Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

    Report Post
    Page 1 of 4 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 67
    1. #1
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Marehemu Steven Kanumba

      Polisi wetu wameonyesha ukilaza wao kumkamata Lulu ambaye alikwenda kuwaarifu ya kuwa mpenzi wake amedondoka na kufa mwenyewe. Polisi wenye mafunzo stahiki walipaswa kutoa PF, kurekodi kauli za wahusika na kuchukua contacts zao na kuwaruhusu waondoke wakisubiria taarifa ya ukaguzi wa mwili wa mwendazake.................... ............

      Kitendo cha polisi kumkamata na kumhusisha na mauaji Lulu ni kumnyang'anya haki zake za asili na za kikatiba za kuwa hana kosa hadi pale atakaposhitakiwa na kosa..................polisi wamemkamata huku hawana ushahidi wowote kuwa kanumba aliuawa na kuwa hiyo ni kesi ya murder na kauli ya kamanda wa polisi aliedai kuwa Lulu atashitakiwa kwa mauaji inathibitisha jinsi jeshi la polisi lisivyojua wajibu wake ndani ya polisi jamii................

      katika mazingira ya namna hii nani atatoa taarifa kwa polisi wakati akijua ataanza kubughudhiwa..............na kushukiwa kuwa anahusika na mauaji wakati hakuna ushahidi wowote hadi sasa wa kufanya hivyo.........mtoto wa watu kakoseshwa kula Easter yake kwa sababu ya uzembe na umbumbu wa polisi wetu................kweli tunakazi ya kuwalisha hawa vilaza polisi na familia zao kwa kutubughudhi tu!

      Pili, hakuna maelezo kwa nini mdogo wake wa Kanumba - Seth - naye hakukamatwa pia kutokana na maelezo yake mwenyewe kuwa siku nzima alikuwa na kaka yake kabla ya Lulu kuja
      ...................mashaka kama yanaweza kutiliwa kwa Lulu kwa nini watu wote waliokuwapo wakati marehemu yupo hai wasichukuliwe kama ni watuhumiwa bali mdogo wake aonekane hana hatia kama siyo ubaguzi wa kijinsia? kauli ya polisi kuwa ni ugomvi wa kimapenzi ndiyo uliomwuuwa unazidi kulidhalilisha jeshi la polisi kwa kufikia hatma ya swala lenyewe hata kabla ya kusubiri maelekezo ya taarifa za kitabibu...............kutoka Muhimbili.......hii sasa ni aibu kwa jeshi la polisi....................na yaonyesha kuna watu wengi wamefungwa kutokana na huu uzembe wa kufikiri wa polisi wwetu........

      .............katika khali ya kawaida Lulu alitaka kuishia lakini ni mwendazake ambaye alikuwa anamzuia na yaonekana alikuwa ana nguvu zaidi ya kumzuia pale alipoweza kumrudisha chumbani na kufunga mlango wa chumba........................ ..watu hudondoka tu kwa viungo ndani ya miili ayo kushindwa kutekeleza majukumu yake..........viungo hivyo ni kama moyo, maini, figo, bandama n.k na hata ubongo waweza kushindwa kufanya kazi na mtu akadondoka chini na kupata majeraha ambayo mbumbumbu wetu wa polisi hawana zana za upembuzi yakinifu hata kusema hakuna kesi ya aina yoyote ile hadi pale watakapopata taarifa ya post-mortem kutoka kwa madaktari Muhimbili..................... ............

      polisi wamwachie binti akale sikuukuu au vinginevyo wajiandae kumfidia kwa usumbufu na udhalilishaji waliomsababishia.............. .....
      Last edited by Rutashubanyuma; 10th April 2012 at 22:01. Reason: spelling, photo inclusion
      bucho, Apta Kayla and Jbh like this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      StaffordKibona's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2008
      Location : Tabora
      Posts : 673
      Rep Power : 699
      Likes Received
      28
      Likes Given
      2

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Kama kuna ukweli ndani yake
      Rutashubanyuma likes this.
      Utwambombo

    4. #3
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Kama kuna ukweli ndani yake
      ni vyema wakamwacha binti wa watu akale sikukuu yake.....................mwuua ji huwezi kumjua kwenye mazingira haya bila ya afya ya kanumba kueleweka........hadi hivi sasa polisi hawana ushahidi wowote sasa kwa nini wahisi kuna mauaji?
      Martha K likes this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    5. #4
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,645
      Rep Power : 4015
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Polisi gani? Hawa hawa wenye njaa na kiu ya mali?
      Rutashubanyuma likes this.

