuke tu.
      Don't drag unfounded allegations(sp) to this issue, yaani kila mtu kapata cheo alichonacho kwa kutoa chochote?!

      That's full of lies and u know it!

      She is capable of handling SSRA you should task paliamentarians for passing it

      SIUNGI MKONO HOJA !

      Irene Songa !
      Maundumula likes this.

    19. #17
      Natasha Ismail's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2008
      Posts : 304
      Rep Power : 614
      Likes Received
      23
      Likes Given
      6

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Irene hutufai go....

    20. #18
      SEBM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2012
      Posts : 336
      Rep Power : 3532
      Likes Received
      258
      Likes Given
      98

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Mkuu Fikirikwanza,
      1. Hivi unajua maana ya SSRA na misingi ya kuanzishwa kwake?
      2. Aliyeipitisha Sheria hiyo mpya ambayo haswa issue ya fao la kujitoa ndiyo imekuwa gumzo ni Irene au ni Bunge?
      3. Yeye anatekeleza sheria inavyomtaka, yaani sheria ya kuanzishwa kwa SSRA, sheria ya bunge ya mambo ya mafao, lakini niseme tu kuwa anatekeleza Job Description yake.
      4. Kwamba yeye kupewa u- DG wa SSRA, jamani huo ni wadhifa aliyoteuliwa nao na Mh. Rais.
      5. Kwamba SSRA wanalipata mshahara mkubwa, si kosa la Irene, yeye alitengeneza Scheme of Service na madokumenti kibao na yakapitishwa na Msajili wa Hazina na Utumishi na wafanyakazi wa SSRA wanalipwa, kosa lake ni lipi hapo?
      6. Mwisho wa siku, Irene ni mwajiriwa wa SSRA akama alivyo mhudumu, mlinzi, Karani nk.

      "Dont Hate The Player; Hate The Game"

      Kwa hili, tusimuonee bure.
      Maundumula likes this.

    21. #19
      Bobuk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 2,061
      Rep Power : 921
      Likes Received
      830
      Likes Given
      0

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Ndiyo tatizo la kumuachia mtu mmoja (read president) afikiri kwa niaba ya watanzania milioni 45.
      DCs, RCs, DGs, WEOs, VEOs, IGP, CJ, CDF, RPCs, PS, etc achague yeye? Huyu mtu ana AKILI za aina gani?
      gabz likes this.

    22. #20
      mangikule's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th June 2012
      Posts : 914
      Rep Power : 532
      Likes Received
      175
      Likes Given
      236

      Default re: Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

      Quote By fikirikwanza
      Sisi wafanyakazi kwa umoja wetu kama ambavyo mmetusikia kwenye vyombo vya habari tunataka Irene ajihudhuru mara moja. Kutokana na kushindwa na kuonesha hana uwezo wa kufikiria kwa ajili ya jamii ya wafanyakazi.

      Ni wazi ameshindwa kuijua jamii ambayo anapaswa kuijua vizuri na kuiongoza ktk kuhimili maisha na changamoto zake.

      Tunamuomba Irene heri apishe ili wafanyakazi tuwe na imani na SSRA, suala la kutoa mafao ya kujitoa ni jaribio la mauaji ya halaiki, mtanzania huyu asiye na mtaji atasubiri vipi umri wake ufike 55 ili achukue mafao yake ile hali life spana yake ni miaka 47??? Irene unakopi visivyokopika, umeshindwa kuonesha una uwezo kiakili wa kufikiri na kupanga kwa ajili ya watanzania, achia ngazi.

      Tunaomba TUCTA isimame kitede kutuwakilisha wafanyakazi ktk sekta zote kuwa hatumtaki DG wa aina hii, pia hatuna muda wa kumwacha ajifunzie kazi maisha yetu. Aondoke mara moja, kama ni njaa anaganga ni heri akasubiri mme wake alete msosi au kama hana ni vema akaolewa mapema, lakini hili la kutunyima haki watanzania halikuballiki.

      Mtanzania mwenye akili timamu, aliyesoma, wazazi wake ni watanzania hawezi kukaa na kufikiri kuwa mafao ya kujitoa yasiwepo, hawezi hata kidogo, je Irene hili kalitoa wapi???? Tunataka kuanzia sasa turuhusiwe kuchukua mafao yetu tena kama kawaida sio ndani ya miezi sita bali mitatu tu.

      Nawasilisha.
      AONDOKE haraka huyu FISADI anayetaka kufisidi hela na maisha ya wafanyakazi

    Page 1 of 4 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...