Ndio, muda huu nimesikia kwa BBC kuwa kesho kuna maandamano.
Ndio, muda huu nimesikia kwa BBC kuwa kesho kuna maandamano.
When your life becomes a battleground, your mind is the best weapon
SSRA ivunjwe tu. Ndio tatizo la kuweka wakurugenzi wanawake kwenye mashirika makubwa kwani akili zao ni za kushikiwa tu. Yani hawezi toa hoja kwenye huu uonevu wa waziwazi.
Watanzania huwa tunaigiza michezo ya kizamani tunachekesha! Yaani unakuta eti taasisi wakitaka kugoma eti uanze kupeleka maombi mahakamani uombe kugoma? hivi ni mahakama gani itakayokuambi sasa anza kugoma kuanzia kesho? au hizo taratibu za kuomba kugoma ni ipi hata moja ilishaaruhusu kuwepo kwa mgomo?? wafanyakazi tukishaamua kuna matatizo na tukakubaliana ni kuanza kugoma moja kwa moja hili la kwenda mahakamani ni kupoteza muda! sawasawa na mandamano, wewe unataka kuandamana kuipinga serikali unaenda kwa serikali hiyohiyo kuiomba kibali? huko ndio kuchekesha,. wewe ukishaona kuna haja ya kuandamana ingia mitaani andamana fikisha ujumbe!! serikali imeushika mhimili mahakama hivo usitegemee hata siku moja mahakama iamue tofauti na serikali!!
Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!
We never really grow up, we only learn to act in public.
tunawatakia maandamano mema kazeni boot maana hii serikali ni usanii mtupu
Maandamano hayakufanyika. Porojo na mikwa yote ilikuwa ni kazi bure.
...Kanisa halijawahi kumtuhumu Dr. Slaa kwa wizi wa hela za ujio wa Papa...{Jude Thaddaues O.F.M. Cap, Archbishop of Mwanza and President of Tanzania Episcopal Conference (TEC), March 20, 2012}
Hili suala la watu kuandamana mpaka kibali kitoke jamani si ni haki ya kikatiba nilizani ni suala la kuwaarifu polisi ili waje toa ulinzi na wakiwa hawana tunajilinda wenyewe
Kuna tatizo kwenye unadamanaji wa Tanzania, siku ya kuandamana mie nafanya kazi ili nipate hata hela ya kunywa maji.
tusubiri intelijensia ya Kova!ni miongoni mwa majukumu yake!
[QUOTE=GKassanga;4368675]Upuuzi huu, nani alisema maandamano huleta tofauti yeyote Tanzania? Jikomboeni kwanza kutoka utumwa wa akili, mkaache woga wa kijinga na mkiisha kupata ujasiri nendeni mkaandamane. Kwa Tanzania hii, itapita miaka 200 hadi wananchi kudevelop moyo wa ujasiri na kuandamana kwa nia moja. Otherwise upuuzi tu huu, mi siandamani.
Kassanga.
Tabora.[/QUOTE
Mimi nimekuelewa vizuri sana, tena na Mimi nakusupport, maandamano makes sense pale tutakapojitokeza wote kwa pamoja, wafanyakazi wote tulioajiriwa na tumejiunga na mifuko ya jamii Kama NSSF, PPF, PSPF, etc. Yaandaliwe kwa ufasaha, na tujitokeze wote hapo ndio italeta maana
Follow Us Here