Jamani wadau imekaa vp hii, maana kila kona jamaa wamezitandaza tena kweupeee! Sipendi hii kitu, ni aibu hasa kwa watoto zetu waliopo huko mitaani.
Jamani wadau imekaa vp hii, maana kila kona jamaa wamezitandaza tena kweupeee! Sipendi hii kitu, ni aibu hasa kwa watoto zetu waliopo huko mitaani.
mtu mzima haulizi maswali bali ni vitendo na akishindwa huomba msaada kwa ndugu na jamaa. wewe kama wewe umefanya jitihada gani hadi unauliza imekaa vip?
Maadili nei, hapa kila siku tunamwomba invisible na kampani yake watuwekee jukwaa la MALEZI tujadili kuhusu malezi ya watoto, wanapotezea; nina wasiwasi na maadili yao pia!
If you love something, set it free; if it comes back.....its yours,...
if it doesn't.......hunt it down and kill it!
Independent thinker
Humu jf baadhi yetu wametengeneza haki miliki ya they way they think, you have to think like them and have drawn a line of where one has to belong, you are either "with us" or "against us", if you don't sail the same boat then you are an enemy!. -Pasco wa JF
Mkuu mtoa mada umefanya vizuri kuja na hii mada ambayo inaonekana kuwakera wateja wa pornography.
Nimefuatilia post zako zinazowajibu hao wateja na kugundua kuwa una nia ya dhati ya kuanzisha mjadala ambao unaweza kuonyesha ukubwa wa tatizo la picha za ngono hapa bongo. Kwa kweli hata hao wanaozishabikia wanajua ukubwa wa tatizo japo hawataki kukubali waziwazi kwa sababu wana maslahi na hizo picha kwa namna moja au nyingine.
Tatizo hili linasababishwa na ugoiogi wa serikali katika kusimamia sheria na kulinda utamaduni, mila, desturi na maadili mazuri ya mtanzania. Sasa hivi kila mtu anafanya lake bila kujali matokeo ya jambo/mambo anayoyafanya [kinachoangaliwa ni kipato bila kujali uhalali wake]. Bahati mbaya sana watu wanaotakiwa kudhibiti maovu wanahusika na hayo maovu, sijui kama wanaweza kujidhibiti.
Leo tunazungumzia CD lakini tunapaswa pia kujiuliza ni namna gani tunaweza kudhibiti matumizi mabaya ya internet kwa watoto wadogo maana huko nako kuna mambo mengi. Na hili linapaswa kuwa jukumu la pamoja.
Last edited by Bandio; 29th February 2012 at 14:21.
SAWA UNAWEZA UKAZUIA KUUZA HIZO CD HADHARANI WHAT ABOUT SIMU ZENYE MTANDAO?ambayo mtoto anabofya tu na anacheki ngono mpaka basi,what about intrent cafe?what about laptops zenye connection na moderm ambazo mtu anaweza kuchek porn any time?SWALA HAPO NI MAADILI NA KUJIHESHIMU TU SISI WENYEWE,PICHA ZA PORN SIO NZURI KABSA,
Mimi nazitafuta kweli sizipati, hebu nisaidie nitazipata duka gani maana hizi wanazouza wamachinga sio nzuri mara ukute hazionyeshi mara picha ni zilezile mara fupi kwa kifupi hazina ubora. Kuangalia picha hizi ni sawa na kutafuta maufundi zaidi, kama ww hutaki kuzinunua upate maufundi vijana watakuwa wanakugongea kila siku. Nasikia kuna za kibongo nazitafuta sana ukiziona nishitue.
Follow Us Here