re: Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

By
Bolivar
Kama siridhiki na namna nilivyotendwa na polisi naweza kulalamika kupitia channels zipi? Kufungua shauri kawaida unaanzia polisi, je shauri la kumshtaki polisi linaanzia wapi?
Nimejaribu kucheki site yao, lakini haionyeshi ni jinsi gani ya kulalamika dhidi ya polisi. Kwenye nchi nyingine huwa wanakuwa na tume huru ambayo kazi yake ni kuhakikisha kuwa malalamiko dhidi ya polisi yanashughulikiwa ipasavyo. Unless kama kuna utaratibu mwingine, unaanza kulalamika kwa kupitia inspecta wa kituo chako cha polisi au kwa police staff manager kama yupo then unapanda ngazi taratibu. Lakini kama malalamiko ni mazito, sidhani kama hii ni njia muafaka. Pia sidhani kama polisi wanaweza kuwa fair na unbiased ku handle complaints from a member of the public. Labda wadau wenye ufahamu na hili watasadia kujua taratibu za kuilalamikia polisi.
“Wanaotaka kuhashua wanatoa rushwa. Wanaotaka kuhashukwa nao wanataka rushwa. Hahashukwi mtu bila rushwa, na mtu hahashui bila rushwa na hapo ndipo tatizo lilipo.” - Mie mwenyewe.
Follow Us Here