JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Uhamisho wa adhabu

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. JamboJema's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th June 2011
   Location : Mwanza
   Posts : 1,109
   Rep Power : 754
   Likes Received
   167
   Likes Given
   224

   Default Uhamisho wa adhabu

   Kuna rafiki yangu kapewa barua na mwajiri kuwa anahamishwa kituo cha kazi kwa kuwa ni mtovu wa nidhamu. Tafsiri yangu huu ni uhamisho wa adhabu. Na ati hatakiwi kulipwa stahili zozote za uhamisho. Kituo kipya ni zaidi ya kilomita themanini. Namhurumia atasafirishaje familia yake katika hali hii. Hata hivyo swali ni je Sheria zinasema nini kuhusu hili? Ni sawa? Ndugu yangu huyu ni mwajiriwa wa serikali hii hii.
   Nawasilisha.
   Uchakavu wa Mahakama si nafuu ya hukumu!

  2. Mpevu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd November 2010
   Location : Anonymous
   Posts : 1,818
   Rep Power : 894
   Likes Received
   149
   Likes Given
   142

   Default Re: Uhamisho wa adhabu

   Je ni civil servant au ni katika private sector?
   I'LL BE WEARING A SMILE ON MY FACE.... but firm on issues,, JK's 1st address to the national assembly in Dodoma-2006.

  3. JamboJema's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th June 2011
   Location : Mwanza
   Posts : 1,109
   Rep Power : 754
   Likes Received
   167
   Likes Given
   224

   Default Re: Uhamisho wa adhabu

   Quote By Mpevu View Post
   Je ni civil servant au ni katika private sector?
   Civil servant, serikali kuu.
   Uchakavu wa Mahakama si nafuu ya hukumu!

  4. Wasegesege's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd October 2009
   Posts : 107
   Rep Power : 640
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default Re: Uhamisho wa adhabu

   Ndugu yangu.

   Ukisoma Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 [Public Service Act No. 8 of 2002] pamoja na marekebisho yake Na. 9 ya mwaka 2007, na Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003 [Public Service Regulation of 2003] pamoja na Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma Toleo la tatu la mwaka 2009 [The Standing Orders, third Edition of 2009]. Aidha hata ukisoma Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Na. 6 ya mwaka 2004 [The Employment and Labour Relation Act No. 6 of 2004] na Kanuni zake za mwaka 2007 [Rule of Employment and Labour Relation of 2007] Hakuna sehemu inayosema mtumishi wa Umma au Binafsi atahamishwa kwa adhabu baada ya kufanya makosa.

   kwa maneno mengine UHAMISHO WA ADHABU ULISHAFUTWA.

   Nipatie taarifa kamili za mwajiri wake huyo mtumishi kama ni wa Umma kama ni binafsi namshauri aende kwenye vyama vya kutetea watumishi.

   E-Mail yangu ni:

   [email protected]

  5. JamboJema's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th June 2011
   Location : Mwanza
   Posts : 1,109
   Rep Power : 754
   Likes Received
   167
   Likes Given
   224

   Default Re: Uhamisho wa adhabu

   Quote By Wasegesege View Post
   Ndugu yangu.

   Ukisoma Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 [Public Service Act No. 8 of 2002] pamoja na marekebisho yake Na. 9 ya mwaka 2007, na Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003 [Public Service Regulation of 2003] pamoja na Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma Toleo la tatu la mwaka 2009 [The Standing Orders, third Edition of 2009]. Aidha hata ukisoma Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Na. 6 ya mwaka 2004 [The Employment and Labour Relation Act No. 6 of 2004] na Kanuni zake za mwaka 2007 [Rule of Employment and Labour Relation of 2007] Hakuna sehemu inayosema mtumishi wa Umma au Binafsi atahamishwa kwa adhabu baada ya kufanya makosa.

   kwa maneno mengine UHAMISHO WA ADHABU ULISHAFUTWA.

   Nipatie taarifa kamili za mwajiri wake huyo mtumishi kama ni wa Umma kama ni binafsi namshauri aende kwenye vyama vya kutetea watumishi.

   E-Mail yangu ni:

   [email protected]
   Asante. Nitakutafuta.
   Uchakavu wa Mahakama si nafuu ya hukumu!  Similar Topics

  1. Uhamisho wa eto'o
   By Shine in forum Sports
   Replies: 5
   Last Post: 3rd September 2011, 23:48
  2. Mwanasheria halmashauri Arusha,atishwa na kasi ya chadema,aomba uhamisho
   By Mwan mpambanaji in forum Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
   Replies: 7
   Last Post: 2nd May 2011, 18:32
  3. CCM Maswa watuhumiana, wapeana uhamisho (source Nipashe)
   By silver25 in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 10
   Last Post: 9th November 2010, 19:51
  4. CCM Maswa watuhumiana, wapeana uhamisho (source Nipashe)
   By silver25 in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 8th November 2010, 10:11
  5. gharama za uhamisho in private sector
   By ulimboka in forum Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
   Replies: 0
   Last Post: 14th August 2010, 19:43

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...