Wanasheria ninawaomba msaada.
Nimeumia kazini, ni sheria ipi inatumika? Au haki zangu ni zipi?
Wanasheria ninawaomba msaada.
Nimeumia kazini, ni sheria ipi inatumika? Au haki zangu ni zipi?
Ni sheria inayoitwa 'Workmen Compensation Act'
Kiwango cha fidia kitategemea na aina ya ulemavu ulioupata, mfano malipo ya ulemavu wa muda ni tofauti na malipo ya ulemavu wa kudumu
Asante sana Nimeipata hiyo Act The Workers' Compensation ACT 2002. Baada ya kuisoma nimesikitika sana. Kipengele cha 7 kinasema ukipata ulemavu wa kudumu unapaswa kulipwa mishahara yako ya miezi 54 lakini kiasi hicho cha pesa kisizidi 108,000 na kisipungue shs. 2,000. Uliimanisha sheria hiyo ya ukandamizaji namna hiyo?
Follow Us Here