    6. #5
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    7. Miaka 50

    8. #6
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,158
      Rep Power : 31371
      Likes Received
      9571
      Likes Given
      683

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Kuna kila dalili ya Lulu kutopata fair trial.
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    9. #7
      engmtolera's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Posts : 3,605
      Rep Power : 1330
      Likes Received
      778
      Likes Given
      655

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Quote By Rutashubanyuma

      ni vyema wakamwacha binti wa watu akale sikukuu yake.....................mwuua ji huwezi kumjua kwenye mazingira haya bila ya afya ya kanumba kueleweka........hadi hivi sasa polisi hawana ushahidi wowote sasa kwa nini wahisi kuna mauaji?
      Hivi mkuu unaonge kwa kufuata sheria ama unaongea kwa matakwa yako binafsi?

      nadhani unaelewa kuwa Tanzania nzima inaelewa kuwa Lulu ndie aliyekuwa na marehemu hadi dakika za mwisho hilo halina ubishi,hata kama Lulu hausiki na kifo hicho ni lazima awekwe ndani hii ni kwa ajiri ya usalama wa Lulu mwenyewe

      kwani kanumba alikuwa na washabiki wengi na ana ndugu ambao wameondokewa na mpendwa wao,kwa hiyo kama itatokea polisi wakamwachia Lulu na akashambuliwa na kupoteza maisha yake watu wa kwanza wa kulaumiwa ni polisi,kwa hiyo polisi wanafanya kazi zao kwa kufuata sheria,taratibu na kanuni

      la sivyo wewe kama wewe uwe mlinzi wa Lulu CHOCHOTE kitakachotokea juu yake wewe ndie utakae husika

      kukamatwa kwa lulu ni kwa usalama wake,ingawaje mashitaka pia yatakuja baada ya uchunguzi
      Asprin, Ndahani, Jabulani and 5 others like this.
      "The person who says it cannot be done should not interrupt the person doing it."

    10. #8
      royna's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Posts : 182
      Rep Power : 467
      Likes Received
      90
      Likes Given
      9

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Jamani wana JF naombeni mnisaidie kunitumia picha y Lulu

    11. SMU
      #9
      SMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th February 2008
      Location : Mavurunza
      Posts : 4,530
      Rep Power : 3810
      Likes Received
      1310
      Likes Given
      1916

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Quote By Rutashubanyuma
      ...Polisi wetu wameonyesha ukilaza wao kumkamata Lulu ambaye alikwenda kuwaarifu ya kuwa mpenzi wake amedondoka na kufa mwenyewe. Polisi wenye mafunzo stahiki walipaswa kutoa PF, kurekodi kauli za wahusika na kuchukua contacts zao na kuwaruhusu waondoke wakisubiria taarifa ya ukaguzi wa mwili wa mwendazake...................i na za kikatiba za kuwa hana kosa hadi pale atakaposhitakiwa na kosa..................polisi wamemkamata huku hawana ushahidi wowote kuwa kanumba aliuawa na kuwa hiyo ni kesi ya murder na kauli ya kamanda wa polisi aliedai kuwa Lulu atashitakiwa kwa mauaji inathibitisha jinsi jeshi la polisi lisivyojua wajibu wake ndani ya polisi jamii................

      katika mazingira ya namna hii nani atatoa taarifa kwa polisi wakati akijua ataanza kubughudhiwa..............na kushukiwa kuwa anahusika na mauaji wakati hakuna ushahidi wowote hadi sasa wa kufanya hivyo.........mtoto wa watu kakoseshwa kula Easter yake kwa sababu ya uzembe na umbumbu wa polisi wetu................kweli tunakazi ya kuwalisha hawa vilaza polisi na familia zao kwa kutubughudhi tu!

