Ndio, muda huu nimesikia kwa BBC kuwa kesho kuna maandamano.
Ndio, muda huu nimesikia kwa BBC kuwa kesho kuna maandamano.
When your life becomes a battleground, your mind is the best weapon
wanaandamania uingereza?
Ngoja nikatafute mabomu ya machozi proof.
Nalazima niandamane liwalo na liwe
Upuuzi huu, nani alisema maandamano huleta tofauti yeyote Tanzania? Jikomboeni kwanza kutoka utumwa wa akili, mkaache woga wa kijinga na mkiisha kupata ujasiri nendeni mkaandamane. Kwa Tanzania hii, itapita miaka 200 hadi wananchi kudevelop moyo wa ujasiri na kuandamana kwa nia moja. Otherwise upuuzi tu huu, mi siandamani.
Kassanga.
Tabora.
Jamani yataanzia wapi hayo maandamano.kama ni kesho mi niko tayari wadau
Itakuchukuwa muda mrefu sana kuelewa maana ya post yangu, soma kwa maarifa ugundue nini kilichomo katikati ya mistari yangu. Usikurupuke kujibu post zangu utabaki njia panda kamanda, fungua akili ya ziada acha papara; penye nguvu hutoka mlo lakini penye uchungu asali hujisokota. Alamski.
bora waandamane hata mita mbili
CCM HAIJAWAHI KUSHINDA UCHAGUZI NA WALA HAITASHINDWA KATIKA UCHAGUZI
Kasanga,unapoweka post unatarajia watu waelewe bt unapoweka ili watu wasielewe mi nakuona km tatzo...ww kaa nyumbani upike mkeo akaandamane!Solidarity forever!
Jamni mwenye details atuambie hayo maandamano yanaanzia wapi hadi wapi? Yana kibali au hayana? ili watu tuwe tayari kwa lolote.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Maandamano yamepangwa kuanzia Mnazi mmoja mpaka SSRA offices mikocheni.
Follow Us Here