Nimekuwa nasikia maneno haya lakini yananichanganya kujua matumizi yake sahihi.
Vukiza au fukiza?
Vundika au vumbika?
Compyuta?
Mtandao
ila
ingawa
msanii
puchu
mkwara
mwake
chuna
mbongo
Ninayo maneno lukuki lakini nashindwa kuyaainisha yote hapa. Naomba wataalam wa lugha hii adhimu mnisaidie nitoke niliko walau hatua moja mbele katika kujifunza Kiswahili.
Ahsanteni
__________________ Welcome to JF Phase II...
Contact me:
Mobile: +255713444649
Email: maxence@maxence.co.tz
Pls DO NOT send me Job applications... Read adverts carefully!
'frankly speaking' kusema kweli nimetafuta kwenye kamusi ya kiswahili inayopatikana mtandaoni maneno hayo hayapo.......!
WAHESHIMIWA MLIOFANYA KAZI NZURI NA NGUMU YA KUENDELEZA KISWAHILI CHETU....NAOMBA KUCHUKUA NAFASI HII MARIDHAWA KUWAOMBA KUWEKA MAANA YA MANENO HAYA ,ILI LILE LENGO LA KUENDELEZA KISWAHILI LITIMIE.....! NAWAKILISHA....!
unfortunately, i'm unable to give references!!
Baadae..
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
niko mbioni katika kuandika kijipepa f'lani na nilikua naomba
kama kuna mtu hapo nje anayejua tafsiri ya jina la samaki waitwa
dolphins kwa kimombo.Shukran.
__________________
'Belief in myths allows the comfort of opinions without the discomfort of thought.' - JFK