Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Rais, waziri mkuu na mawaziri wengine wote wanapokuwa mbumbumbu wa sheria na katiba

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      COMPLICATOR2011's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th July 2011
      Posts : 255
      Rep Power : 0
      Likes Received
      26
      Likes Given
      16

      Default Rais, waziri mkuu na mawaziri wengine wote wanapokuwa mbumbumbu wa sheria na katiba

      Ndgugu zangu wanaJF magreat thinker nimeona leo tujadiri hii mada maana imenisumbua na kunigusa sana.
      Wakati mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati na madini unaendelea liliibuka suala la rushwa lililomhsusisha sn katibu mkuu wa wizara hiyo bw. David Jairo, kwa vile wote tunaifahamu hii sio vizuri kuirudia tena.
      Wakati waziri mkuu akiliomba bunge kuahirisha mjadala ule alioneshwa kukerwa sana na kitendo cha Jairo na akakiri mbele ya bunge letu tujufu (sijui kama ni takatifu kweli), akasema amewasiliana na rais wake lkn bahati mbaya bado yuko angani hajatua SA hivyo akifika tu atasema nini kifanyike kwamba na yy suala hilo limemkera sana. Kesho yake waziri mkuu alijitokeza na kusema kuwa rais amempa maagizo mapya na anayafanyia kazi. Wakati tukiendelea kungoja pm ataamrishwa afanye nn JK ghafla PS bw. Luhanjo akajitokeza na kuongea na vyombo vya habari pale ddm. Alianza kwa kusema kuwa madaraka ya kuwafukuza makatibu wakuu, DC na RC, ktk maelezo yake aliongea yy kama yy na tume ameunda yy hakuonesha kauli yoyote ya kuwa ametumwa na raisi, makamu, pm au spika. Maswali yangu ni haya;
      1. Waziri mkuu aliamuaje kumpigia cm Jk ilhali anjua mwenye mamlaka yuko bongo au ni umbumbumbu wa sheria?
      2. Jk alipopigiwa cm ilitakiwa amwamie pm kuwa wasiliana na Luhanjo anayo madaraka ya kufanya hivyo km mm sipo badala yake akamdanganya kwa kusema nikitua nitakujb au ni umbumbumbu?
      3. Waziri wa sheria na katiba bw. Chikawe si alikuwepo bungeni, kwa nn hakumtonya pm kuwa kanuni zinasema hv au ni umbumbumbu?
      NDG ZANGU TUNAPOFIKIA HATUA YA KUONGOZWA NG VIONGOZI MAJUHA KM HAWA NI VIGUMU KUFIKA POPOTE.
      Naomba kuwasilisha.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Kombo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 1,825
      Rep Power : 799
      Likes Received
      455
      Likes Given
      40

      Default Re: Rais, waziri mkuu na mawaziri wengine wote wanapokuwa mbumbumbu wa sheria na katiba

      Semiina Elekezi hazitokwisha kwa aina hii ya Viongozi.
      Gad ONEYA likes this.

    4. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. Waziri Mkuu amelidanganya bunge na watanzania wote
      By Josephine in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 112
      Last Post: 6th April 2012, 19:44
    2. Replies: 312
      Last Post: 14th November 2011, 17:55
    3. VIJANA: Nani rais, Waziri Mkuu, na Makamo wa rais wa baadaye?
      By Tanganyika jeki in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 16th September 2011, 19:51
    4. Mawaziri kufutwa kazi,asema Waziri Mkuu!
      By Ab-Titchaz in forum International Forum
      Replies: 16
      Last Post: 2nd April 2009, 11:10
    5. Wenye kinga ni Rais, Makamu, Waziri Mkuu, mawaziri
      By BAK in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 2
      Last Post: 24th November 2007, 08:44

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...