JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nini maana ya...

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. MAMMAMIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Near You
   Posts : 3,827
   Rep Power : 3396
   Likes Received
   1519
   Likes Given
   1261

   Default Nini maana ya...

   WanaJF, naomba msaada wa maneno haya:
   1. LIBENEKE
   2. MSAADA KATIKA TUTA/TUTANI

   Natanguliza shukurani - Asanteni


  2. Djunior's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th September 2010
   Posts : 45
   Rep Power : 580
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Nini maana ya...

   Nini maana ya magumashi, sharobalo

  3. X-PASTER's Avatar
   Moderator Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Firdaws (Paradise)
   Posts : 11,863
   Rep Power : 38158074
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   0

   Default Re: Nini maana ya...

   Quote By MAMMAMIA View Post
   WanaJF, naomba msaada wa maneno haya:
   1. LIBENEKE
   2. MSAADA KATIKA TUTA/TUTANI

   Natanguliza shukurani - Asanteni
   1. Libeneke: Kwa ufahamu wangu neno ili ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya msimu), na maana yake ni Kung'ang'ania jambo bila sababu ya maana.

   2. Msaada katika Tuta/Tutani: Huu msemo umepatikana kipindi kile matuta ya barabarani ndio kwanza yamewekwa, abiria wengi wa mabasi ya daladala, walikuwa wakiomba msaada wa kushuka kwenye hayo matuta au jirani ya hayo matuta kwani mara zote mabasi yakifika karibia na hayo yalikuwa yakipunuza mwendo...!
   'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

   (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

  4. X-PASTER's Avatar
   Moderator Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Firdaws (Paradise)
   Posts : 11,863
   Rep Power : 38158074
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   0

   Default Re: Nini maana ya...

   Quote By Djunior View Post
   Nini maana ya magumashi, sharobalo
   Nadhani neno Magumashi ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya Msimu). Maana yake ni kitu cha Bandia (Fake)... Uongo, Utapeli.
   'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

   (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

  5. Slave's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2010
   Location : jamiiforums area
   Posts : 4,472
   Rep Power : 60192
   Likes Received
   1833
   Likes Given
   1989

   Default Re: Nini maana ya...

   Quote By X-PASTER View Post
   Nadhani neno Magumashi ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya Msimu). Maana yake ni kitu cha Bandia (Fake)... Uongo, Utapeli.
   asante mkuu nimejua maana sasa,inabidi uwe unatufasilia maana huku uswazi hayo maneno wamegeuza lugha ya taifa
   Fursa zipo ila namna ya kuzitambua ndio kazi  Similar Topics

  1. Nini Maana Yake?
   By Hmaster in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 13
   Last Post: 11th August 2015, 14:41
  2. Replies: 11
   Last Post: 12th August 2014, 22:50
  3. Hivi kwa nini unaogopa kuoa au kuolewa?Unajua nini maana ya Ndoa?Biblia inasemaje?
   By Akili Unazo! in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 31
   Last Post: 31st July 2014, 05:51
  4. Nini maana ya SKY OVER?
   By Kishongo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 16
   Last Post: 24th February 2011, 13:05
  5. Nini Maana ya,,,
   By KakaJambazi in forum Jukwaa la Lugha
   Replies: 3
   Last Post: 20th December 2010, 04:49

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...