Nimekaaa nikatafakari sana baada ya leo kusikia kuwa eti ni siku ya Kupiga vita madawa ya kulevya; nikamsikiliza na Lukuzi nae, mmmmhhhh nikajiuliza hivi, kila siku tunaona madawa mbali mbali yakikamatwa ikiwa ni pamoja na Bangi, Cocaine na mengineyo; Juzi hapa wakakamata bangi kilo mia nne, shamba la bangi Korogwe likachomwa moto na kwingineko; Je Cocaine na madawa ambayo yako imported huwa yanapelekwa wapi? Yamehifadhiwa wapi na kwa ajili gani????


Reply With Quote

Follow Us Here