Kwa wale ambao hawakubahatika kuiona hii kitu angalia kuanzia dakika ya 2 na sekunde ya 40 hivi ili ujue ni under 18 or above. Hii ilikuwa miezi kadhaa kabla ya tukio.
Mkasi - SO2E08 With Lulu - YouTube

“The only white man you can trust is a dead white man, "ROBERT MUGABE"
peleka kwenye jukwaa husika, sio siasa hii
Kaka/dada, hili ni jukwaa la siasa sio michezo!
Umekosea jukwaa
Hii ndio TZ hakuna kitu kinashindika, hela yako tu.
GOOD JUDGEMENT COMES FROM EXPERIENCE, BUT EXPERIENCE COMES FROM BAD JUDGEMENT.
ndo wajifunze wakiwa katika vyombo vya habari waache kuropokaropoka OVYO
haya kumbe michuzi mnafiki hlo niliwai kuliwaza ngoja nifanye utafiti kwanza juu ya hilo
Kumbe LULU amepita miaka 18?
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Follow Us Here