Hivi kwa fact zilizopo kuhusu kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka, akirudi anaweza fungua mashitaka kwa watesi wake maana anawajua. hilo linawezekana?