JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: English learning thread

  Report Post
  Page 16 of 16 FirstFirst ... 6141516
  Results 301 to 305 of 305
  1. Mama wawilii's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Posts : 120
   Rep Power : 483
   Likes Received
   49
   Likes Given
   202

   Default English learning thread

   Mimi Mama Wawili (naamini na wengine wengi) nina nia sana ya kujifunza na kuboresha uwezo wangu wa kutumia Lugha ya Kiingereza. Nimeomba ushauri na nimepata jibu kuwa kuna washiriki wengi hapa JF wana uwezo wa kunikuza katika hii lugha ngeni ambayo kwangu ni Mtihani katika kuweza kuitumia. Naomba ushauri wenu lakini zaidi naomba kujifunza. Kila ambae anaona anaweza kuwa ni Mwalimu naomba niwe mwanafunzi wake katika hili.

   Nitajitahidi sana post zinazofuata nitumie Kiingereza ambacho nina hakika kabisa kuwa kitapinda; na hapo ndipo najikabidhi kwenu ili kiwe kinyoofu. Nitakuwa huru sijali kukosea sababu najua ndio njia pekee naweza tambua ni kwa kiasi gani nakosea hasa nikitegemea masahihisho toka kwenu.

   Natanguliza shukrani kwa washiriki wote wataoweza nisaidia katika mapungufu yangu ya lugha hii ya Kiingereza.

   Mama Wawili.


  2. RRONDO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd January 2010
   Posts : 8,335
   Rep Power : 298051880
   Likes Received
   4236
   Likes Given
   1581

   Default Re: English learning thread

   Quote By Aqua View Post
   You are welcome.I like sharing what I know because I believe it is better to share knowledge than to stay with it.When you die the knowledge die with you.I am also still learning because learning is a process it is not an event i.e it does no happen once,it has to be a continuous process.
   not dies with you?! i'm learning here.
   Mama wawilii likes this.
   kumiliki bucha sio sababu ya kula nyama kila siku.....

  3. Mama wawilii's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Posts : 120
   Rep Power : 483
   Likes Received
   49
   Likes Given
   202

   Default Re: English learning thread

   Quote By mtvbase View Post
   Mama wawili we have missed u alot
   Im back Mkuu! Life commitements drive me crazy!How are you Mtvbase?
   I AM PERFECTLY IMPERFECT,JUST LIKE YOU

  4. Kaunga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2010
   Location : Wild wild west
   Posts : 11,666
   Rep Power : 101885048
   Likes Received
   11954
   Likes Given
   9118

   Default

   Quote By Mama wawilii View Post
   thanks mdau for the correction,i stand to be corrected,this is what i want
   Mpaka hapa sioni umakini wako. Kakushauri uandike sentensi fupi fupi kwa kuweka nukta lkn bado unaendelea kuweka mkato na kuandika sentensi ndefu. Jitahidi na kujifunza kuandika, bila kujali lugha uitumiayo.

   Asante kwa thread, maana nami ninajifunza wakati unapoekekezwa.
   FirstLady1 likes this.

  5. Mama wawilii's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Posts : 120
   Rep Power : 483
   Likes Received
   49
   Likes Given
   202

   Default Re: English learning thread

   [QUOTE=Mtalingolo;10255699]Is your English getting better Mama Wawili?????

   Yes!I have improved to some extent !Thanks for asking Mtalingolo.
   I AM PERFECTLY IMPERFECT,JUST LIKE YOU

  6. Mama wawilii's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Posts : 120
   Rep Power : 483
   Likes Received
   49
   Likes Given
   202

   Default Re: English learning thread

   Quote By Kaunga View Post
   Mpaka hapa sioni umakini wako. Kakushauri uandike sentensi fupi fupi kwa kuweka nukta lkn bado unaendelea kuweka mkato na kuandika sentensi ndefu. Jitahidi na kujifunza kuandika, bila kujali lugha uitumiayo.

   Asante kwa thread, maana nami ninajifunza wakati unapoekekezwa.
   Kaunga please go through the thread and read all comments and posts .I remember this was among of early comments I received and work on it.Any ways I will work on your comments.Regards
   I AM PERFECTLY IMPERFECT,JUST LIKE YOU  Page 16 of 16 FirstFirst ... 6141516

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...