      Pili, hakuna maelezo kwa nini mdogo wake wa Kanumba - Seth - naye hakukamatwa pia kutokana na maelezo yake mwenyewe kuwa siku nzima alikuwa na kaka yake kabla ya Lulu kuja
      ...................mashaka kama yanaweza kutiliwa kwa Lulu kwa nini watu wote waliokuwapo wakati marehemu yupo hai wasichukuliwe kama ni watuhumiwa bali mdogo wake aonekane hana hatia kama siyo ubaguzi wa kijinsia? kauli ya polisi kuwa ni ugomvi wa kimapenzi ndiyo uliomwuuwa unazidi kulidhalilisha jeshi la polisi kwa kufikia hatma ya swala lenyewe hata kabla ya kusubiri maelekezo ya taarifa za kitabibu..............
      Pamoja na kuwa nakubaliana na wewe juu ya uwezo (duni) wa polisi wetu...lakini katika hili la wao 'kumshikilia' Lulu kuhusiana na kifo cha Sk sikubaliani na wewe. Kuna utata mkubwa bado juu ya chanzo cha kifo cha SK...amejiuwa, amekufa, ameuwawa! Kwa maelezo yaliyopo kwenye public mpaka sasa ni kuwa Lulu ndiye aliyekuwa na marehemu na kwa mujibu wa mashahidi (mdogo wa marehemu na majirani) kulisikika 'vishindo' chumba ambacho wapenzi hawa walikuwamo kabla ya SK kufariki. Sasa, katika hali kama hii Lulu ni shahidi muhimu (hasa kama itathibitika kuwa SK ameuwawa) sana katika uchunguzi wa kipolisi na pengine hata ule wa kitabibu. Kuwa wa kwanza kutoa taarifa polisi hakuondoi ukweli kuwa katika hili Lulu anabaki kuwa mshukiwa nambari moja. Baada ya uchunguzi wa awali bila ya shaka anaweza kuachiwa au wakaongezeka wengine.
      Shakazulu and Rutashubanyuma like this.
      "Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau

    12. #10
      HAMY-D's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th September 2011
      Location : NDICHI.
      Posts : 827
      Rep Power : 553
      Likes Received
      132
      Likes Given
      9

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Kama mtu hujui kanuni, taratibu na sheria usianzishe uzi kwa hisia zako binafsi au kijionyesha kuwa una kereketwa saaaana na maisha ya huyo Lulu, we kwa akili yako kwa tukio kama lililotokea ulitarajia Lulu asihusishe hata katika upelelezi kwa maana ya kuisaidia polisi? Kwa hali hiyo lazima awepo chini ya ulinzi kama mtuhumiwa na ikionekana hana hatia na anaona ameonewa basi ana haki ya kulifungulia jeshi mashtaka.
      Rutashubanyuma likes this.

    13. #11
      Shakazulu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2007
      Posts : 908
      Rep Power : 807
      Likes Received
      197
      Likes Given
      529

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Ghafla kila mtu amekuwa mtaalamu wa sheria na mambo ya upelelezi. Haya ngoja tusubiri tuone hatma yake!!!
      SMU and Rutashubanyuma like this.

