Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

    Report Post
    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast
    Results 61 to 80 of 89
    1. #1
      Ni Mimi Msiogope's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 284
      Rep Power : 408
      Likes Received
      152
      Likes Given
      31

      Default Kesi ya mhe.joseph selasini iliyotokana na ajali aliyoipata hivi karibuni?????

      SALAAM!
      Inakumbukwa kuwa Mhe.Joseph Selasini Mbunge wa Rombo alipata ajali mbaya ya gari na watu watatu kupoteza maisha akiwemo mama yake Mzazi... Hapa nataka kujua kama ile ile hatua iliyochukuliwa kwa Mr.Deus Mallya aliyetuhumiwa kuendesha kwa kasi na kusababisha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tarime Marehemu Chacha Wangwe itachukuliwa kwa Mhe.Selasini?? Sheria ina wakubwa na wadogo?

    2. FemaTV & Radio

    3. #61
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1846
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Re: Mbunge selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Sheria inasemaje kwa tatizo kama lile linapotekea? Kama madereva wanaosababisha ajali uwa wanapelekwa mahakamani, basi kamanda Selasini hawezi kwepa. Vinginevyo tupate tafsiri sahihi juu ya hili itakuwa bora zaidi kuliko kujadili kwa hisia.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"




    4. #62
      Gwankaja Gwakilingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th January 2012
      Location : Masoko Busisya
      Posts : 1,199
      Rep Power : 608
      Likes Received
      326
      Likes Given
      32

      Default Re: Mbunge selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Hili nalo Litapita
      kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac

    5. #63
      Jabulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th March 2009
      Location : Kituo cha Polisi Jamii
      Posts : 2,973
      Rep Power : 1369
      Likes Received
      821
      Likes Given
      254

      Default Re: Mbunge selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Tujaribu kupitia orodha za ajali za wabunge wa CCM, na hatua zilizochukuliwa dhidi yao. Yule dereva wa Chacha Wangwe (CHADEMA) alitumikia kifungo, huyu Selasini anashtakiwa, Regia (R.I.P) alifariki, sasa tuangalie madereva wa Kapuya, Salome Mbatia, Mudhihir, Menrad Kigola, Mussa Khamis Silima (alikuwa akiendesha yeye, mkewe akafa) na wengine wengi wa CCM
      Kamanda wa Polisi Jamii - Kanda Maalumu

    6. #64
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,679
      Rep Power : 0
      Likes Received
      538
      Likes Given
      273

      Default Re: Mbunge selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Quote By Jabulani
      Tujaribu kupitia orodha za ajali za wabunge wa CCM, na hatua zilizochukuliwa dhidi yao. Yule dereva wa Chacha Wangwe (CHADEMA) alitumikia kifungo, huyu Selasini anashtakiwa, Regia (R.I.P) alifariki, sasa tuangalie madereva wa Kapuya, Salome Mbatia, Mudhihir, Menrad Kigola, Mussa Khamis Silima (alikuwa akiendesha yeye, mkewe akafa) na wengine wengi wa CCM
      Kwa tabia zenu hizi hata mambo ya kisheria mnatumbukiza siasa ni hatari kwa nchi.

      Huyu jamaa hayupo makini na sio mara ya kwanza kupata ajari. ingekuwa nchi za wenzetu angenyang'anywa leseni.

      Yaani nina hasira mimi.

    7. RC.
      #65
      RC.'s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2012
      Posts : 348
      Rep Power : 421
      Likes Received
      30
      Likes Given
      16

      Default

      Quote By Tume ya katiba
      Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, limesema litamfikisha mahakamani Mbunge wa Jimbo la Rombo, (Chadema), Joseph Selasini (50), kufuatia ajali ya gari alilokuwa akiendesha kusababisha vifo vya watu wanne.

      Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Absalom Mwakyoma, ambaye kwa sasa amehamishiwa mkoani Mara, aliieleza hayo NIPASHE Jumamosi, kuhusu hatua zinazofuata baada ya ajali hiyo ambapo mbunge huyo alikuwa dereva wa gari hilo.

