JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kiswahili kitamu kutoka congo

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 33
  1. matubara's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 25th July 2012
   Posts : 219
   Rep Power : 501
   Likes Received
   45
   Likes Given
   1

   Default Kiswahili kitamu kutoka congo

   Wadau nimekuwa nawafuatilia sana watangazaji wanaoripoti kutoka Kinshasa na kwa hakika kiswahili chao ni cha kukufanya ucheke! Ebu angalia mifano hii kisha na wewe utupie ulichosikia:
   1.Askari thelathini waliuwawa - Masoje makumi matatu walikufishwa
   2. Wanasiasa - Wafanya siasa
   3.Upande wa upinzani - Ng'ambo ya upinzani
   4.Mara kwa mara - Maya kwa maya


  2. #2
   Gaijin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2007
   Posts : 11,898
   Rep Power : 24996
   Likes Received
   5101
   Likes Given
   2566

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Mie niliisikia "nina miaka makumi matano na kenda" nikenda ngoe

  3. Chimunguru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2009
   Posts : 9,474
   Rep Power : 2598
   Likes Received
   1882
   Likes Given
   974

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   kanda ya nini na kiswahili ya wabongo!

  4. Mzururaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : morogoro
   Posts : 723
   Rep Power : 618
   Likes Received
   188
   Likes Given
   7

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Upande wa goma au nafasi ya goma=fasi ya goma

  5. #5
   dubu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2011
   Posts : 2,835
   Rep Power : 1008
   Likes Received
   960
   Likes Given
   145

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   umewadia wakati wa kula. huu ni wakati wa kukula.


  6. #6
   MPUNGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2010
   Posts : 476
   Rep Power : 642
   Likes Received
   168
   Likes Given
   21

   Default

   Machozi imejaa macho baridi mu mwili ~ macho yamejaa machozi na mwili unasikia baridi

  7. #7
   MPUNGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2010
   Posts : 476
   Rep Power : 642
   Likes Received
   168
   Likes Given
   21

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Jana papaa alitomboka ~

  8. matubara's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 25th July 2012
   Posts : 219
   Rep Power : 501
   Likes Received
   45
   Likes Given
   1

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Quote By MPUNGA View Post
   Machozi imejaa macho baridi mu mwili ~ macho yamejaa machozi na mwili unasikia baridi

   Bw MPUNGA hii imekaa vizuri hadi nimeacha kula!

  9. #9
   MPUNGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2010
   Posts : 476
   Rep Power : 642
   Likes Received
   168
   Likes Given
   21

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   nitakupiga masasi ~ nitakupiga risasi

  10. MPUNGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2010
   Posts : 476
   Rep Power : 642
   Likes Received
   168
   Likes Given
   21

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   nguvu ya mwanamume kumufuko ya mamba ipo kumayi ~ nguvu ya mwanaume ipo kwenye mfuko wake lakini ya mamba ipo ndani ya maji

  11. ngonani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th August 2012
   Posts : 1,084
   Rep Power : 669
   Likes Received
   370
   Likes Given
   286

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Tumbo linauma sana - Tumbo linaniudhi sana
   Zion Daughter and pono like this.

  12. matubara's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 25th July 2012
   Posts : 219
   Rep Power : 501
   Likes Received
   45
   Likes Given
   1

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Madawa yenye kulefisha - mihadarati
   Charanga fiboko kumafi - viboko vya kwenye masaburi
   pono likes this.

  13. chitambikwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Location : KAISHO
   Posts : 3,910
   Rep Power : 2223
   Likes Received
   861
   Likes Given
   682

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Kiswahili ni mkusanyiko wa Lugha za kibantu
   Choveki likes this.
   IT IS TO THOSE WITHOUT TEETH GOD GIVES MEAT

  14. chakochetu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th October 2012
   Posts : 108
   Rep Power : 467
   Likes Received
   28
   Likes Given
   41

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   leo ni tarehe makumi moja na mamoja tisa kwa mwezi tulionao, mwaka elfu mbili na makumi moja na mamoja mbili [19.08.2012].!!!!!
   pono likes this.

  15. Architect E.M's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th November 2010
   Location : arusha/dar
   Posts : 745
   Rep Power : 695
   Likes Received
   171
   Likes Given
   40

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   samaki na fumuu, ishuke kwa mutumbo.
   pono likes this.

  16. Choveki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2006
   Posts : 479
   Rep Power : 880
   Likes Received
   114
   Likes Given
   185

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Uchunguzi mwingi uliofanyika wa lugha ya kiswahili ulishaonesha kuwa wa Kongo ndiyo wanazungumza kiswahili asilia, kwani huko kwao ndipo kilipoanzia. Tofauti iliyotokea ni kuwa kiswahili cha pwani baadaye kiliingiza maneno mengi ya kigeni- hususan Kiarabu, Kireno, na Kijerumani na ndiyo kikazaliwa hiki kiswahili ambacho wengi wetu wanahisi ndiyo fasaha.

   Hata mimi naamini hivyo kwani Kiswahili cha Kongo kina maneno karibu yote ya Kibantu wakati hiki tunachotumia viraka ni vingi tu (maneno mengi ni ya kuazima). Kitu cha muhimu ni kuwa Kongo wanazungumza kiswahili chenye lafudhi ya bara na siso wengine tunazungumza kiswahili cha lafudhi ya mwambao, ambacho kiliendelezwa zaidi na wafanyabiashara miaka iliyopita.

   Ahsanteni.
   Kamuzu, MPUNGA, Yakuonea and 2 others like this.
   -------choveki

  17. Udadisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th July 2008
   Posts : 5,288
   Rep Power : 6724
   Likes Received
   1220
   Likes Given
   1529

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   "primus butamu ya kwetu"
   "Each generation must, out of relative obscurity, discover its mission, fulfil it, or betray it"/Kila kizazi, katika utata wa kipindi chake, lazima kiutambue wajibu wake na kiutekeleze au kiusaliti - Frantz Fanon

  18. KIM KARDASH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Posts : 4,681
   Rep Power : 0
   Likes Received
   783
   Likes Given
   95

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Ya nini muandikie mate..msikieni huyu mwenye congo yake...Joseph mwana ya muzee anavyotomboka hapa chini.

   Mpita Njia and 53930 like this.

  19. Babuyao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th June 2009
   Posts : 1,723
   Rep Power : 965
   Likes Received
   203
   Likes Given
   148

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   "mimi nakuchunga wewe" - mimi ninakusubiri
   God writes straight with crooked lines.

  20. MadameX's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2009
   Location : Timbaktu
   Posts : 7,708
   Rep Power : 24801
   Likes Received
   3687
   Likes Given
   1760

   Default Re: Kiswahili kitamu kutoka congo

   Joseph anachanganya na french


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...