Afisa elimu kwa walipa kodi tra dar longroom - kichefuchefu
Poleni wadau wa jamvini kwa mihangaiko ya kutwa Nzima. Napenda kutoa dukuduku langu kuhusu afisa mtajwa hapo juu kwani amekuwa na kauli chafu sana kwa wadau walipa kodi nchini. Mama huyu ambaye naamini nafasi hiyo kapewa bila taaluma na wakubwa anayeitwa Rose Mahendeka anatushawishi sisi walipa kodi wa nchi hii kujaribu kuthubutu kukwepa kodi kutokana na kauli mbovu anazotoa kwetu tunapokuwa na malalamiko ya kucheleweshewa Document (Kadhia) ktk kituo cha Forodha.Kwanza tunashangaa taasisi kubwa kama TRA kuajiri watu kwa FACEBOOK ili hali ikijua kuwa ni kitovu cha uchumi wa nchi hii. Kamani wadau mtu mgawa chai kesho valuation officer halafu ukitoa malalamiko huyo dada anadai kukejeli keeli nimeumia sana na naomba kuwasilisha....HATUMTAKI ALIYE MWEKA AKAMUONDOE........+**u****?
Re: Afisa elimu kwa walipa kodi tra dar longroom - kichefuchefu
Wewe utakuwa na yako, au unataka kuchukua nafasi yake hapo Long rum!! Walipa kodi tunafahamu njia ya kupeleka malalamiko na Kitilya huwa anayafanyia kazi on the spot.
Re: Afisa elimu kwa walipa kodi tra dar longroom - kichefuchefu
By Rejao
Wewe utakuwa na yako, au unataka kuchukua nafasi yake hapo Long rum!! Walipa kodi tunafahamu njia ya kupeleka malalamiko na Kitilya huwa anayafanyia kazi on the spot.
@Rejeo huyu bwana ana hoja japokuwa sina hakika na la huyo mpikachai (japo pia ningefurahi kusikia mpikachai kajiendeleza hadi kufika kuwa afisa), lakini huyu dada anayemzungumzia nadhani angestahili kupewa kazi ambayo haimkutanishi na wateja- ni mjivuni na mwenye maringo kupindukia. Sijui anfanya haya kwa kujiaminisha na nini!- Labda kwa sababu ana umbo lenye kuvutia kidogo! Naamini anatakiwa kujua kwamba tunapoenda Longroom ni kwa ajili ya kulipa kodi sio kuangalia mikogo, dharau na majivuno (afterall ile ni ofisi ya Umma majivuno ampelekee mumewe-kama anaye)
Follow Us Here