Ni kupata idadi kamili ya wapiga kura ili kama uchakachuaji unafanyika,basi ufanyike kiustadi mkubwa.'Kikompyutakompyuta'.NI DA wameshaagizwa kuhakikisha wanafananisha watakaoandikishwa na wale walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga kura ili kujua hasa vituo vya kuigia kura. Wameshakabidhiwa nakala za Daftari la Kudumu.Hujiulizi kwanini vitambulisho wapewe tu miaka 18 na kuendelea? CHADEMA watatoa sera,CCM wataiba kura...
Uongo huonekana na kuaminiwa haraka.Ukweli ndio mwisho wa yote!
Follow Us Here