| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 494
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
bravo!
i can see you TWITTERING!and so we are knowing a lots
__________________
''TRUTH TAKES TIME''
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ndiyo.. hakikisha unanifuatilia..
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ni wa kwako huo moyo, ewe kaka usikie
Usiufanyie choyo, kilioche kisikie Usijeupa unyayo, kilio ukisikie Kamwe usiache moyo, ukenda usirudie
__________________
The Past is lost to you forever and the future is not yet yours. Now is the Only time you own. Use it wisely........ Maria Fontaine
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mengi yananivutia, yenye kutoka moyoni,
Mazuri yalo tulia, msaada maishani, Moyo umeniridhia, wanipa tele amani, Kweli nitaweweseka, kuuaga moyo wangu. Ninashindwa kuuaga, unanikosesha raha, Hata nitake ubwaga, wanipa tele karaha, Nikitaka kuusaga, wasiwasi nina haha, Moyo nilivyoupenda, katu sitaweza aga Pengine kwenu wajuzi, jambo mnifahamishe, Hii ngumu iko kazi, tena yanipa kasheshe, Nimeyaaga mavazi, nikakubali yaishe, Kwenye kuuaga moyo, mwenzenu nina mashaka. Ninashikwa na butwaa, niupendavyo mtima, Kwa jinsi unavyong’aa, kwa maisha na uzima, Aminia wanifaa, kwa zake bora hekima, Moyo wangu utulie, Tudumu wote pamoja |
|
#6
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Moyo nimeusikiza Sasa wabaki niliza Nifanye nini kupoza Ya moyo mambo kuwaza? Moyo wataka kupenda, Kupenda asiyependa, Umebaki kunidunda, Mimi nimekosa nyonda! Moyo ninakutafuta Ni wapi nitakupata, Niweze nami kuleta Nami jina nikaita? Moyo nilosema nimesema, Nimebaki kutazama Ninakuaga daima, Kwa heri ewe mtima!
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|||||||||||||||
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
U heri yako Ndahani, kwa wako huo mtima, Si shaka ufurahani, mwenzako ninalalama, Kamwe huko mashakani, moyo ukiutazama, Tunza sana moyo wako, kuliko vyote utunzavyo!
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|||||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Aah! nyoyo hizi,matatani mnazitia.
__________________
God inspired me,Do not seek any perfect trust of the people and do not depend on them for they will perish you.......'' Bahaeddin al Balkh (Maarif I/360) |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
Wayowayo, liniveme kana Pete Zangu mbio, nataraji tuwe sote Si moyoni, jaraha kulla mahali Na matoni, sipati lepe silali Masikini, napenda kitu ki ghali U kizani, moyo umefitamana Na imani, viumbe huoneana Swamahani, sinifanyiye khiyana Hikuwaza, iwapo nala huata Miujiza, muda ulala huota Niuguza, maradhi yalonipata 6 Yomi bui, mwenziyo nimedangana Hunijui, moyoni ninavyoona Sinwi shai, nisikutaje kwa jina Dr Hamza yousuf Al Naamani Doha, Qatar |
||||||||||||
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Wayowayo, liniveme kana Pete Zangu mbio, nataraji tuwe sote Si moyoni, jaraha kulla mahali Na matoni, sipati lepe silali Masikini, napenda kitu ki ghali U kizani, moyo umefitamana Na imani, viumbe huoneana Swamahani, sinifanyiye khiyana Hikuwaza, iwapo nala huata Miujiza, muda ulala huota Niuguza, maradhi yalonipata 6 Yomi bui, mwenziyo nimedangana Hunijui, moyoni ninavyoona Sinwi shai, nisikutaje kwa jina Dr Hamza yousuf Al Naamani Doha, Qatar
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:50 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||