I would like to know the proccess for UK VISA application. I am going there for a normal visit
I would like to know the proccess for UK VISA application. I am going there for a normal visit
Wewe una matatizo na nafikiri hutaki kujua kama una matatizo! unauliza mambo ya VIZA kwenda Uingereza wakati kila kitu kipo mtandaoni? kama upo Dar sie uende Ubalozini au kama uko mbali si uangalie kwenye website yao nina uhakika kwa maana wana uelewa mkubwa sio kama wako wameweka maelezo yote humo! usitupotezee muda!
Ni rahisi sana Kwa ngamia kupenya kwenye Tundu Lisu la Sindano kuliko Kiongozi Bora kupatikana kwa njia ya Kupiga Kura Tanzania!
Sasa nina anza kuamini ile dhana kuwa jina linabeba baadhi yatabia, matendo na mienendo ya mtu. Www Janaja Pori rudi Porini ukajipange upya.
Balozi Ubalozini Unyama Unyamani.
Mkuu,
Tembelea tovuti hii na utapata maelezo yote muhimu na utakuwa umejiandaa vya kutosha.
Applying for a UK visa in Tanzania
Kila lakheri.
When thinking about my risk assessment, I always remember:
HAZARD and the RISK .
Zaidi Janja pori nasikia nowdays kila kitu kinafanyika kenya na pale kenya kweye ubalozi wa UK kuna officer mkenya mnoko sana hatoi VISA kwa wa TZ kesi nyingi zinakuwa rejected na anawapa VISA wakenya wenzake, so mkuu wangu omba mungu maana TZ hapo kuna ubalozi wa UK ila waliona ni expensive sana kushughulikia kote kote na kenya ni karibu so walichofanya applications zote mkituma hapo Embassy ya UK dar forms zote zinapelekwa kenya ndio wanaenda kuamua everything..sasa kenya ndio kuna huyo officer mnoko sana so omba mungu ukituma forms zako upate majibu mazuri.
Ni rahisi sana Kwa ngamia kupenya kwenye Tundu Lisu la Sindano kuliko Kiongozi Bora kupatikana kwa njia ya Kupiga Kura Tanzania!
Follow Us Here