utakuta mwanaume anaitwa shehe ali, au ustaz ali, au maalim seif.
je mwanaidi atapewa kiambatanishi gani?
hapo naomba kueleweshwa tu.
sina ubaya.
utakuta mwanaume anaitwa shehe ali, au ustaz ali, au maalim seif.
je mwanaidi atapewa kiambatanishi gani?
hapo naomba kueleweshwa tu.
sina ubaya.
CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...
REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha
naona hii ihamishiwe jukwaa la dini mara moja
Mjinga mpe cheo...
Hii inaingiaje katika Jukwaa la siasa? Tushachoka sasa. Kila kitu siasa.
Jerusalem, umemaliza homework zako zote? Basi nenda ukalale.............
nini tena hii jukwaa la siasa
mod please ondoa huu ----- hapa
Hajaat..!
mfano kwa mwanamke ambae jina lake ni jerusalem ataitwa ustaadhat jerusalem
sheikha jerusalem au maalima jerusalem na akiwa ameenda kuhiji ataitwa haajat jerusalem
How come hii ikawa ni siasa?, ungepeleka kwenye jukwaa la lugha ungepata michango mizuri sana kuhusu kiswahili
Follow Us Here