Ni katika oparesheni kali inayoendeshwa na Kamanda wa polisi Simon Silo aliyepiga kambi Wilayani Serengeti.Vifaa hivyo vimekamatwa ktk kijiji cha Rung'abure wilayani Serengeti.Vifaa vilivyokamatwa ni Kompyuta ndogo(laptop),Kamera,Viatu,Ngu o na Simu.Katika purukushani ya kupambana na majambazi hayo iliyotokea majira ya saa nne asubuhi wamefanikiwa kuwakamata majambazi wawili waliohusika ktk tukio la kuvamia hoteli ya Moivaro.
Source:Mimi mwenyewe.

Reply With Quote

Follow Us Here