Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Swali kwa wanasheria wote kuhusu mahakama ya kazi na mgomo wa madaktari

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      SirBonge's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th July 2010
      Posts : 167
      Rep Power : 582
      Likes Received
      91
      Likes Given
      32

      Default Swali kwa wanasheria wote kuhusu mahakama ya kazi na mgomo wa madaktari

      Wandugu, je mahakama ya kazi nini majukumu yake hasa? ni kusuluhisha tu migogoro ya kazi au inaweza kushitaki?? Je hili la mahakama ya kazi kuwaamuru chama cha madaktari kusitisha mgomo wakati sio MAT walioitisha mgomo limekaaje kisheria??
      Tunaomba mtusaidie mnaojua sheria maana sisi wananchi tunaona kama serikali imeiingiza Chaka mahakama katika hili, na ni ujanja ili lisiendelee kuopngelewa popote Bungeni au kwenye vyombo vya habari kwa kisingizio kwamba liko mahakamani!

    2. Miaka 50

    3. #2
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,146
      Rep Power : 2421
      Likes Received
      938
      Likes Given
      377

      Default Re: Swali kwa wanasheria wote kuhusu mahakama ya kazi na mgomo wa madaktari

      Hakuna sheria bongo ni danganya toto tu, sheria gani zinazong'ata watu wa hali ya chini tu huku wa hali ya juu wakitamba!?

    4. FemaTV & Radio

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...