    14. #12
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,645
      Rep Power : 4015
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Quote By Nyani Ngabu
      Kuna kila dalili ya Lulu kutopata fair trial.
      Yes especially kwenye nchi inayoendesha maamuzi yake kwa kuangalia watu wanasema nini kwenye luninga. Hivi hatuna watu wenye uwezo wa kutumbukia chini ya kila jambo na kutafuta facts ili haki iwe inatendeka? Kila kitu ni magumashi magumashi tu.
      Rutashubanyuma and Martha K like this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    15. #13
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Kuna kila dalili ya Lulu kutopata fair trial.
      crime scene is contaminated pale ambapo dakitari aliruhusu mwili uondolewe kabla ya polisi kufika na dakitari wala Seth hawakamatwi................... ..waombelezaji akiwemo JK wameshiriki kwenda kuvuruga ushahidi kutokana na polisi kutolifunga eneo la crime scene ............sasa Lulu atatendewa haki kweli?
      Martha K likes this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    16. #14
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,158
      Rep Power : 31371
      Likes Received
      9571
      Likes Given
      683

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Quote By Rutashubanyuma
      crime scene is contaminated pale ambapo dakitari aliruhusu mwili uondolewe kabla ya polisi kufika na dakitari wala Seth hawakamatwi................... ..waombelezaji akiwemo JK wameshiriki kwenda kuvuruga ushahidi kutokana na polisi kutolifunga eneo la crime scene ............sasa Lulu atatendewa haki kweli?
      Halafu kuna kamanda wa polisi kanukuliwa akisema uchunguzi ukikamilika watamshitaki Lulu na kosa la mauaji!! SMH
      Mbu and Rutashubanyuma like this.
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    17. #15
      bucho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2010
      Location : kandahar
      Posts : 2,905
      Rep Power : 4297
      Likes Received
      560
      Likes Given
      716

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      umeongea point mkuu
      Rutashubanyuma likes this.
      KAMA MAPENZI NI PESA , FUNGA NDOA NA BENKI.

    18. #16
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Halafu kuna kamanda wa polisi kanukuliwa akisema uchunguzi ukikamilika watamshitaki Lulu na kosa la mauaji!! SMH
      Jeshi la polisi ni la kufuta tujipange upya................kama wao wanaona ana kesi ya kujibu hata kabla ya kupata post-mportem report na crime scene is such contaminated basi tumekwisha kabisa nchi hii. Sijui hata hiyo mishahara tunawalipia ya nini...........
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    19. #17
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Yes especially kwenye nchi inayoendesha maamuzi yake kwa kuangalia watu wanasema nini kwenye luninga. Hivi hatuna watu wenye uwezo wa kutumbukia chini ya kila jambo na kutafuta facts ili haki iwe inatendeka? Kila kitu ni magumashi magumashi tu.
      watoke wapi na ajira zenyewe ni kujuana tu....................na mafunzo yao ni kule Moshi kunywa supu tu.................hakuna forensic science kule ya kuzama kwenye maeneo mazito kama hili.......mara nyingi huona polisi wakibeba mzoga wa mtu aliyekufa bila hata ya kuvaa gloves na wala hawaandamani na dakitari..............bila hata ya kuchukua ushahidi kwenye eneo la tukio au hata kulifunga kuzuia ushahidi usiharibike..........
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    20. #18
      Mwakalinga Y. R's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd October 2008
      Location : UVUNGUNI
      Posts : 2,169
      Rep Power : 972
      Likes Received
      924
      Likes Given
      2278

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Nadhani kuwekwa ndani kwa lulu ni kwa usalama wake,hata kama ana hatia ama hana hatia.
      FirstLady1 likes this.

    21. #19
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      Ghafla kila mtu amekuwa mtaalamu wa sheria na mambo ya upelelezi. Haya ngoja tusubiri tuone hatma yake!!!
      Angalia CI nawe utajifunza hakuna cha ughalfa hapa.....................jifun ze na utaelimika
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    22. #20
      Mamzalendo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : KASKAZINI
      Posts : 1,444
      Rep Power : 720
      Likes Received
      437
      Likes Given
      166

      Default Re: Polisi wamwachie Lulu mara moja................

      jamani nyie hivi angekuwa kanumba ni mwanao ungependa kusikia prime suspect yupo free walah angekuwa mwanangu na lulu akaachiwa ingekuwa ama zangu ama zake,aliyekufa hapa ni mtoto wa m2,kwa kweli akae 2 ndani mpaka uchunguzi ukamilike,

    23. Study Abroad
    Page 1 of 4 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...