wana jf naomba mnifahamishe na kunipa details za school of law je ni lazima kwenda huko?
wana jf naomba mnifahamishe na kunipa details za school of law je ni lazima kwenda huko?
Siyo lazima.
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Siyo lazima kila mtu kwenda law school kwa sasa,eg,mahakimu wanaajiriwa hata bila kwenda law school.vilevile kuna legal officers,state attorney serikalini aambao wanafanya kazi za sheria hata bila ya kuwa na cheti cha law school
Follow Us Here