      Kwa mujibu wa sheria za usalama barabarani, dereva anayesababisha ajali hufikishwa mbele ya chombo cha haki ambacho ni mahakama.

      Alisema wanachosubiri ni michoro ya askari aliyepima ajali hiyo, kwani yapo mambo mengi kutokana na ajali hiyo iliyotokea katika barabara kuu ya Moshi Arusha baada ya gurudumu kupasuka.

      “Polisi tuna maadili, tunasubiri apone kwani alikuwa mahututi na amefiwa na mama yake mzazi, mkwe na ndugu wengine huku mke wake akiwa bado yu mahututi hospitalini, tutapima ajali na tutachunguza...Sheria lazima ifuate mkondo wake na kesi dhidi yake ipo pale pale,” alisema Mwakyoma.

      Aidha, alisema ajali hiyo inahitaji uchunguzi wa kina kwa kuwa inahusisha mambo mengi ikiwemo gurudumu moja kupasuka na kisha gari kwenda kuparamia kalavati, hivyo mara baada ya uchunguzi kukamilika sheria itafuata mkondo wake.
      Ajali hiyo ilitokea Mei 24, mwaka huu, majira ya saa 1 usiku, katika eneo la Chuo cha Ufundi Bomang’ombe, barabara ya Moshi Arusha, wakati akitokea kwenye msiba wa padri mkoani Arusha, ambapo watu wawili walifariki papo hapo.

      Chanzo cha ajali hiyo kinaelezwa ni mwendo kasi na kumkwepa mwendesha pikipiki. Gari lilikuwa likiendeshwa na mbunge huyo ni lenye namba za usajili T 441 BRT aina ya Toyota Land Cruiser VXR s/Wagon.

      Katika gari hilo, kulikuwa na abiria sita, ambapo wawili walifariki eneo la tukio, mmoja hospitali ya wilaya ya Hai, na mwingine usiku baada ya kufikishwa hospitali ya rufaa ya KCMC kwa matibabu.

      Akizungumza na waandishi wa habari, Mbunge huyo, aliiomba Serikali kufanya ukaguzi wa kina wa bidhaa na vipuri vya magari vinavyoingizwa kutoka nje ya nchi, kwa kuwa ni siku tatu zilizopita alinunua magurudumu ya gari hilo, ikiwa ni pamoja na elimu kwa waendesha bodaboda na baiskeli.

      Hii ni ajali ya pili kwa mbunge huyo, baada ya ajali ya kwanza mwaka juzi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, ambapo alivunjika mkono wa kulia mara tatu.



      Sosi: ippmedia.com
      Ssa angefanyaje?kama tairi limepasuka?

    8. Miaka 50

    9. #66
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,177
      Rep Power : 2427
      Likes Received
      944
      Likes Given
      377

      Default Re: Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Eti police wana maadili! Wangekuwa na maadili wangeuwa raia wasiokuwa na hatia? Wangekuwa wakijizolea rushwa kila kukicha!?

    10. #67
      Chatumkali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Location : DOM
      Posts : 1,384
      Rep Power : 974
      Likes Received
      184
      Likes Given
      166

      Default Re: Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Quote By Shine
      Eti police wana maadili! Wangekuwa na maadili wangeuwa raia wasiokuwa na hatia? Wangekuwa wakijizolea rushwa kila kukicha!?
      Hujamuelewa.Anamaanisha maadili kwa watu maalum tu.

    11. #68
      kipipili's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Posts : 1,279
      Rep Power : 755
      Likes Received
      59
      Likes Given
      12

      Default Re: Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

      pilitoni=jacksonmichael
      "Annuntio vobis gaudium magnum... habemus papam!" - "I announce to you a great joy... we have a pope!"

