Kukosekana kwa utu na ufahamu wa maswala ya haki za watoto, kunawafanya waendesha mashtaka kuchelewesha na kuleta ukiritimba ambao unaweza kusababisha wakati wana rule out Lulu atakuwa tayari umri wa Miaka 18 kama ushahidi halali upo