Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni akamatwa na kichwa cha albino

    Report Post
    Results 1 to 6 of 6
    1. #1
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,115
      Rep Power : 19195
      Likes Received
      8055
      Likes Given
      26515

      Angry Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni akamatwa na kichwa cha albino

      JAMES ISAME [50] mmiliki wa nyumba ya kulala wageni iitwayo Bongo Star Lodge iliyopo Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam, amekamatwa kwa kukutwa na kichwa cha binadamu kinachosadikiwa kuwa ni cha mlemavu wa ngozi [ablino]
      Kufuatia hiyo Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni linamshikilia kutoa maelezo kuhusiana na tukio hilo

      Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela amesema mfanyabiashara huyo alikamatwa juzi majira ya saa 2:45 usiku baada ya wasamaria wema kutoa taarifa kuhusiana na tukio hilo

      Kamanda Kenyela amesema mara baada ya taarifa hiyo kutolewa askari polisi walifika mahali hapo kwa ajili ya upekuzi katika nyumba hiyo ya kulala wageni iliyoambatana na baa

      Amesema, walifanikiwa kukuta kichwa hicho cha binadamu kikiwa kimewekwa juu ya ukuta wa choo kikiwa kimevingirishwa katika mfuko wa rambo

      “Ni kweli tumekikuta kichwa hicho kikiwa kimening’inizwa ukuta wa chooni,na tulikigundua kuwa ni cha binadamu baada ya kuona nywele na meno”

      Kamanda Kenyela alizidi kufafanua kuwa katika uchunguzi walioufanya walibaini kichwa hicho kilikuwa ni cha mtoto ambacho bado hawajabaini ni cha jinsia gani

      Hata hivyo Kamanda Kenyela alisema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea

      Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni akamatwa na kichwa cha albino
      Only Do What Your Heart Tells You




      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,653
      Rep Power : 715
      Likes Received
      289
      Likes Given
      36

      Default Re: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni akamatwa na kichwa cha albino

      Umaskini wa akili ni Uchawi,

    4. #3
      Inkoskaz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Location : URT
      Posts : 4,396
      Rep Power : 7348
      Likes Received
      1060
      Likes Given
      1088

      Default Re: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni akamatwa na kichwa cha albino

      Imekaa kama jamaa alitegewa...na huenda wategaji walifukua maiti na siyo kuua...ndio maana hata utambuzi wa jinsia ulikuwa mgumu
      Thinking is the hardest work there is,which is probably the reason why so few engage in it!!

    5. #4
      Rebel volcano's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 404
      Rep Power : 431
      Likes Received
      84
      Likes Given
      0

      Default Re: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni akamatwa na kichwa cha albino

      kitu kama hicho,inaelekea alitegewa!

    6. #5
      mhalisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 564
      Rep Power : 599
      Likes Received
      138
      Likes Given
      120

      Default Re: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni akamatwa na kichwa cha albino

      wengi wanahisi alitegewa.

    7. Miaka 50

    8. #6
      congobe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st May 2012
      Posts : 123
      Rep Power : 375
      Likes Received
      12
      Likes Given
      0

      Default Re: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni akamatwa na kichwa cha albino

      tego hilo huwezi kaa na kicha cha bin adam ,labda ingekuwa kiungo. kingine

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...