    12. #69
      Lokissa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2010
      Location : Goba
      Posts : 4,092
      Rep Power : 5807
      Likes Received
      1024
      Likes Given
      2876

      Default Re: Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

      ni sheria tu lakini hatakutwa na hatia
      na wala sio kesi ya mauaji
      hata adhabu zake ni ndogo.
      You may know me but you have no Idea who I am !

    13. #70
      Pilitoni's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th July 2011
      Posts : 431
      Rep Power : 0
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Gagnija
      Usijekuta huyu mchaga hata hela anayolipwa kama mshahara wa dereva anameza.
      haya ndio matatizo ya ndugu zangu wachaga,badiliken ndugu zangu! Hela zote anataka yeye, looh!!!

    14. #71
      Pilitoni's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th July 2011
      Posts : 431
      Rep Power : 0
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By 4change
      duh!hivi ndugu tayari ishathibitishwa beyond reasonable doubt kwamba ajali ilitokana na uzembe wake?mbona watu wengine mnapenda kukurupukia sana mambo?anyway,pole zake na wote walopatwa na misiba kutokana na ajali hiyo.ni matumaini yetu kuwa polisi watakuja na sababu za 'kitaalam' za chanzo cha ajali hiyo....ili in kuwa funzo la kuepuka kutokea tena kwa ajali za dizaini hiyo...!
      wewe utakuwa lichaga,kwa kubebana nyie,mnatisha! Uzalendo kwenu ni ukabila.

    15. #72
      Vmark.'s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd August 2011
      Location : Arusha/Moshi.
      Posts : 735
      Rep Power : 542
      Likes Received
      89
      Likes Given
      9

      Default

      Quote By Pilitoni
      haya ndio matatizo ya ndugu zangu wachaga,badiliken ndugu zangu! Hela zote anataka yeye, looh!!!
      Who confirmed that anakula hela za dereva?? What if dereva wake alikua mgonnjwa? Do you have enough facts of condemning him?

    16. #73
      Vmark.'s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd August 2011
      Location : Arusha/Moshi.
      Posts : 735
      Rep Power : 542
      Likes Received
      89
      Likes Given
      9

      Default

      Quote By Pilitoni
      wewe utakuwa lichaga,kwa kubebana nyie,mnatisha! Uzalendo kwenu ni ukabila.
      God must love crazy people because he make so many of them....

    17. #74
      Filipo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : Kiding'a
      Posts : 6,349
      Rep Power : 18614
      Likes Received
      3508
      Likes Given
      1663

      Default

      Quote By Gwankaja Gwakilingo
      Hili nalo Litapita
      Asante!

    18. #75
      COWARD's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Posts : 28
      Rep Power : 362
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By JacksonMichael
      Huyu mbunge anaonekana ni careless sana haiwezekani ukawa na ajali mbili mpigo, na inasemekana anaendesha kwa fujo sana haya magari ya mkopo.
      ndugu mpendwa,ninakushauri utafute kamusi ya kiswahili na utafute maana ya neno ajali.kisha nenda katafute kamusi kiingereza(dictionary) tafuta tena maana ya neno ajali(accident).baada ya kusoma kwa umakini,nenda kwenye google tafuta maana ya neno "RISK".baada ya kufanya zoezi hilo jepesi,kaa utafakari haya;"ni mtu gani aliye normal asiyempenda mama yake mzazi na kumjali"."je sisi binadamu ndio huwa tunapanga ni wakati gani tuugue na ni wakati gani tuwe na siha njema?"fikiriri kabla ya................

    19. #76
      Anheuser's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2011
      Posts : 1,295
      Rep Power : 673
      Likes Received
      335
      Likes Given
      135

      Default Re: Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Quote By COWARD
      ....ni mtu gani aliye normal asiyempenda mama yake mzazi na kumjali"
      Well, kama alimpenda Mama yake mbona yeye alifunga mkanda lakini Mama yake hakumfungisha?

      Unasema binadamu hapangi kuugua, ukilala na makahaba bila ma plastic ukapata umeme tukisema umejipangia kuumwa tutakosea?

