Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Anagalizo kwa Jeshi la polisi: Kesi dhidi ya Samson Mwigamba inalidhalilisha Jeshi letu!!!!

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      KING KING's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2011
      Posts : 251
      Rep Power : 732
      Likes Received
      25
      Likes Given
      0

      Default Anagalizo kwa Jeshi la polisi: Kesi dhidi ya Samson Mwigamba inalidhalilisha Jeshi letu!!!!

      Ni jambo la ajabu na aibu Kwa Polisi kumushitaki Raia Samson Mwigamba kuwa anawachochea Majeshi yetu kuasi amri halali za wakubwa zao na pengine kuto mtii Rais Kikwete!!!
      Hapa inaonekana kuwa Majeshi yetu yaneweza kuamuliwa na mtu yoyote kutoka kokote na wao wakatii na kumupindua Rais au kufanya uasi!!

      Mashitaka haya yangekuwa halali ingekuwa Samson Mwigamba ni Mwanajeshi au kachero ambaye anaushawishi wa kijeshi kwa wanajeshi!!


      Kama huwezi kumushawishi Mbwa ambaye hujamufuga wewe kukutii iweje Askali ambao ni wanadamu na wanakiapo cha utii kwa Rais???

      Ni kwa nini Polis wasifikiri jambo hili???. Hivi mkeo anaweza kuamuliwa na mwanaume yeyote ndani ya nyumba yako na wewe ukasema una mke???

      Hapa mimi naona Rais hana imani na Jeshi lake ndio maana anaogopa kuwa mpinzani wake SLAA kupitia Chadema ana nguvu na Wana jeshi wanamtii kuliko yeye!!!

      Hapa napata Ukweli kuwa huenda Kikwete kaingia kwa Nguvu Madarakani na Kwamba Majeshi hawamtaki!!!

      Natoa angalizo kuwa Kuendelea kuwakamata Raia na kuwapeleka Mahabusu wanazidi kufichua udhaifu wa Majeshi!!





      Pia upo ukweli kuwa Majeshi yetu askali wa chini wanaendekeza Kanuni ya Ndio Mzee na hiki ndicho chazo cha kuenea Ukimwi Kwenye Majeshi!!

      Askali wa Cheo cha chini mwanamke analazimika kufanya ngono na polisi wa juu kuhofia amri kupingwa na mabavu haya yapo kwenye majeshi yote na wasipo tii wanashushwa vyeo.


      Kule Iringa kambi moja ya Jeshi bossi wa jeshi alikuwa ana mpanga mwanamume kwenye zamu ya usiku huku Boss huyo anageuka Usiku huohuo kuzini na mke wa aliye zamu.

      Yule Bwana alipo gundua alimpiga risasi Boss hadi leo ni bhistoria!!!


      Nawashauri polisi kuondoa mashitaka dhidi ya Raia kushawishi Jeshi ni aibu kwa Taifa!!!
      Inkoskaz and Singlemannen like this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: Anagalizo kwa Jeshi la polisi: Kesi dhidi ya Samson Mwigamba inalidhalilisha Jeshi letu!!!!

      Hawataondoa,unadhan wataelewekaje

    4. #3
      Singlemannen's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 22nd December 2011
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default Re: Anagalizo kwa Jeshi la polisi: Kesi dhidi ya Samson Mwigamba inalidhalilisha Jeshi letu!!!!

      Asante sana kwa nasaha zako katika ujumbe ulioandika hapo juu.
      Ni takriban miaka zaidi ya ishirini sasa wakati jambo unaloandika juu ya yule afande kule nyanda za juu kusini alipolimwa risasi kwa ile zinaa...nilikuwepo jeshini kipindi kile...sihitaji kujieleza zaidi kwa sababu unaandika habari yenye ukweli mtupu.

      kama unavyojiuliza, nimekuwa nikijiuliza vivyo hivyo. Je tuna askari wadhaifu katika kazi yao kiasi cha kuchochewa na raia? Kama ndivyo, basi ni hatari...Nasema ni hatari kwa sababu wengi wa askari wanateuliwa (Narudia wanateuliwa) kuwa viongozi (wakuu) wa mikoa, wilaya nk. Ni hatari...

      Nadhani sasa nchi inajisasambua viwalo vya heshima...Mbaya zaidi ni kwamba huwa bado tunakuwa na ile dhana ya zamani kuwa kuna siri za nchi ambazo huwa tunazijadili kwenye simu, emails, karatasi zenye muhuri (SIRI) nk. Lakini tunajisahau kuwa hatuna satelite hata moja angani, hatuna teknologia ya kwetu wenyewe na hatuna mtandao ambao maadui wa nje hawana access...kwa hiyo hatuna siri yoyote.
      Ni hatari....

    5. Miaka 50

    Similar Topics

    1. Hongera jeshi letu pendwa la polisi
      By the mkerewe in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 24
      Last Post: 24th May 2011, 15:51
    2. Replies: 2
      Last Post: 20th April 2011, 17:01
    3. Replies: 17
      Last Post: 4th March 2011, 10:11
    4. Yaliyotokea arusha na jeshi letu la polisi
      By mzambia in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 16
      Last Post: 9th January 2011, 16:48
    5. Synovate!huu ndio uadilifu wa jeshi letu la polisi?
      By urasa in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 1
      Last Post: 13th October 2010, 09:22

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...