      Quote By RC.
      Ssa angefanyaje?kama tairi limepasuka?
      Kila siku ajali zikitokea utasikia matairi yamepasuka, matairi yamepasuka, matairi yamepasuka, uongo mtupu, mbona nchi zilizoendelea husikii kila siku matairi yamepasuka?

      Ndio haya mambo tunasema humu lakini moderators wanafuta mawazo yetu, mauaji mengine ya barabarani ni uzembe tu!

    20. #77
      ntamaholo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : Mwilavya
      Posts : 4,116
      Rep Power : 1387
      Likes Received
      918
      Likes Given
      412

      Default Re: Mbunge selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Quote By Saint Ivuga
      askari wetu ni maffaa*** la kweli .. Badala ya kupiga vita ili serikali iache kuingiza bidhaa fake hasa kutokea kenya wanakuja na mashairi ya ajabu ajabu hapa.. Sishangai kuwa wengi wao wana vyeti fake.
      mkuu, taratibu basi. unachopinga ni mbunge kushtakiwa au ni nini? kama we ni dereva, nadhani unajua sheria ya usalama barabarani, lkn kama ni layman na hujishughulishi kujisomea ndo mwanzo wa kauli kama zako. Ajali imetokea, na kupelekwa mahakani ndiko kuitafuta haki
      UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE

    21. #78
      ntamaholo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : Mwilavya
      Posts : 4,116
      Rep Power : 1387
      Likes Received
      918
      Likes Given
      412

      Default Re: Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Quote By COWARD
      ndugu mpendwa,ninakushauri utafute kamusi ya kiswahili na utafute maana ya neno ajali.kisha nenda katafute kamusi kiingereza(dictionary) tafuta tena maana ya neno ajali(accident).baada ya kusoma kwa umakini,nenda kwenye google tafuta maana ya neno "RISK".baada ya kufanya zoezi hilo jepesi,kaa utafakari haya;"ni mtu gani aliye normal asiyempenda mama yake mzazi na kumjali"."je sisi binadamu ndio huwa tunapanga ni wakati gani tuugue na ni wakati gani tuwe na siha njema?"fikiriri kabla ya................
      kuna tangazo la kondomu linasema, " kama kweli unampenda utamlinda". kama alimpenda mama yake na wote waliokuwa ndani ya gari, mwenda kasi wa nini? kwani alikuwa marathon? haya kuna safety rules kwa wapanda magari, alizingatia? mfano kufunga mikanda na mengine? halafu yeye ni mheshimiwa, na tayari analipwa hadi hela ya dereva, kwa nini aendeshe yeye? kama siyo uchu na dhuluma vimemtawala ni nini? kwenda mahakaman aende ili pia mambo mengine yarekebishwe. na tusipofanya hivyo, ipo siku na rais wa jamhuru atachukuwa benzi za ikulu aanze kuendesha mwenyewe
      UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE

    22. #79
      yohane's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 31
      Rep Power : 357
      Likes Received
      2
      Likes Given
      4

      Default Re: Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Kwani kitatokea kipi kipya? Polisi acheni kuwa roboti na kuzalisha gharama bila sababu za msingi. Hii ni kesi ya Khufu Gia hapo hapo polisi.

    23. #80
      Pinokyo Jujuman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2012
      Posts : 511
      Rep Power : 470
      Likes Received
      64
      Likes Given
      5

      Default Re: Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

      Bwana Joseph Selasini; baada ya kusikiliza ushahidi na utetezi wa upande wako na kulipitia jalada la kesi yako, Mahakama imekukuta na kesi ya kujibu hivyo kwa kuzingatia kifungu cha 12 kifungu kidogo cha 3 B cha ajali barabarani, mahakama inakuhukumu kwenda jela Miezi sita au kulipa fine ya fedha za Tanzania kiasi cha shilingi laki nane.
      Kooooooooot................

      »Kama iwavyo kwa madereva wengine,mf.Mh.Chenge,dereva wa daladala, hata kwa hili la Mh.30 sio tatzo ni majukumu tu ya Polisi na Mahakama

    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...